Wasioishiwa pumzi ya kuupinga ufisadi tunakutana hapa!


Mimi huyo huyo mwizi ananifaa
 
Last edited by a moderator:
wanasiasa ni washenz. sana, kutufanya watu wazima kama watoto wadogo ndo tabia gani! leo unaambiwa flan fisad kesho wanakuambia yule aliyekuwa fisad amefanya makubwa sana! na huyu aliyemtaja mwenzake fisadi na ushahidi akasema anao leo hii anaonekana wa ajabu na njaa ndo inmsumbua! hlafu jitu na akili zake linaendelea kufuata tu maneno badala ya kuangalia hoja na kuzifanyia kazi
 

Kuwa na vyama viwili vyenye nguvu nchini inawezekana bila kumuweka mtuhumiwa wa ufisadi ikulu...hii ndio hoja ya wengi.

Refer case ya zanzibar ambapo kuna vyama viwili vyenye ushindani wa karibu lakini hawajawahi kuresort kwenye kuchagua au hata kufikiria kuchagua fisadi.

CHADEMA chini ya ukatibu wa Slaa ilikuwa kwenye right track ya kujijenga kama chama kikuu cha upinzani na chenye mfumo unaolingana na ccm yaani toka ngazi za chini.Kilichowakumba Mungu ndio anajua yaani sheitwani kawaingia na sasa hiyo kamari waliocheza inawatokea puani.

Ni upuuzi wa kitanzania kila mara kudhani mafanikio yana shortcut badala ya ukweli kuwa mafanikio huundwa.
 

Siioni LIKE. Ningekupa. Heshima kwako
 
Hasahsa kipindi hiki watu wataongozwa na maslahi ya vyama vyao. Viongozi wa Vyama vyao wakiteua wezi wagombee urais kupitia hvyo vyama watajazana kumtetea.

Hoja za ovyo zitatolewa eti "hata mwizi husamehewa". Eti "ni mpango wa Mungu". Mpaka aibu.

Lini aliomba samahan na kurudisha alichoiba? Mungu yupi anataka mwizi awe kiongozi?

Tujitambue
 

Mkuu umeongea point kubwa. Hivi excuse ya kumweka Lowassa ni nini? Kuimarisha chama?
How wakati sasa hivi Chadema kama institution imekufa hata nyimbo za kampeni ni kuhusu mahaba ya Lowassa?
Pili wana promote hii kitu kinaitwa Ukawa. Haipo na haijasajiliwa.
Leo Mbatia anampigia debe mgombea wa Chadema na hata katika matangazo yao ni dhahiri lazima wapigie kura Chadema. Yaani vyama vya CUF na NCCR mwaka huu hawapo ktk urais lakini hata majimboni. Wasichotambua Chadema ni kuwa hii inawapa tu life line ya muda lakini ni guaranteed death. CUF bara imeshakufa. Lowassa ni mharibifu, kila anakoenda anaharibu vitu na watu.
Agenda ya kupiga vita ufisadi na uadilifu ndiyo ilikuwa njia pekee ya kujihakikishia uendelevu kama chama!
 
Wapiga dili na mafisadi wanataka kutuzungusha kama kombeo, tutazidi kusimama imara kupinga ufisadi kwa nguvu zote, nchi haiwezi kuongozwa na majizi tuendelee kubaki sala, hapana.
 
Mkuu nimependa hiyo uliyooiita amendment ya list of shame.

Matamanio yangu ni kuona kunaanzishwa jarida mithili ya forbes litakalokuwa linawaingiza mafisadi tu na hukumu zao.
 
Niliandika kuwa Slaa alikuwa hatakiwi Na CUF. Lipumba mwenyewe alikiri kumsaidia Muislaam mwenzie.

Slaa mngelimgargaraza vibaya Sana ila Lowassa kawashiika bapaya ndiyo maana mnalialia ovyo.

Cry baby cry....... Anyway, msihangaike Na Mimi Kwani mie ni CCM Na uchaguzi sishiriki maana nasafiri.

CCM must take a rest then they will come clean and ready to rule again in new formation.

 
Yaani una shangaa kabisa kwamba mtu anasema kwamba hata kama ni mwizi tuna mtaka huyohuyo!! Yaani unajua kabisa ni fisi ila unataka umpe banda la nyama kweli!

ACT pekee ndio ina hoja muimu wengine wote wana tukanana tu
 

Mkuu sina tatizo na hoja kuwa CCM needs a rest but not with Lowassa at the helm of Chadema ambaye ni mchovu kuliko wote na pillar of ufisadi wa CCM.
Nasema acha upinzani wajipange tutaipumzisha CCM in 5 years time.
Hii ni sentiment ya wengi hata mtaani.
Sasa tujikite kuongeza wabunge wa upinzani tuachane na hii failed project ya 2015! Naamini tupo pamoja katika malengo ila approach ndo tumetofautiana!
 

sisi ni lowassa tushaamua
 

chukua
weka
lowasa
piiiipooooooooo
 

Lowasa sio fisadi
 
Tutachagua ccm ambayo imehamwa na mafisadi badala ya kuchagua chadema ambayo imebadilisha style ya kifisadi na kuja na new fashion
Hiyo ni sawa na kula kinyesi,mtanzania making no
Chukua
Weka
Lowasa
 

Ccm buriani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…