Wasioamini mungu (atheists) wanaweza kuwa viongozi Tanzania?

Atheist na upagani ni tofauti? Mie najua utofauti wake lugha tu. Au
Havifanani kabisa wala havina mahusiano, mpagani ni yule anae amini kwenye mambo ya asili kama jua milima , mizimu , na nk kama Mungu kwake , watu wa dini ya ukristo wakawaita wapagani .

Kwa atheists , wapagani ni sawa tu na Wakristo ,waislamu na nk

Yeye atheist hana imani ya kidini kuhusu Mungu yoyote wala shetani
 
Oooh sasa nimeelewa,
Atheist ni mtu haamini chochote, sio Mungu wala Dini.
Mpagani ni yule anayeamini Mungu, ila sio Dini.

Basi huku Bongo wanasema hao ni Atheist, kumbe sio, naomba kiswahili cha neno Atheist. [emoji120]
 
Hata kiswahili cha wapagani hakipo ,labla tuite athesti😅
 
Havifanani kabisa wala havina mahusiano, mpagani ni yule anae amini kwenye mambo ya asili kama jua milima , mizimu , na nk kama Mungu kwake , watu wa dini ya ukristo wakawaita wapagani .

Kwa atheists , wapagani ni sawa tu na Wakristo ,waislamu na nk

Yeye atheist hana imani ya kidini kuhusu Mungu yoyote wala shetani
Moisemusajiografii
 
Mbona unanichanganya?Hebu rudia kueleza kwa mtiririko mwingine.
 
Back
Top Bottom