Mzee wa mabomu huyo-sumbawanga anaitwa "WACHEPA"!Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa mabomu huyo-sumbawanga anaitwa "WACHEPA"!Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
- Mkuu jimbo la Mtera linaongoza kwa taifa zima kwa kuwa na zahanati na shule, kwa kila kata yaani kata zote 51, na ni majuzi tu bara bara ya kutoka Dodoma kwenda Muvmi imekarabatiwa vizuri sana, sasa safari ya masaa 8, imefupishwa na kuwa masaa manne tu!
Ahsante.
William.
Kingunge Ngombale Mwiru
13. Charles Kenja- Ubungo
Pengine ndiyo maana Shamsa mwangunga amejitokeza kutaka kuwania jimbo hilo. lakini mwanamama huyu aliyeshindwa kusimamia maliasili na utalii, kweli ataliweza jimbo la ubungo kama siyo kuwa mwepesi kwa 'mwenye jimbo hilo anayependwa' kijana mnyika? kundi lake linaonyesha kuwa na nguvu ya akinamama, kwani nasikia rafiki yake sophy naye anataka kupambana na zungu ilala.

Bila kumsahau profesor Phielemon Sarungi a.k.a Big Dady
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wanao onekana kutofaa mwakani, feel free kuongeza majina mengine au kukosoa kwamba fulani asiwepo kwenye list hii.
1. Gideon Cheyo- Ileje.
2. John Chilligati - Manyoni.
3. Chitalilo - Buchosa [ do i need to say why for this guy? ]...lol.
4. Zainab gama - Kibaha.
5. Kapuya - Urambo. - PROVEN TO BE A NON CITIZEN
6. John Komba- Mbinga West.
7.Ligalama Casto- Kilombero.
8. William Lukuvi - Isman.
9. Pombe Magufuli - [ just kidding...]
10. Ritha Mlaki - Kawe.
11. Lau Masha - Nyamagana. [ the guy is too quite on mafisadi issue ]
12.Benson Mpesya - Mbeya Mjini.
13. Wabunge wote wa CCM waliokuwepo kwenye kikao cha NEC na kukaa kimya wakati bunge linaandamwa kwa kufanya shughuli zake kama inavyotakiwa kikatiba.
Mapambano yetu tueleze bungeni sasa, bunge likiwa "rubber stamp" ya mafisadi hatufiki popote.
Anna Kione Kilango Malecela-Same Mashariki. jimbo la Same Mashariki liko nyuma kuliko majimbo yote katika mkoa wa Kilimanjaro. Same Mashariki iko nyuma ktk elimu,afya,maji,mazingira,misitu,kilimo,barabara.
15. Ewassa-Monduli
16. Makongoro Mahanga-Ukonga
17. R. Aziz-Igunga