Wasioujua ukweli kuhusu Corona Tanzania

Wasioujua ukweli kuhusu Corona Tanzania

Nimekuona msibani ukihangaikia kugawa uji na maharage.

Hongera sana dogo huo ndiyo uzareendoo tunao hitaji lkn angalia usije kwiba masalia
Yeah niliona vurugu upande flan nikapenyezewa kuna mtu alikuwa akiminyana kutaka kurudishwa mirembe kumbe ni wewe mkuu haya ulikubali kunywa doze!
 
Msije kukwapua masalia ya maharage na uji huo ili mkauze wewe na mwenzako @ Kipara kipya
Yeah niliona vurugu upande flan nikapenyezewa kuna mtu alikuwa akiminyana kutaka kurudishwa mirembe kumbe ni wewe mkuu haya ulikubali kunywa doze!
 
Ukificha maharage na uji lazima niwachome akamatwe wewe na mwenzako @stroke
Yeah niliona vurugu upande flan nikapenyezewa kuna mtu alikuwa akiminyana kutaka kurudishwa mirembe kumbe ni wewe mkuu haya ulikubali kunywa doze!
 
Wewe usiwatakie watu wapate maambukizi, wewe kama unaona imeisha fine. Waache wenzako wanaochukua tahadhali wafanye hivyo
mkuu alie sema watu wasichukue tahadhali nani mkuu je ndani ya mwezi mmoja na nusu mtaani kwaako wamekufa wanngapi kwa korona?
 
Ukweli ni kuwa corona bado ipo. Wiki 2 zilizopita, majirani hapa Mbezi beach wamefariki, na ndugu zao wanasema wanaamini ni corona.

Amana hospitali waliambiwa kuwa madaktari hawaruhusiwi kuandika kuwa mgonjwa au marehemu alionesha viashiria vya corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi mtu akifa kwa Stroke, Malaria, heart attack, au ogonjwa wowote; sababu ni Korona. Iko kama vile kabla ya korona watu walikuwa hawafi. Korna ipo, ni ugonjwa uliosmabaa duniani kote na ni muhimu kila mtu kujichunga nao. lakini tusiendekeza korona kuwa swala la kisiasa kwa ababu ya kutokuwa na lockdown. Kuna nchi hazikuwa na lockdown kama Sweden na wanaendelea na maisha tu; kuna nchi kulikuwa na Lockdown kali sana kama hapa marekani, na bado watu wanaendelea kufa sana. Kulingana na data ambazo nimezisoma ingawa sina data za kutosha kufanya conclusions, Corona inasambaa sana kwenye maeneo yenye msongoamano wa watu wengi sana; kwa mfano Sao Paolo, New York City, Miami. Kwa hiyo watu wanaoishi miji mikubwa yenye msongamano kama Dar, Mwanza, Arusha, Dodoma, Tanga, Mbeya, na majiji mengineyo jitahidini kujiepusha na misongomanao hiyo. Kwa viongozi kufariki na kuhusisha vifo vyao na korona wakati mwingi ni kwa sababu ya kutafuta sababu za kisiasa tu bila kuwa na ushahidi kama kweli walikuwa kwenye misongomano ya watu chini ya futi sita kiasi cha kuambukizwa.
 
Mwaka jana waliindoka watu maarufu mfululizo sana. Ingekuwa mwaka huu mngesena Corona.
 
Sina ushahidi wa kujua kuwa ni wangapi wamekufa kwa corona lkn masharti ya maziko ndiyo yananipa maswali, maana tunaambiwa watakao fika kaburini ni watu 25 tu
mkuu alie sema watu wasichukue tahadhali nani mkuu je ndani ya mwezi mmoja na nusu mtaani kwaako wamekufa wanngapi kwa korona?
 
Angalizo Corona corona Corona Corona ukiugua utambiwa kuna kasindano ka 6 million ukachome utachoma v3 yanii 6m x 3 na ndugu yako hata toboa 🙆🙆🙆🙆🙆😷
 
Sina ushahidi wa kujua kuwa ni wangapi wamekufa kwa corona lkn masharti ya maziko ndiyo yananipa maswali, maana tunaambiwa watakao fika kaburini ni watu 25 tu

Bado nasubiria taarifa ya chanzo Cha kifo Cha Rais Mstaafu Mzee Mkapa....!
Rais Magufuli kasema kifo Cha Mzee Mkapa kimetokea katika hospitali moja isiyo na jina jijini Dar na sababu ya kifo haijawekwa bayana.....!
Je, kuna anayejua?
 
Wao wanajua lkn mwisho wa siku tutajua siku ya kuzika tu maana pembe la ng'ombe halifichiki
Bado nasubiria taarifa ya chanzo Cha kifo Cha Rais Mstaafu Mzee Mkapa....!
Rais Magufuli kasema kifo Cha Mzee Mkapa kimetokea katika hospitali moja isiyo na jina jijini Dar na sababu ya kifo haijawekwa bayana.....!
Je, kuna anayejua?
 
Siku hizi mtu akifa kwa Stroke, Malaria, heart attack, au ogonjwa wowote; sababu ni Korona. Iko kama vile kabla ya korona watu walikuwa hawafi. Korna ipo, ni ugonjwa uliosmabaa duniani kote na ni muhimu kila mtu kujichunga nao. lakini tusiendekeza korona kuwa swala la kisiasa kwa ababu ya kutokuwa na lockdown. Kuna nchi hazikuwa na lockdown kama Sweden na wanaendelea na maisha tu; kuna nchi kulikuwa na Lockdown kali sana kama hapa marekani, na bado watu wanaendelea kufa sana. Kulingana na data ambazo nimezisoma ingawa sina data za kutosha kufanya conclusions, Corona inasambaa sana kwenye maeneo yenye msongoamano wa watu wengi sana; kwa mfano Sao Paolo, New York City, Miami. Kwa hiyo watu wanaoishi miji mikubwa yenye msongamano kama Dar, Mwanza, Arusha, Dodoma, Tanga, Mbeya, na majiji mengineyo jitahidini kujiepusha na misongomanao hiyo. Kwa viongozi kufariki na kuhusisha vifo vyao na korona wakati mwingi ni kwa sababu ya kutafuta sababu za kisiasa tu bila kuwa na ushahidi kama kweli walikuwa kwenye misongomano ya watu chini ya futi sita kiasi cha kuambukizwa.
Ili kuondoa spéculations kwa nini Mkapa haisemwi kafa wa ugonjwa gani ?Kaangalie you tube Mkapa alipotanganza kifo cha Nyerere linganisha na Magufuli alivyotangaza kifo cha Mkapa. Tanganzo la Magufuli linamiss information za maana sana kama sababu za kifo,jina la hospital,alilazwa lini.Huyu ni Rais mstaafu siyo kajamba nani.
 
Sielewi point unayojaribu kusema kwa sababu mazingira ya vifo vyao ni tofauti sana lakini unataka vyote vitangazwe kwa njia ile ile.

Nyerere aliugua kwa muda wa takriban mwezi mzima na taarifa zake za kuugua zilikuwa zimeshajulikana kwa watu wote; haikuwa mara yake ya kwanza kutibiwa ila ugonjwa huo aliokuwa anatibiwa wakati huo ulikuwa unatisha sana, na kuna watati Mkapa alitangaza watanzania wote tumuombee. Kwa hiyo wakati Nyerere anafariki taarifa za ugonjwa wake na chanzo cha kifo vilikuwa hadharani kabisa kwani alilala kwenye comma kwa karibu siku tatu kabla ya kuondolewa life support machine kumaliza uhai wake.

Mkapa alikwenda hospitali akiwa anasikia maumivu lakini siyo tishio sana. Hata rais Kikwete aliyemtembelea alisema alikuwa anaumwa lakini siyo serious sana; kwa hiyo taarifa za kifo chake siyo obvious kama ambavyo za Nyerere zilivyokuwa baada ya kuondolewa kwa life support. Tukisema tusubiri taarifa za madaktari wake, kuna watu rais aseme lolote wanalotaka wao kusikia. Mimi baba yangu alikuwa anataniana na wajukuu zake, and in the next few minutes akawa ni marehemu; tulisubiri siku mbili kupewa taarifa za madaktari kuwa alipata "blood clot" ubongoni. Kifo hakina jibu moja tu.
 
Sielewi point unayojaribu kusema kwa sababu mazingira ya vifo vyao ni tofauti sana lakini unataka vyote vitangazwe kwa njia ile ile.

Nyerere aliugua kwa muda wa takriban mwezi mzima na taarifa zake za kuugua zilikuwa zimeshajulikana kwa watu wote; haikuwa mara yake ya kwanza kutibiwa ila ugonjwa huo aliokuwa anatibiwa wakati huo ulikuwa unatisha sana, na kuna watati Mkapa alitangaza watanzania wote tumuombee. Kwa hiyo wakati Nyerere anafariki taarifa za ugonjwa wake na chanzo cha kifo vilikuwa hadharani kabisa kwani alilala kwenye comma kwa karibu siku tatu kabla ya kuondolewa life support machine kumaliza uhai wake.

Mkapa alikwenda hospitali akiwa anasikia maumivu lakini siyo tishio sana. Hata rais Kikwete aliyemtembelea alisema alikuwa anaumwa lakini siyo serious sana; kwa hiyo taarifa za kifo chake siyo obvious kama ambavyo za Nyerere zilivyokuwa baada ya kuondolewa kwa life support. Tukisema tusubiri taarifa za madaktari wake, kuna watu wanatakla rais aseme lolote wanalotaka kusikia. Mimi baba yangu alikuwa anataniana na wajukuu zake, and in the next few minutes akawa ni marehemu. Kifo hakina jibu moja tu.
Maumivu ya mgongo ?Kichwa ?Kifua ?Shinikizo la Moyo ?Alikwenda lini na hospital gani ?Huyu ni Rais jamani. Kusema tu kafariki hospitalin Dar es salaam haitoshi.
 
Maswali unalouliza ndiyo yale yenye mlengo wa conspiracy theory. Tangu ametoka madarakani miaka 15 iliyopita uliwahi kuambiwa anatibiwa wapi au anaumwa nini? Mimi binafsi ninajua kuwa mara ya mwisho alikuwa anatibiwa usuwis kwa sababu alikaa nje ya ofisi kwa zaidi ya mwezi mmoja, lakini baada ya hapo hatukuwahi kuambiwa alikuwa anatibiwa au kufanyiwa check up wapi. Sasa Kama hatufuatilia afya yaka miaka yote kumi na tano iliyopita, vipi leo tuwe ni mihemko namna hii. Tuwe na subira tu. Vinginevyo tuweka kifungu cha katiba kiachosema kuwa kiongozi na mstaafu yeyote anapoungua jambo lolote ni lazima taifa litangaziwe. hatuna sheria hiyo kwa sasa hivi.
 
Sheria ya mazishi ya viongozi 2006
Edrx4O1XkAMQ_eD.jpeg
 
Sheria ya mazishi ya viongozi 2006View attachment 1515782
Asante sana; kumbe ipo kwenye katiba ingawa sijui kama inahusisha wastaafu. Sasa isome vizuri inasemaje. Inahitaji taarifa zinatangazwe "...as soon as possible after receiving official information and confirmation of an authorized medical officer..."

"As soon as possible" haina maana sasa hivi bali inasema kuwa "mapema sana iwekenavyo"; halafu hiyo ni mara baada ya kupata taarifa kamili kutoka kwa "authorized medical officer". Vifo ambavyo sababu zake haziko wazi ni lazima madaktari wafanye uchunguzi wa mwili wa marehemu kujua nini kimemuua, na taarifa hiyo haiwezi kuja "sasa hivi." Nyerere tulijua mapema sana kwa sababu alikuwa kwenye comma kwa zaidi ya siku tatu; baba yangu ilibidi tusubiri uchunguzi wa madakari kwa siku kama mbili hivi.

Jaribu kuachana na conspiracy theories kwa muda. Ukishakuwa na bias ya kuwa "tunadanganywa" au "tunafichwa", hakuna utakaloambiwa ukalielewa au kulikubali kama halingii kwenye theories zako. Ukiambiwa alipata blood clot kama baba yangu, utakataa, ukiambiwa alipatwa na stroke kwa sababu yoyote ile hutakubali. Kuna jamaa zamani kidgo hapo Dar alikuwa akiitwa PDiddy alianguka barabarani ghafla tu kwa sababu ya stroke na alikuwa kijana kabisa.
 
Mpaka Rais anatangaza ina maana kishapata taarifa za kweli kutoka kwa wataalam wa afya.
 
Kufa ni kitu kimoja, na sababu ya kifo ni kitu kingine. Kikwete alitoka hospitali pale jioni akimwacha Mkapa anaendelea vizuri, na baadaye saa 6:20 usiku Magufuli akatanganza kuwa Mkapa amefariki. Muda huo kati ya saa 12 jioni hadi saa 6 usiku ni muda mfupi sana kwa madakari kufanya post mortem kujua ni nini sababu ya kifo hasa kwa vile inawezekana akawa amefariki muda mfupi kabla ya tangazo hilo la kwanza kwa sababu hiyo ya "..as soon as possible..."
 
Inawezekana hata taarifa ya Kikwete imepikwa kuficha kilichosababisha umauti wa mpendwa wetu?
Maana taarifa ingesena basi, mtajulishwa sababu ya kifo baada ya vipimo...!

Maana ni lazima tujue kwa mijibu wa sheria
 
Back
Top Bottom