Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,069
- 25,172
Sasa ni nani atakuambia ukamuanini iwapo hata Kikwete aliyekuwa hosptiali na marehemu naye unasema ni mwongo; kila atakayesema usilotaka kusikia hutamsikia. sasa msubilini mama Anna Mkapa huenda naye aksema ya kwake, na vile vile yasipokufurahisha, pia sijui kama utakubaliana nayo. Kuna madakatri walikuwa wanamutibu mzee huyu; siyo kuwa wao hawajali afya zao; kama walikuwa wanamtibu na kuruhusu watu wengine kuja kumwangalia mgonjwa, ina maana gani kwako?Inawezekana hata taarifa ya Kikwete imepikwa kuficha kilichosababisha umauti wa mpendwa wetu?
Maana taarifa ingesena basi, mtajulishwa sababu ya kifo baada ya vipimo...!
Maana ni lazima tujue kwa mijibu wa sheria
Hayo ndiyo matatizo yanayoletwa na conspiracy theory disease.
Koffi Annan akiwa na umri miaka 80 aliugua muda mfupi sana na kufariki akiwa Geneva Uswisi hata kabla ya Korona kuingia; kuna tofauti gani kati ya Annan na Mkapa kufa?