Mwawado
JF-Expert Member
- Nov 2, 2006
- 993
- 259
Kule Tanga siwajui hata majina lakini kwa hali mkoa ulivyo naomba wekeni majina yao hapa, ili wajue kuwa tumeshawachoka and this is the begining of their end.
Mndee, Kule kwetu Digoni tutakuita Mvyee,Sijui unamsema Mbunge yupi wa Tanga,Kwa sababu Tanga kama Mkoa una Majimbo ya Uchaguzi 11.Kuna baadhi ya Wabunge wamekwishakuwa Wazee mno,nafikiri hawapaswi kurudi katika Bunge la November 2010.Wabunge wazee na ambao sidhani kama ni vyema kurudi Bungeni kutokana na Umri wao ni;
1: Bakari Mwapachu (Tanga Mjini).
2: Abdi Mshangama ( Lushoto).
3: William Shelukindo ( Bumbuli ).
4: Brig.Gen Hassan Ngwilizi (Mlalo).