Wasio na ajira ndio wapewe kazi kwenye zoezi la Anwani za Makazi na Sensa kuwawezesha kiuchumi

Wasio na ajira ndio wapewe kazi kwenye zoezi la Anwani za Makazi na Sensa kuwawezesha kiuchumi

acha roh mbaya.tuma cv ukitimiza vigezo utapewa usikimnilie nyeee nyeeee ukafikr na wenzio hawana shida.kwamza ndio wanajua utekelezaj na wanazijua kata zao vizur

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Walimu na njaa zetu kmmmk mpaka tutalogana kupata kazi hiyo..

Matokeo yake hupigwa kishenzi..

Umasikini usng sana.
 
Umesema vizuri kwamba wasio na ajira wapewe hizo kazi iwe ajira ya muda pia wafanye sensa ili pesa watakayofanya wapate mtaji wa biashara lakini na navyojua vijana wa kitanzania iyo pesa watakayo ipata

~Wataenda kununua iphone ya macho matatu
~wanaume wataenda kuhonga wanawake ambao hawajawala mbususu bado
~Nguo na fashion mpya
~Kama ana chumba chake atanunua sabufa ili atambe mtaani.

Lakini ili kuepusha lawama serikali iwafikirie halafu hizo hela wakishapewa wakililia mitaji ndio wawabane kwa hapo sasa.

Mfano hai: Tuliwahi kwenda kurasimisha makazi holela tukalipwa almost Laki 9 kila mtu kwa mwezi wenzangu woteee walikuwa wanafikiria hayo mambo ya hapo juu bila kuangalia mbele ipoje lakini mimi najua nilichokifanya mwisho wa siku lawama zipo kwa serikali
 
Hapo kwny kula mbususu sasa....
Unajua ukiwa benchi bila mkwanja kula mbususu ishu yan unaona kabisa goli lipo wazi ila inahitajika kilainishi( pesa) kdg sa ukishalamba posho ya anwani utapiga nyeto tena kweli[emoji28][emoji28]
 
Ukweli upo hivyo ni lazima usemwe tu japo ni mchungu
 
Katika zoezi ambalo linaendelea la Anwani za makazi, hata linalokuja la sensa, tunaiomba Serikali itumie watu wasio na ajira badala ya kuwatumia watumishi ambao tayari wana kipato.

Serikali inapaswa itumie watu wasio na ajira katika zoezi la anwani za makazi pia sensa ili kusaidia vijana wasio na ajira waweze kupata ajira za muda lakini pia itawawezesha kupata hata mitaji midogo kwa ajili ya kuanza biashara ndogondogo ama shughuli za kuwawezesha kujikwamua kiuchumi.

Kuwapa ajira hizi watumishi kwa kigezo chochote kile itasababisha watu wa chini wasio na ajira wasiinuke lakini pia watumishi hawa wa umma wakienda kufanya hizi kazi utendaji wa serikali utapungua.

1. Kigezo cha Uzoefu: Watumishi hawana uzoefu na Anwani za makazi. Ndio maana kuna mafunzo yanatolewa kabla ya kazi, lakini pia wataalamu wa mambo wengi kwa sasa wako nje ya mfumo wa ajira (As we know mazoezi yote haya yanahitaji uelewa zaidi wa Technolojia)
Wewe acha ujinga,wametoa tangazo la Kazi omba,hakuna sehemu wamesema uwe na uzoefu,hilo sio jambo la uzoefu.

Sasa Kaa usubirie serikali ikutafute utaishia kulalama.
 
Acheni undezi, wamesema posho per day ni 30K kwa wale watakaofanya kazi siku 40 na wale siku zinazozidi posho itapanda.

Kwa 30K lazma watu wengi watagombania hizo nafasi usifanye masihara na hio 1M+ kwa siku zote za kazi😅 kuna watu wako serikalini hawagusi 30K per day.

Ingekuwa posho ya nyumba ni jiti amna mtu angehangaika nazo.
Hii ni tetesi nimezipata toka halmashauri za ndani ndani huko. Si unajua hela za mama samia zinavyopigwa kizembe aseeee.
 
Ni tofauti na hii
IMG-20220214-WA0044.jpg
IMG-20220214-WA0043.jpg
 
Hapo kwny kula mbususu sasa....
Unajua ukiwa benchi bila mkwanja kula mbususu ishu yan unaona kabisa goli lipo wazi ila inahitajika kilainishi( pesa) kdg sa ukishalamba posho ya anwani utapiga nyeto tena kweli[emoji28][emoji28]
Hahahahahhaahah we mtt ni msnge kwl kmmmk nimecheka sana yani!😂😂😂

Kwahio kilainishi cha Posho lazma ukitumie kumenya mbususu za kwenye timming!
 
Back
Top Bottom