Wasiojua kandanda, wanawaza Simba inaweza kushinda leo

Wasiojua kandanda, wanawaza Simba inaweza kushinda leo

Ukiliangalia kwa umakini utagundua kubwa simba ina timu isiyoweza kufurukuta kwenye mashindano makubwa ya kimataifa. Kikosi chake ni dhaifu sana hasa katikati na nyuma. Hawana mlinda mlango wa kutumainiwa. Mechi za ligi kuu wanashinda kwa mbeleko ya waamuzi. Leo huenda ikawa siku ya aibu kubwa kwa soka la tanzania
Jitoe ufahamu urudie tena kusema maneno hayo!!
 
Ime dhihirika pasina shaka. Ahly walikua na uwezo wa kupata goli tano kwa mkapa ila tunguli zime wabeba wenyeji.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom