Wasiostahili kurudi bungeni 2010

Wasiostahili kurudi bungeni 2010

Kule Tanga siwajui hata majina lakini kwa hali mkoa ulivyo naomba wekeni majina yao hapa, ili wajue kuwa tumeshawachoka and this is the begining of their end.

Mndee, Kule kwetu Digoni tutakuita Mvyee,Sijui unamsema Mbunge yupi wa Tanga,Kwa sababu Tanga kama Mkoa una Majimbo ya Uchaguzi 11.Kuna baadhi ya Wabunge wamekwishakuwa Wazee mno,nafikiri hawapaswi kurudi katika Bunge la November 2010.Wabunge wazee na ambao sidhani kama ni vyema kurudi Bungeni kutokana na Umri wao ni;

1: Bakari Mwapachu (Tanga Mjini).
2: Abdi Mshangama ( Lushoto).
3: William Shelukindo ( Bumbuli ).
4: Brig.Gen Hassan Ngwilizi (Mlalo).
 
Vyama vyote vishirikiane kuwastaafisha wataafu wote na kuchaguwa damu changa...!

Wastaafu wabakie kama washauri tu, maana miaka na miaka sura ni zile zile tu.
 
Mi naona Wabunge wote wa SISIEM na baadhi ya wabunge wa vyama vya Upinzani WABANDULIWE

Mkuu sio kweli kuwa wanaCCM wote hawafai. Kuna wanaCCM wengi tu wanafanya kazi nzuri sana. May be wengi wanaotusaidia sisi walala hoi kwenye mapambano dhidi ya mafisadi wako CCM kuliko kwenye upinzani!
 
Karamagi- Bukoba
Dr Mzure- Morogoro mjini
Sadick Murad- Mvomero
Ponsiani Nyami- Nkansi
Basil Mramba- Rombo
Andrew Chenge- Bariadi
Hao ni baadhi tu ya wabunge ambao tunawaomba mwakani , wapumzike sasa watafute shughuli zingine kabla hawajaazibiwa na wananchi.
 
Wabunge wote wa CCM ambao wataamua kuendelea kutetea nafasi zao Majimboni WATARUDI WOTE.

CCM Juu, Juu, Juu zaidi.
 
-Unajua mkuu kama baba yako amefikia umri wa miaka 75 na hajiwezi kwa sababu ya maisha magumu ya Tanzania inaeleweka, ila haina maana wananchi wote wenye miaka 75 wana matatizo ya akili kama ya mzazi wako hapo tu ndipo unapokosea.

- Eti sheria iansema nini kuhusu umriw a wabunge maana tujadili ishus na facts mkuu, weka hapa sheria iansema nini? Bwa! ha! ha! ah!



Respect.

FMEs!

Mkuu kwani wewe Tingatinga ni baba yako?
 
Mbunge wa Ubungo, simtaji jina sijawahi kumsikia tokea achaguliwe. Hatufai au vipi?
 
mbunge wa ubungo, simtaji jina sijawahi kumsikia tokea achaguliwe. Hatufai au vipi?

ubungo, kinondoni, ilala panaendelea na kusonga mbele kwa nguvu na juhudi za wananchi.......wabunge wao hata wasipoongea...........sanasana wapiganie haki ya wananchi dhidi ya ufisadi na mafisadi
 
ubungo, kinondoni, ilala panaendelea na kusonga mbele kwa nguvu na juhudi za wananchi.......wabunge wao hata wasipoongea...........sanasana wapiganie haki ya wananchi dhidi ya ufisadi na mafisadi

Ikiwa mambo yatakwenda vyema...Kuna uwezekano Mkubwa kwa Jimbo la Ubungo kugombewa na Vijana wawili Kutoka vyama vya CCM na Chadema ambao wote ni wanachama hapa JF.Tusubiri tuone,watakapotangaza rasmi kuingia katika marathon hiyo.Lakini ni wazi kuwa Ubungo litakuwa Moja kati ya Majimbo yatakayokuwa na Ushindani Mkubwa.
 
Karamagi- Bukoba
Dr Mzure- Morogoro mjini
Sadick Murad- Mvomero
Ponsiani Nyami- Nkansi
Basil Mramba- Rombo
Andrew Chenge- Bariadi
Hao ni baadhi tu ya wabunge ambao tunawaomba mwakani , wapumzike sasa watafute shughuli zingine kabla hawajaazibiwa na wananchi.


Kuna wabunge wengine jamani hata majina sikuwahi kuyasikia maana they are dumb!!! Hivi wanapasha viti moto huko Bungeni?? Naamini midomo yao huwa inatoa harufu mbaya maana kinywa kuwekewa bandage kiasi hicho ni hatari. Tunahitaji mabadiliko!! Yatakuja lini?? Mimi na wewe ni lazima tuamue bila kurudi nyuma.

At least Chenge hatasahaulika maishani mwangu kwa ufisadi wake na jinsi ambavyo amepelekea serikali kusaini mikataba mibovu ambayo madhara yake yatakuwa kizazi hadi kizazi kama ilivyo madhara ya nuclear bombs za Hiroshima na Nagasaki! Mzee wa Kichagga, huyo eti ndiyo yupo katika kesi ambayo hatafungwa wala kuilipa serikali mabilioni yaliyopotea kwa zembe wake. Yangu macho.
 
Hivi huyu Kingunge Ngombare Mwiru anawakilisha wapi? kateuliwa tu nadhani akapumzike kwa amani.

Anna Kilango sio wa kulaumiwa ni hao wakina Yona waliopita yeye anajitahidi sana ila wa kuondoka pia

Andrew Chenge wa Bariadi bwana Vijisenti a.k.a Bajaji
 
Re: Wabunge wa kuondoka mwakani
Hivi huyu Kingunge Ngombare Mwiru anawakilisha wapi? kateuliwa tu nadhani akapumzike kwa amani.

Anna Kilango sio wa kulaumiwa ni hao wakina Yona waliopita yeye anajitahidi sana ila wa kuondoka pia

Andrew Chenge wa Bariadi bwana Vijisenti a.k.a Bajaji
progress.gif
 
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wanao onekana kutofaa mwakani, feel free kuongeza majina mengine au kukosoa kwamba fulani asiwepo kwenye list hii.

1. Gideon Cheyo- Ileje.
2. John Chilligati - Manyoni.
3. Chitalilo - Buchosa [ do i need to say why for this guy? ]...lol.
4. Zainab gama - Kibaha.
5. Kapuya - Urambo.
6. John Komba- Mbinga West.
7.Ligalama Casto- Kilombero.
8. William Lukuvi - Isman.
9. Pombe Magufuli - [ just kidding...]
10. Ritha Mlaki - Kawe.
11. Lau Masha - Nyamagana. [ the guy is too quite on mafisadi issue ]
12.Benson Mpesya - Mbeya Mjini.

Mapambano yetu tueleze bungeni sasa, bunge likiwa "rubber stamp" ya mafisadi hatufiki popote.

Nkwame, tafadhali ninaomba ufafanuzi kuhusu No.9 (though u said that just kidding) sijakuelewa!!
 
Re: Wabunge wa kuondoka mwakani
Hivi huyu Kingunge Ngombare Mwiru anawakilisha wapi? kateuliwa tu nadhani akapumzike kwa amani.

Anna Kilango sio wa kulaumiwa ni hao wakina Yona waliopita yeye anajitahidi sana ila wa kuondoka pia

Andrew Chenge wa Bariadi bwana Vijisenti a.k.a Bajaji
progress.gif

Rita Mlaki - Kawe ni ziro hakuna mfanoe!!!
 
1.Mary nagu(hanang:huyu mama ana wivu sana na wanawake wenzake,hapendi kabisa kuona wanawake wengine wanakuja juu zaidi kisiasa hata kama wana uwezo kumzidi yeye, hana point za maana katika mazungumzo, hadithi zake nyingi zinaonesha yuko shallow tuuu, nadhani umbumbu wake ndio chanzo cha kuchaguliwa na JK kuwa waziri)

2.Damasi Nakei(babati vijijini:ni mzigo tuu,hana lolote awapo bungeni, babati vijijini maji ni ya shida, anahongwa na wahindi wa hapa kijiji alinde maslahi yao)

3.Omari Kwaang(babati mjini: huyu alikuwa headmaster enzi zile nasoma kiru primary, jama ni looser wa nguvu bungeni anahistoria ya kuuliza swali moja tuu, hivi majuzi tumepata taarifa kuwa anataka,2010, kwenda babati vijijini akagombee ubunge,ameskwisha ongoza miaka 15 sasa jimbo la babati mjini, leo anataka kwenda vijijini baaada ya kuona hakuna upinzani mkali, onyooo, tutakutoa kwa marungu, ukome na kampeni zako chafu za kutumia mgongo wa dini)


huyu nakei aondoke kabisa , babati vijijini kuna shida sana ya Maji, usafiri hamna hata wa kwenda hospital, huwa anaonekana tu kipindi cha kuomba kura, anaawaambia wananchi hata nsiponichagua nitapita tu
 
Umemsahahau Mahanga Makongoro. Huyu ni pumbafu sana. Najilaumu nilimpigia kura yangu pale tabata shule! wish siku zingerudi nyuma nikamshughulikia kibaraka hiki cha Rostam Aziz. Mimi ni mwana CCM, na muumini wa itikadi yetu lakini kwa haya ninayo ona, nasubiri tu chama kikosee kimteue kugombea jimbo la ukonga, hawatanipata tena mimi na ninaoweza kushawishi. Tutawapigia kura Chadema au Cuf! hatutajali maana watakuwa wamenithibishia kuwa sasa itikadi ya CCM ni Ufisadi!! Makongoro atoswe na chama siyo CCM isubiri atoswe na wananchi. CCM safisha wabunge Mafisadi na mawakala wa Mafisadi kabla nguvu ya umma haijawasafisha!! Hii ni sauti iliayo nyikani baada ya kuachana na ufisadi
 
Kingunge Ngombare Mwiru,Yusuph Makamba hawa tunatarajia Jk akiwa rais asiwarudshe tena kwa uteuzi wake.
 
Mie huwa ni msomaji tu wa comments za wana JF na hujifunza mengi kutoka kwenu. Leo nimeguswa sana. Naomba niweke MSISITIZO MKUBWA "RITHA MLAKI" ASITHUBUTU KUCHUKUA FORMS ZA KUGOMBEA JIMBO LA KAWE! Sijui huyu mbunge anatufanyia nini wapiga kura wake. Tangu achaguliwe hajafanya lolote! Anachefua sana sana!

Rita Mlaki - Kawe ni ziro hakuna mfanoe!!!

Na iwe kweli mana imetosha,kaburuza sana!!!..Baibai
 
Back
Top Bottom