Sijui hata nimeona tu watu wanaweka hizo anuani mitaani ila wengi ni viongozi wa mitaa ,kijijiMchakato wa kuwapata wafanya hyo kazi ulikuaje bada ya watu ku apply mana huku naona ubungo tyr washachuja majina sijui wamechuchaje just 2 days[emoji28]
Sio hasira kali.. madeni makaliiNaona watumishi wenye hasira kali wamemvamia mleta maada, kila mtu anajaribu kujipimia kwa urefu wa kamba yake jamani😆
Usisikitike kumbuka mwenye nacho ataongezewa,life is not fair brotherNasikitika kwamba watoto wa watumishi ndio watakula mashavu zaidi
Hapo kwny kula mbususu sasa....Umesema vizuri kwamba wasio na ajira wapewe hizo kazi iwe ajira ya muda pia wafanye sensa ili pesa watakayofanya wapate mtaji wa biashara lakini na navyojua vijana wa kitanzania iyo pesa watakayo ipata
~Wataenda kununua iphone ya macho matatu
~wanaume wataenda kuhonga wanawake ambao hawajawala mbususu bado
~Nguo na fashion mpya
~Kama ana chumba chake atanunua sabufa ili atambe mtaani.
Lakini ili kuepusha lawama serikali iwafikirie halafu hizo hela wakishapewa wakililia mitaji ndio wawabane kwa hapo sasa.
Mfano hai: Tuliwahi kwenda kurasimisha makazi holela tukalipwa almost Laki 9 kila mtu kwa mwezi wenzangu woteee walikuwa wanafikiria hayo mambo ya hapo juu bila kuangalia mbele ipoje lakini mimi najua nilichokifanya mwisho wa siku lawama zipo kwa serikali
Ukweli upo hivyo ni lazima usemwe tu japo ni mchunguHapo kwny kula mbususu sasa....
Unajua ukiwa benchi bila mkwanja kula mbususu ishu yan unaona kabisa goli lipo wazi ila inahitajika kilainishi( pesa) kdg sa ukishalamba posho ya anwani utapiga nyeto tena kweli[emoji28][emoji28]
Maji hutiririka kutoka nchi kavu kusiko na maji mengi kwenda baharini, ziwani na mtoni yaliko maji mengi.Usisikitike kumbuka mwenye nacho ataongezewa,life is not fair brother
Wewe acha ujinga,wametoa tangazo la Kazi omba,hakuna sehemu wamesema uwe na uzoefu,hilo sio jambo la uzoefu.Katika zoezi ambalo linaendelea la Anwani za makazi, hata linalokuja la sensa, tunaiomba Serikali itumie watu wasio na ajira badala ya kuwatumia watumishi ambao tayari wana kipato.
Serikali inapaswa itumie watu wasio na ajira katika zoezi la anwani za makazi pia sensa ili kusaidia vijana wasio na ajira waweze kupata ajira za muda lakini pia itawawezesha kupata hata mitaji midogo kwa ajili ya kuanza biashara ndogondogo ama shughuli za kuwawezesha kujikwamua kiuchumi.
Kuwapa ajira hizi watumishi kwa kigezo chochote kile itasababisha watu wa chini wasio na ajira wasiinuke lakini pia watumishi hawa wa umma wakienda kufanya hizi kazi utendaji wa serikali utapungua.
1. Kigezo cha Uzoefu: Watumishi hawana uzoefu na Anwani za makazi. Ndio maana kuna mafunzo yanatolewa kabla ya kazi, lakini pia wataalamu wa mambo wengi kwa sasa wako nje ya mfumo wa ajira (As we know mazoezi yote haya yanahitaji uelewa zaidi wa Technolojia)
Hii ni tetesi nimezipata toka halmashauri za ndani ndani huko. Si unajua hela za mama samia zinavyopigwa kizembe aseeee.Acheni undezi, wamesema posho per day ni 30K kwa wale watakaofanya kazi siku 40 na wale siku zinazozidi posho itapanda.
Kwa 30K lazma watu wengi watagombania hizo nafasi usifanye masihara na hio 1M+ kwa siku zote za kazi😅 kuna watu wako serikalini hawagusi 30K per day.
Ingekuwa posho ya nyumba ni jiti amna mtu angehangaika nazo.
Kwahio wameamua hio 30k waibadilishe iwe sh.100 kwa kila nyumba?Hii ni tetesi nimezipata toka halmashauri za ndani ndani huko. Si unajua hela za mama samia zinavyopigwa kizembe aseeee.
Ahahahaaa, ulizidi sana visa asee, aya leo kabla jua kuzama tayari ushamtandika mtu tusi daaa, kumbe block inakufaa.Walinivesha taji la “Banned”
Dah malipo yameshageuzwa kuwa laki 3 kwa mwezi na sio elfu 30 kwa siku! Dah kweli hatari kubwaNi tofauti na hiiView attachment 2124802View attachment 2124803
Hahahahahhaahah we mtt ni msnge kwl kmmmk nimecheka sana yani!😂😂😂Hapo kwny kula mbususu sasa....
Unajua ukiwa benchi bila mkwanja kula mbususu ishu yan unaona kabisa goli lipo wazi ila inahitajika kilainishi( pesa) kdg sa ukishalamba posho ya anwani utapiga nyeto tena kweli[emoji28][emoji28]