Wasioujua ukweli kuhusu Corona Tanzania

Upo sawa ila hii imewalenga madereva malori wanaopeleka bidhaa mipaka ya nchi jirani, na watu wanaotaka kusafiri nchi za nje ambazo wanaitaji ushahidi kuwa hujaugua na Covid-19. Zamani testing ilikua free, na walikua wanafanya contact tracing na kutoa taarifa kwa public ili tuchukue tahadhari, wameacha fanya hivo sasa
 
Mliokuwa mnanibeza kwenye huu uzi sasa mmepata jawabu kuwa CORONA bado ipo. Tuendelee kuchukua tahadhari
Kwani wapi wamesema mkapa amekufa kwa corona ???

Kwa hyo mtu yoyote akifa ni corona ??? Ebu tuache story za vijiweni.. Let uthibitisho
 
Ni aibu sana kwake, na ndio maana sababu ya kifo cha Mkapa kimekua siri, maana ukitangaza amefariki kwa Corona ni aibu kwake sababu ashasema Tanzania Corona imepotelea kwengine
ugonjwa hauna kinga wala tiba itakuaje aibu?

aibu ni kufa kwa malaria yenye tiba na kinga kibao!
 
Watu sasa hivi hawajikingi na maradhi haya hata kidogo. Tunacheza na moto. Tuendelee kuchukua tahadhari. Corona ipo.
 
Kwani wapi wamesema mkapa amekufa kwa corona ???

Kwa hyo mtu yoyote akifa ni corona ??? Ebu tuache story za vijiweni.. Let uthibitisho
Endelea kukataa! Wewe ni muuaji. Korona ipo. Jilinde wewe na wenzako pia kwa kuchukua tahadhari. Your carelessness is a disaster to others.
 
Hawafanyi testing!! Believe me, I know sector person. Na kama wanafanya mbona hizo takwimu hawatoi
Nafikiri kama unaitaka sana corona si itafute tu wewe. Sisi qengine hatuitaki kabisa na imeisha. Sasa ufanye kipimo kwa kitu kisichokuwepo
 
Endelea kukataa! Wewe ni muuaji. Korona ipo. Jilinde wewe na wenzako pia kwa kuchukua tahadhari. Your carelessness is a disaster to others.
mimi nadhani hizi nguvu tuzihamishie kwenye malaria,kifuakikuu nk ni hatari kuliko hii corona yenu.
 
Mleta mada anasema kabisa kuwa hakuna anayejua hali ya corona nchini na hivyo hatuwezi kujua kama tuko salama na sababu ni serikali hafanyi testing hivyo hatuna takwimu,ila ajabu tena mleta mada anaamini corona imepungua sana.

Kilichofanya uamini corona imepungua tena sana ni kipi? na mwanzo corona ilikuwa katika hali gani hadi sasa uone imepungua?
 
Ulichoandika ni ukweli mtupu.

 
Korona ipo mkuu tambua kwamba 80% hawaonyeshi dalili ,wanaoumwa only 15% na wanaodanja ni 5% wenye magonjwa mengine.
Sasa hao wanaodanja wanakufa kwa corona au wanakufa kwa magonjwa mengine huku wakiwa na corona?
 
Corrona ipo. Ngoja iondoke na number moja watakaobaki ndo watapata fundisho.
 
Mmmh hata hali ikiwa mbaya, Jiwe hawezi sema! Ataacha watu wateketee kutunza tu Image yake !
Angekuwa kajificha na hajichanganyi kwenye mikusanyiko ya watu(kama kwenye ule mkutano wao dodoma) hapo ndio tungesema kaacha watu wateketee ila kwa sasa naona kaamua nae kuteketea.
 
Huu ndo ukweli deportivo ipo sn na inaendelea kupukutisha watu ona imemuondoa kiongozi mwingine mara hii......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…