The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
Mimi huyo huyo mwizi ananifaa
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema ukweli, Lowassa SIMPENDI awe Rais wa Tanzania. Ila kwa hali ilivyo sasa hivi kama wewe ni Binadamu na una akili zako sawasawa, ni lazima ujifunze kujibadilisha ukiwa huko huko angani.
Ntakuwa tayari kuwaunga mkono watu watakaoanzisha chama chochote kuipinga CCM kama itashinda tena au kuipinga Chadema kama itashinda na Lowassa akiwa kama Rais.
Imebidi kuwa na Lowassa kwa sababu moja kubwa kwamba, mgombea wetu Dr Slaa alikuwa hatakiwi na CUF kwa sababu ya historia yake ya u-Padri na kilichompa sifa na umaarufu yaani Ufisadi, hakuna anayeongelea tena hadi Lowassa alipohamia Chadema ndipo CCM imembebesha Ufisadi wote wa nchi hii hadi Escrow, barabara mbovu, mabehewa mapya ila ya zamani, kivuko kibovu, hela kupotea wizara ya Magufuli, Epa, Meremeta, Deep Green etc.
Mbowe kama Mwana Siasa, kacheza KAMALI yake na lazima ajuwe kuwa kuna gharama zake. Akishinda na Chadema/Ukawa wakawa wengi bungeni basi atakumbukwa milele kwa alichokifanya ila kama Wakishindwa, basi inabidi walau kwa miaka 5 apumzike hiyo kazi ya Mwenyekiti na ampishe mwingine.
Kuikataa sasa hivi Chadema kwangu mie ni Upuuzi. Kila mtu anatakiwa apewe nafasi ATHUBUTU. Tumekuwa tukililia kuwa Rais lazima athubutu basi ndiyo huku. Kama kaharibu, basi mwezi ujao tumuweke Mbowe katikati na tumsulubu kwa alichokifanya ingawa kwangu mie bado naamini aliyeanzisha hili sakata alikuwa Samson wetu ila Delila aliposikia, akaja juu na kukinukisha nyumbani.
Kwa hali ilivyo sasa, kama humtaki Lowassa, unamtaka nani? Ukimuacha Magufuli, hao wengine ni JINA tu na wasindikizaji. Ndiyo maana hata Dr Slaa anasema Magufuli ana nafuu ingawa anasahau kuwa yule Mama wa ACT ndiyo labda msafi kuliko wote ila nani hata anamfahamu? Mwana SIASA ni Mwanasiasa na wala siyo Papa Johana Paulo II.
Mie wala usinijali kabisa Mkuu kwani hata KADI yenyewe ninayo ya CCM na uchaguzi huu bahati mbaya nitakuwa safarini nje ya Tanzania kwenda kwa Kabila na ni muhimu sana niende hivyo SINTASHIRIKI kuchagua mtu yeyote. Ila bado nashabikia CCM ipumzishwe kwa miaka walau 5 ila ISIFE maana Chadema itakuwa kama CCM baada ya muda fulani. Natamani sana kuwa na vyama viwili vyenye nguvu sana hapa Tanzania ili wawe wanaSUTANA vizuri bungeni.
wanasiasa ni washenz. sana, kutufanya watu wazima kama watoto wadogo ndo tabia gani! leo unaambiwa flan fisad kesho wanakuambia yule aliyekuwa fisad amefanya makubwa sana! na huyu aliyemtaja mwenzake fisadi na ushahidi akasema anao leo hii anaonekana wa ajabu na njaa ndo inmsumbua! hlafu jitu na akili zake linaendelea kufuata tu maneno badala ya kuangalia hoja na kuzifanyia kazi
Kuwa na vyama viwili vyenye nguvu nchini inawezekana bila kumuweka mtuhumiwa wa ufisadi ikulu...hii ndio hoja ya wengi.
Refer case ya zanzibar ambapo kuna vyama viwili vyenye ushindani wa karibu lakini hawajawahi kuresort kwenye kuchagua au hata kufikiria kuchagua fisadi.
CHADEMA chini ya ukatibu wa Slaa ilikuwa kwenye right track ya kujijenga kama chama kikuu cha upinzani na chenye mfumo unaolingana na ccm yaani toka ngazi za chini.Kilichowakumba Mungu ndio anajua yaani sheitwani kawaingia na sasa hiyo kamari waliocheza inawatokea puani.
Ni upuuzi wa kitanzania kila mara kudhani mafanikio yana shortcut badala ya ukweli kuwa mafanikio huundwa.
Mkuu nimependa hiyo uliyooiita amendment ya list of shame.Nashauri Mh Freeman Mbowe achukue fursa hii kukanusha tuhuma zilizozagaa kila kona ya nchi kuwa alipokea tsh 12 billioni kama gharama ya "kiingilio/registration fee" ya Lowassa chadema. Akishindwa kukanusha tuhuma hizo mbele ya jamii hii, nadhani tutakuwa tumetenda haki kama tukiifanyia amendment list of shame na kumuongeza Mh Freeman Mbowe
hayo tuzungumze baada ya ccm kuondoka madarakani...
Kuwa na vyama viwili vyenye nguvu nchini inawezekana bila kumuweka mtuhumiwa wa ufisadi ikulu...hii ndio hoja ya wengi.
Refer case ya zanzibar ambapo kuna vyama viwili vyenye ushindani wa karibu lakini hawajawahi kuresort kwenye kuchagua au hata kufikiria kuchagua fisadi.
CHADEMA chini ya ukatibu wa Slaa ilikuwa kwenye right track ya kujijenga kama chama kikuu cha upinzani na chenye mfumo unaolingana na ccm yaani toka ngazi za chini.Kilichowakumba Mungu ndio anajua yaani sheitwani kawaingia na sasa hiyo kamari waliocheza inawatokea puani.
Ni upuuzi wa kitanzania kila mara kudhani mafanikio yana shortcut badala ya ukweli kuwa mafanikio huundwa.
Niliandika kuwa Slaa alikuwa hatakiwi Na CUF. Lipumba mwenyewe alikiri kumsaidia Muislaam mwenzie.
Slaa mngelimgargaraza vibaya Sana ila Lowassa kawashiika bapaya ndiyo maana mnalialia ovyo.
Cry baby cry....... Anyway, msihangaike Na Mimi Kwani mie ni CCM Na uchaguzi sishiriki maana nasafiri.
CCM must take a rest then they will come clean and ready to rule again in new formation.

Umeambiwa usilete ushabiki wewe unaleta porojo!
kampeni yako nzuri ila umeianzisha kwenye kipindi kibaya sana.
Hizi kampeni za ufisadi zilishakufa hadi lowassa alipohama kwenda ukawa ndiyo zikaibuka na yeye kubebeshwa mzigo wote wa ufisadi kuanzia escrow hadi ufisadi wa bokhe munanka (rip) ambao ulijadiliwa sana hapa jf.
Wewe na mzee mwanakijiji ilitakiwa tuungane na lowassa kwa sasa tuwaondoe ccm na baadaye ndiyo tuanza kusafisha zaidi ufisadi hata ule mdogo ingawa hata hivyo hatutaumaliza. Kumbuka the great helmut kohl wa german na sifa zote alizojipatia, bado aliondolewa kwa ufisadi.
Sasa hivi kampeni zozote za kumpinga lowassa maana yake unamtaka magufuli awe rais.
Kama upo kwa magufuli maana yake upo ccm na usituletee wimbo wa kupinga ufisadi wakati upo ccm.
![]()
itakuwa vema hizi kampeni zikianza mwezi wa kwanza mwakani. Mwaweza kuungana na zitto mkaleta azimio la tabora.
Mkuu ni kujifanya kipofu kujaribu kulinganisha uadilifu wa Magufuli na El ....wote ni wachafu na CDM tulipaswa kujitenga nao ...lakini dakika hii kwa wagombea hawa na yaliyofanywa na vyama vyao ....bora jicho liwe nani anafaa kuwa mkuu wa nchi maana kote kumeoza kama huna ushabiki ....
Hiyo ni sawa na kula kinyesi,mtanzania making noTutachagua ccm ambayo imehamwa na mafisadi badala ya kuchagua chadema ambayo imebadilisha style ya kifisadi na kuja na new fashion
Niliandika kuwa Slaa alikuwa hatakiwi Na CUF. Lipumba mwenyewe alikiri kumsaidia Muislaam mwenzie.
Slaa mngelimgargaraza vibaya Sana ila Lowassa kawashiika bapaya ndiyo maana mnalialia ovyo.
Cry baby cry....... Anyway, msihangaike Na Mimi Kwani mie ni CCM Na uchaguzi sishiriki maana nasafiri.
CCM must take a rest then they will come clean and ready to rule again in new formation.
sisi ni lowassa tushaamua