Wasiostahili kurudi bungeni 2010

Wasiostahili kurudi bungeni 2010

- Mkuu jimbo la Mtera linaongoza kwa taifa zima kwa kuwa na zahanati na shule, kwa kila kata yaani kata zote 51, na ni majuzi tu bara bara ya kutoka Dodoma kwenda Muvmi imekarabatiwa vizuri sana, sasa safari ya masaa 8, imefupishwa na kuwa masaa manne tu!

Ahsante.

William.

W. J. Malecela,
Wewe ni Jr.? haya kazi ipo basi tetea unga, naona ni bora hapo mtera uchifu uhalalilishwe!
 
13. Charles Kenja- Ubungo

Pengine ndiyo maana Shamsa mwangunga amejitokeza kutaka kuwania jimbo hilo. lakini mwanamama huyu aliyeshindwa kusimamia maliasili na utalii, kweli ataliweza jimbo la ubungo kama siyo kuwa mwepesi kwa 'mwenye jimbo hilo anayependwa' kijana mnyika? kundi lake linaonyesha kuwa na nguvu ya akinamama, kwani nasikia rafiki yake sophy naye anataka kupambana na zungu ilala.
 
Pengine ndiyo maana Shamsa mwangunga amejitokeza kutaka kuwania jimbo hilo. lakini mwanamama huyu aliyeshindwa kusimamia maliasili na utalii, kweli ataliweza jimbo la ubungo kama siyo kuwa mwepesi kwa 'mwenye jimbo hilo anayependwa' kijana mnyika? kundi lake linaonyesha kuwa na nguvu ya akinamama, kwani nasikia rafiki yake sophy naye anataka kupambana na zungu ilala.

Ms. Mwangunga angepata umaarufu kama wa Mama Kilango, Mwakyembe na Slaa na kushinda kirahisi sana jimbo hili lenye ushindani mkubwa kama tu angetafuta ufumbuzi wa kudumu wenye kunufaisha wazalendo kule Loliondo, vinginevyo anaweza kushinda kwa kugawa kanga na kofia, kama kawaida yao.
 
Hatushangai, hakuna anayetegemea kuwa wewe Willy ungesema tofauti !! Lakini bajaji ukweli ishachoka ile mbaya, inabidi kukaa pembeni.....
 
Pengine ndiyo maana Shamsa mwangunga amejitokeza kutaka kuwania jimbo hilo. lakini mwanamama huyu aliyeshindwa kusimamia maliasili na utalii, kweli ataliweza jimbo la ubungo kama siyo kuwa mwepesi kwa 'mwenye jimbo hilo anayependwa' kijana mnyika? kundi lake linaonyesha kuwa na nguvu ya akinamama, kwani nasikia rafiki yake sophy naye anataka kupambana na zungu ilala.

Mkuu Mbega Mzuri,

Keenja alipewa jimbo la uchaguzi la ubungo na tume ya uchaguzi lakini hakushinda hata kidogo. Dogo Mnyika alinyang'anywa ushindi kwa nguvu za dola na chama tawala. Sijajua kama atagombea tena lakini huyu kijana anakubalika. Nasikia na mtoto wa Nnauye naye anataka kugombea. Tunawakaribisha sana lakini wajue jimbo la ubungo sio rahisi.

Tiba
 
sijajua kama Mzee wetu Sarungi kama atarudi! nawajua wajaruo kwa mabadiliko wako mbele na kama si mageuzi, ila kama wataendekeza ukabila imekula kwao.
 
Bila kumsahau profesor Phielemon Sarungi a.k.a Big Dady

Sarungi kisha tangaza kutogombea, which is good.

Ongeza Gertrude Mongella a.k.a mama kisilani.
Huyu kisha kuwa king'ang'anizi hata pamoja na skendo za wizi wa mali za AU.
 
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wanao onekana kutofaa mwakani, feel free kuongeza majina mengine au kukosoa kwamba fulani asiwepo kwenye list hii.

1. Gideon Cheyo- Ileje.
2. John Chilligati - Manyoni.
3. Chitalilo - Buchosa [ do i need to say why for this guy? ]...lol.
4. Zainab gama - Kibaha.
5. Kapuya - Urambo. - PROVEN TO BE A NON CITIZEN
6. John Komba- Mbinga West.
7.Ligalama Casto- Kilombero.
8. William Lukuvi - Isman.
9. Pombe Magufuli - [ just kidding...]
10. Ritha Mlaki - Kawe.
11. Lau Masha - Nyamagana. [ the guy is too quite on mafisadi issue ]
12.Benson Mpesya - Mbeya Mjini.

13. Wabunge wote wa CCM waliokuwepo kwenye kikao cha NEC na kukaa kimya wakati bunge linaandamwa kwa kufanya shughuli zake kama inavyotakiwa kikatiba.

Mapambano yetu tueleze bungeni sasa, bunge likiwa "rubber stamp" ya mafisadi hatufiki popote.

Kapuya is now known to be a citizen of Burundi
 
Anna Kione Kilango Malecela-Same Mashariki. jimbo la Same Mashariki liko nyuma kuliko majimbo yote katika mkoa wa Kilimanjaro. Same Mashariki iko nyuma ktk elimu,afya,maji,mazingira,misitu,kilimo,barabara.

Sawa kabisa mkuu lile jimbo ni hopeless kabisa kuanzia mgonja ,yona na sasa huyu Ana.Watu kule wanazidi kuwa wafupi tu.EVAVANI
 
15. Ewassa-Monduli
16. Makongoro Mahanga-Ukonga
17. R. Aziz-Igunga
 
Ndugu Wananchi,

Kwa vile huu ni mwaka wa uchaguzi si vibaya tukaelimishana au kutaarifiana wabunge wasiostahili kurudi bungeni.Tutende haki katika hili na kwa mtazamo wangu tueleze:

Jina la Mbunge:
Jimbo lake:
Chama Chake:
Muda aliokaa bungeni(ikiwezekana sio umri please):
Sababu za kukataa kurudi kwake:

Idumu Tanzania yetu!!!!
 
Jina la Mbunge:ROSTAM AZIZ
Jimbo lake:IGUNGA
Chama Chake:CCM
Muda aliokaa bungeni(ikiwezekana sio umri please):MIAKA 16
Sababu za kukataa kurudi kwake:HACHANGII ISSUES BUNGENI
 
Jina la Mbunge:Makongoro Mahanga
Jimbo lake:UKONGA
Chama Chake:Chukua Chako Mapema
Muda aliokaa bungeni(ikiwezekana sio umri please):Misimu miwil
Sababu za kukataa kurudi kwake:
-Anaunga mkono ufisadi na hajafanya chochote.
-Angalia barabara ya Ukonga Mombasa kwenda Mazizini na Ukonga Barabara za Banana.
-Angalia maisha ya watu wa Gongo la Mboto yalivyo ya hovyo.
-Hakuwatetea kabisa wakazi wa Kipawa.
-Angalia huduma za afya jimboni kwake zilivyo bomu-hakuna hata hospitali moja ya maana.
 
Back
Top Bottom