min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Wote wana amini mfano viking walikua wapagani ,walikua wana amini Mungu wao Thor na Odin.How wafanane tena na wakristo au waislamu?
Wote wana amini mfano viking walikua wapagani ,walikua wana amini Mungu wao Thor na Odin.How wafanane tena na wakristo au waislamu?
Theists -waamini.Atheists-Wasioamini
Theists-Waamini
Yeah na wapagani ni theists piaAtheists-Wasioamini
Theists-Waamini
kwani Kingunge Ngombale Mwiru alikua wa dini gani?Kuna uwezekano wowote wa mtu asiyeamini mungu(atheist) anayefahamika kwa wazi kabisa kuwa kiongozi wa nchi au serikali Tanzania kwa katiba ya sasa au hata mpya?
Mafuta ya mawese hayo😅Mbona unanichanganya?Hebu rudia kueleza kwa mtiririko mwingine.