Wasiojua kandanda, wanawaza Simba inaweza kushinda leo

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
10,597
Reaction score
16,394
Ukiliangalia kwa umakini utagundua kubwa Simba ina timu isiyoweza kufurukuta kwenye mashindano makubwa ya kimataifa.

Kikosi chake ni dhaifu sana hasa katikati na nyuma. Hawana mlinda mlango wa kutumainiwa. Mechi za ligi kuu wanashinda kwa mbeleko ya waamuzi.

Leo huenda ikawa siku ya aibu kubwa kwa soka la Tanzania
 
Jamani mpira unadunda tuwekeni na akiba ya maneno, Man city mwenyewe pamoja na ubora alionao huwa anapigika na vitimu vidogo
 
Ukiliangalia kwa umakini utagundua kubwa simba ina timu isiyoweza kufurukuta kwenye mashindano makubwa ya kimataifa. Kikosi chake ni dhaifu sana hasa katikati na nyuma. Hawana mlinda mlango wa kutumainiwa. Mechi za ligi kuu wanashinda kwa mbeleko ya waamuzi. Leo huenda ikawa siku ya aibu kubwa kwa soka la tanzania
CC
Mshana Jr
GENTAMYCINE
Kalpana
 
Ujinga kipaji.

Na ww ndugu umebarikiwa iko kipaji.
 
Ukiliangalia kwa umakini utagundua kubwa simba ina timu isiyoweza kufurukuta kwenye mashindano makubwa ya kimataifa. Kikosi chake ni dhaifu sana hasa katikati na nyuma. Hawana mlinda mlango wa kutumainiwa. Mechi za ligi kuu wanashinda kwa mbeleko ya waamuzi. Leo huenda ikawa siku ya aibu kubwa kwa soka la tanzania
Ihefu ?
 
images (2) (1) (1).jpeg
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
UONGOZI WA JAMII FORUM.

Nyuzi kama Hizi mmezipa kipaumbele kwa lengo gani????

Mbona MTAZAMO
Ameandika vizuri sana Kuhusu

WATANZANIA TUEPUKE AIBU NDOGO NDOGO SIKU YA LEO HAUPEWI KIPAOMBELE????????

Active
BlackBold
Boqin
Bridger
 
Back
Top Bottom