Wasiostahili kurudi bungeni 2010

Wasiostahili kurudi bungeni 2010

jina la mbunge:mohammed rajab
jimbo lake:jang'ombe
chama chake:ccm
muda aliokaa:2 term
sababu za kukataliwa kwake ni kuwa hana kitu kichwani elimu form 1 na jang'ombe kunajaa maji kuliko baharini watu na vyura wanashare usingizi.
bora naye arudi kucheza soka maana huko ndiko kunakomfaa kuliko huo ubunge.
nasikia amehamia bagamoyo sasa maana huku jimboni kumemshinda.
 
ina la Mbunge😛rof. Philemon Sarungi.
Jimbo lake:Rorya
Chama Chake:Chama cha Manyang'au
Muda aliokaa bungeni(ikiwezekana sio umri please):10 years
Sababu za kukataa kurudi kwake
1.Hajawahi ku-address matatizo ya jimbo lake bungeni/katika ngazi zinazoweza kuyashughukia
2.Ni mbaguzi,hatembelei maeneo mengine jimboni kwake tofauti na maeneo ya karibu na kijijini kwao (Utegi)
3.Amechangia kwa kiasi kikubwa kutokea kwa malumbano ya wapi kuwe makao makuu ya wilaya mpya ya Rorya,huku ikiwa wazi kuwa Shirati ilikuwa na sifa zote kupewa wilaya,aliendelea kulazimisha wilaya ipelekwe Utegi(kijijini kwao) kutokana na shinikizo kutoka kwa wanamtandao(matajiri)wanaomfadhili wakati wa kampeni
4.Hatima yake makao makuu ya wilaya umekuwa allocated katika eneo ambalo halina huduma yoyote ile,inabidi wafanyakazi wa wilaya wakodi ofisi za kiutendaji katika wilaya ya Tarime,haijulikani ujenzi wa ofisi muhimu za wilaya mpya ya Rorya na huduma zingine utaanza lini
5. Hajawahi kusikika bungeni akichangia mada yoyote ya maendeleo inayohusu maslahi ya nchi na jimbo lake tokea ever since alipokuwa waziri wa elimu
6.wakati wa uchaguzi anatumia rushwa kuonga wapiga kura,kwa maana nyingine anatumia advatage ya watu kutokuwa na elimu ya uraia ya kutosha kuwatumia kwa
kugawa hela na zawadi ovyoovyo
7.Hana vision yoyote ya maendeleo kuhusu jimbo la Rorya
 
Dr cyril chami

umri bungeni one term

asirudi kabisa bungeni ni mkabila wa kutupa, anabagua wa uru dhidi ya wakibosho, ametibua vidonda vya kihistoria kati ya vita ya mangi sina dhidi ya uru na old moshi

hakuna la maana alilofanya zaidi ya kujikomba kwa mafisadi na kujisifia kuwa yeye ni msomi, kupitia kwa wasaidizi wake mafisadi kama cyril mushi na akina simba, kila kukicha kujisifia tu, aondoke haraka wala asichukue fomu
 
Dr cyril chami

umri bungeni one term

asirudi kabisa bungeni ni mkabila wa kutupa, anabagua wa uru dhidi ya wakibosho, ametibua vidonda vya kihistoria kati ya vita ya mangi sina dhidi ya uru na old moshi

hakuna la maana alilofanya zaidi ya kujikomba kwa mafisadi na kujisifia kuwa yeye ni msomi, kupitia kwa wasaidizi wake mafisadi kama cyril mushi na akina simba, kila kukicha kujisifia tu, aondoke haraka wala asichukue fomu
Kishmundu una hasira!...lol
 
.........Nyie msiowataka hao wabunge kurudi tena kwenye majimbo yao, je mnamuhitaji nani?Ingekuwa vema mngependekeza mtu gani anayefaa katika hilo jimbo, kama wewe unaona unafaa basi nenda jimboni kwako chukua form jaza ili ugombee.
 
Wako wengi tuuu!
Hasa wale wa CCM ambao chama kinawabeba!
Ila kwa kuanzia madingi wote waanze bse hawana jipya kama umeshindwa for the last 30 years utaweza sasa wamuunge mkono Mzee wa Sumbwanga mjini
 
Wasiofaa kurudi bungeni: Edward Lowassa
Jimbo: Monduli
Sababu: ni mfanya biashara na mikataba ya kitapeli .Atatuingiza mjini tena na richimonduli.
kipindI: miaka ishilini sasa .
Tapeli la kimataifa lenye pesa nyingi halamu.
na rafiki wa Jk.
 
Ndugu Wananchi,

Kwa vile huu ni mwaka wa uchaguzi si vibaya tukaelimishana au kutaarifiana wabunge wasiostahili kurudi bungeni.Tutende haki katika hili na kwa mtazamo wangu tueleze:

Jina la Mbunge:Jackson Makweta
Jimbo lake:Njombe Magharibi
Chama Chake:Chama Cha Mafisadi (CCM)
Muda aliokaa bungeni(ikiwezekana sio umri please) Kutokea siku ya kwanza namsikia alikuwa Mbung, sikumbuki vizuri lakini late 80's
Sababu za kukataa kurudi kwake: Amechoka kiumri na anatakiwa akapimwe akili Jamaica kama bosi wake.


subirini kurogwa tu sasa, wewe na mkuu safari kwa kijembe cha komba, kiuno 80 duh!
 
nilitopewa na kicheko, kumbe niliyemnukuu ni huyohuyo safari, yangu macho na masikio
 
Hakuna kupotezeana muda wa kuumiza mkono kwa kuorodhesha ooh mara jina,chama, na muda aliyokaa n.k hayo yote ya nn?wenyewe tu wanajijua.Mabubu yote ya ccm kuanzia kamanda wao wanatakiwa wakaote jua sasa nchi itawaliwe na wenye akili na kutimiza maadili kwa wananchi.siyo kukaa kwenye viyoyozi kule dodoma na kusubiri muda wa kusaini Per DM.mwisho wa siku oooh waacheni wazee wapumzike.fisadi anapumzika kwa kazi gani aliyofanya?mipresha hiyo ya vitambi hlf mnasubiri kupewa ulaji wa 5yrs tena.sichagui mtu bora nipoteze haki yangu.SMS sent>. UJUMBE;mkiingia kwa rushwa tunazila na kura hakuna ngoma iwe droo kwani nn acha iwe noma.see ya there...?
 
Wassira?Maelezo yake kwenye mkutano wa hadhara majuzi hayakuridhisha akimpinga mwanamakala wa Nipashe aliyehoji ung'ang'anizi wake madarakani toka 1975
 
Ndugu zangu nisaidieni.
Tunaposema kuwa mbunge kashindwa kuleta maendeleo jimboni kwake tuna maama gani?? Nielewavyo mimi, mbunge hana bajeti ya kufanyia maendeleo katika jimbo lake la uchaguzi, isipokuwa mikoa na wilaya ndiyo yenye bajeti za maendeleo katika sehemu husika. Mkoa/wilaya ndiyo huangalia vipaumbele vyake kuwa safari hii wafanye miradi gani ya maendeleo katika sehemu ipi. Mbunge ni mmoja wa wajumbe wa kamati za maendeleo katika wilaya yake akihudhuria vikao vya madiwani.

Sasa mbunge anapolaumiwa saaaaaaana kwa kutoleta maendeleo jimboni mwake hapo ndipo huwa bado sijaelewa kabisa. Nipo tayari kukosolewa katika maelezo yangu ya hapo juu ili nieleweshwe vizuri. Nikielewa vizuri, tuungane mkono, walahi naenda kugombea ili nimng'oe yule babu jimboni kwetu maana umri sasa umemtupa mkono. Alianza enzi za awamu ya kwanza, sasa tuko awamu ya nne bado anakula yeye tu, looh!!! Hebu atupishe na sisi tukawazomee mafisadi bungeni.

NAWASILISHA.
 
JAMANI NINGÉFANYA SHEREHE CHUMBAN KWANGU NAKUWAITA MARAFIKI KAMA HAWA WABUNGE WANGEFUTWA KTK HISTORIA YA UBUNGE. 1. SOFIA SIMBA, 2. HAWA GHASIA, 3. MWANTUMWA, 4.ZAKIA MEGHJI, 5. YANI WABUNGE WOTE WANAWAKE CCM, NIACHIEN ANNA KILANGO, 2. KOMBANIA na Nkya kama cjakosea. JAMAN HAO WENGINE WAKAUDUMIE WAUME ZAO,WATOTO NA MAHAWARA KAMA HAWANA WAUME NA KAZ ZAMAPISH KAMA HAWANA FAN NYINGINE. WAMEKUWA KERO KTK MASIKIO MANENO YAO SIWEZ YATOFAUTISHA NA WANAWAKE WA MITAANI KAMA PALE SIMBA ALIPO SEMA "HAKUNA MWANAUME KAMA LOWASA" JE ALIMANISHA RAIS NA WANAUME WOTE NI WATU GANI? KAMA KWEL MNATAKA HAKI SAWA TUWEKE WANAWAKE WA UKWEL WENYE UCHUNGU NA TAIFA HILI NA SIO VIJEMBE, MAREKAN INAWAPA WANAWAKE FURSA SAWA NA WANAUME ILA SIO KWA STAIL HII YATANZANIA, TUNATAKA WANAWAKE WA UKWEL NA SIO WAMIPASHO TUNAMUITAJI MTU KAMA KILANGO AWE WAZIRI, PIA KOMBANIA NA NKYA PROF WA UN. JAMAN NAOMBA TUSIWACHAGUWE HAWAWEZ WAKIJA KWETU JIBU NI NO WAKAPIKE NAKUFURAHISHA FAMILY ZAO. Hawatufai has Sophia na Ghasia.
 
jamani ningÉfanya sherehe chumban kwangu nakuwaita marafiki kama hawa wabunge wangefutwa ktk historia ya ubunge. 1. Sofia simba, 2. Hawa ghasia, 3. Mwantumwa, 4.zakia meghji, 5. Yani wabunge wote wanawake ccm, niachien anna kilango, 2. Kombania na nkya kama cjakosea. Jaman hao wengine wakaudumie waume zao,watoto na mahawara kama hawana waume na kaz zamapish kama hawana fan nyingine. Wamekuwa kero ktk masikio maneno yao siwez yatofautisha na wanawake wa mitaani kama pale simba alipo sema "hakuna mwanaume kama lowasa" je alimanisha rais na wanaume wote ni watu gani? Kama kwel mnataka haki sawa tuweke wanawake wa ukwel wenye uchungu na taifa hili na sio vijembe, marekan inawapa wanawake fursa sawa na wanaume ila sio kwa stail hii yatanzania, tunataka wanawake wa ukwel na sio wamipasho tunamuitaji mtu kama kilango awe waziri, pia kombania na nkya prof wa un. Jaman naomba tusiwachaguwe hawawez wakija kwetu jibu ni no wakapike nakufurahisha family zao. Hawatufai has sophia na ghasia.
tatizo ni wale wanaowachagua...............akina mama watapelekewa kanga na vitenge..........akina baba kofia kama kawa si mnajua yale mambo yetu ya uchaguzi?...............mwenyewe hawa watu siwapendi kabisa na naomba kuwepo maandamano ya kuwapinga wabunge watakaochaguliwa kwa bahati mbaya.............
 
Jina la Mbunge:Nazir Karamagi
Jimbo lake:Bukoba Vijijini (Kagera)
Chama Chake:CCM
Muda aliokaa bungeni(ikiwezekana sio umri please):Ni zaidi ya vipindi viwili
Sababu za kukataa kurudi kwake:HACHANGII ISSUES za maana BUNGENI, baadhi ya maeneo jimboni kwake hata umeme tunausikia kwenye bomba. Maji mpaka sasa ni ya kuchota kwenye vijito, vipi vikikauka??
 
Back
Top Bottom