ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
- Thread starter
- #21
Mzee huyu anadhani sasa ni 1965, sasa hivi ni 2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makamba? Nitakua mtu wa mwisho kuamini hilo kaka. Makamba katolewa kwenye cabinet kimkakati, sio bahati mbaya. Mpina pia nina wasiwasi, wanaweza kua wanataka atoke au atolewe kabisa kibabe BUT kauri na misimamo ya Mpina kwa Watanzania ni habari nyingine, halafu Mpina anatokea kanda ya ziwa, eneo lenye wapiga KURA wengi kuliko kanda yoyote bongo. Ukitaka kushinda uchaguzi kirahisi, jenga jina kule, tafuta kukubalika kule, kanda zingine zina wapiga kura wachache na zingine ni ngome za ccm for years, hawahitaji kufanya kampeni. Watu kama wangoni kwamfano, utawaambia nini na ccm yao? Mikoa ya pwani je? Something, kanda ya ziwa kama ilivo nyanda za juu kusini (though hawa nao wapo wachache ) siasa zao zinabadirika badirika, ukiwaletea za kuleta, unakula za uso. As we speak, kabla ya November Sugu alikua na uhakika wa kushinda ubunge Mbeya, sasa hivi baada ya watia Nia kwa nafasi ya uenyekiti wa Chadema na kila mtu kua na upande either wa Mbowe au Lissu, tayari Sugu hana uhakika wa kushinda Mbeya. Again baada ya uchaguzi hu tena, Iringa nayo haitabiriki, kabla ya November 2024, ccm walikua na uhakika wa kushinda, now sidhani, upepo umekwisha badirika. Mikoa ya pwani walaKwanza kabisa Mzee wetu Maarufu Mh. Makamo Mwenyekiti, Stephen Wassira Alimaarufu kama mzee wa Afro Shiraz Part na TANU, ametoa hotuba ambayo kimsingi baadhi ya vitu amedanganya ikiwemo suala la uteuzi wa Mgombea.
Kila mtu anajua na aliona kilichofanywa na Samia na Kikwete, Hao ndio watu walioteua Mgombea Urais, sasa inawapa kazi kubwa kujisafisha kwa hicho kilichofanyika.
Mimi nawaambia njia pekee ya kujisafisha ni kurudia uchaguzi na watu waruhusiwe kuchukua fomu then waje wagombea watatu tuchague mmoja wa kusimama October. Kama kweli Samia hana mpinzani na amefanya maajabu basi tutamchagua, Lakini nawaasa kuacha kabisa hicho wanachofanya kutetea uovu. Mzee wa Miaka 80 Kutetea UOVU c jambo zuri, bora ukae kimya au ukatae kazi hiyo.
Pia hotuba nyingi za Mzee wasira aka mzee wa AFRO SHIRAZ PART NA TANU hazina tofauti na hotuba za viongozi wa nchi miaka 60 baada ya Tanganyika kupata uhuru, hotuba zake hazendani na mlengo wa Kisasa.
Mzee wasirra amesema CCM ina reseve ya wapiga kura 12mil, kwahiyo kabla uchaguzi haujaanza tayari wana mil 12, hii ni Uongo, KURA ni siri, utasemaje una kura mil 12 wakati kura ni SIRI, Na kama ni kweli kwanini hamkuruhusu watu wachukue fomu wachague rais wanaemtaka.
Sasa Kuhusu kufanya maendeleo hilo ni muhimu lakini hata Bashiru angekuwa Rais , au hata Jokate hayo aliyofanya Samia wangefanya, sisi tunaangalia haki, na demokrasi na rushwa, hivi ndo vitu mtihani kuvitimiza, sasa mmekuwa kama Museven.
Pia tunajua mmebadilisha katiba ya CCM ili mahususi muwaondoe katika system watu wenu wenyewe ambao ni wabunge, na tetesi ni kuwa hamtaki wawe wabunge, kati ya hao watu 15 ambao hawatakiwi na CCM nawafahamu ni MPINA na MAKAMBA.
Hivi mnategemea ccm na wana ccm waseme ukweli upi?Kwanza kabisa Mzee wetu Maarufu Mh. Makamo Mwenyekiti, Stephen Wassira Alimaarufu kama mzee wa Afro Shiraz Part na TANU, ametoa hotuba ambayo kimsingi baadhi ya vitu amedanganya ikiwemo suala la uteuzi wa Mgombea.
Kila mtu anajua na aliona kilichofanywa na Samia na Kikwete, Hao ndio watu walioteua Mgombea Urais, sasa inawapa kazi kubwa kujisafisha kwa hicho kilichofanyika.
Mimi nawaambia njia pekee ya kujisafisha ni kurudia uchaguzi na watu waruhusiwe kuchukua fomu then waje wagombea watatu tuchague mmoja wa kusimama October. Kama kweli Samia hana mpinzani na amefanya maajabu basi tutamchagua, Lakini nawaasa kuacha kabisa hicho wanachofanya kutetea uovu. Mzee wa Miaka 80 Kutetea UOVU c jambo zuri, bora ukae kimya au ukatae kazi hiyo.
Pia hotuba nyingi za Mzee wasira aka mzee wa AFRO SHIRAZ PART NA TANU hazina tofauti na hotuba za viongozi wa nchi miaka 60 baada ya Tanganyika kupata uhuru, hotuba zake hazendani na mlengo wa Kisasa.
Mzee wasirra amesema CCM ina reseve ya wapiga kura 12mil, kwahiyo kabla uchaguzi haujaanza tayari wana mil 12, hii ni Uongo, KURA ni siri, utasemaje una kura mil 12 wakati kura ni SIRI, Na kama ni kweli kwanini hamkuruhusu watu wachukue fomu wachague rais wanaemtaka.
Sasa Kuhusu kufanya maendeleo hilo ni muhimu lakini hata Bashiru angekuwa Rais , au hata Jokate hayo aliyofanya Samia wangefanya, sisi tunaangalia haki, na demokrasi na rushwa, hivi ndo vitu mtihani kuvitimiza, sasa mmekuwa kama Museven.
Pia tunajua mmebadilisha katiba ya CCM ili mahususi muwaondoe katika system watu wenu wenyewe ambao ni wabunge, na tetesi ni kuwa hamtaki wawe wabunge, kati ya hao watu 15 ambao hawatakiwi na CCM nawafahamu ni MPINA na MAKAMBA.
Huyu Mzee amelikaribia kaburi badala ya kutengeneza mambo yake na Mungu,ndio kwanza anakimbilia kwa shetani.Kwanza kabisa Mzee wetu Maarufu Mh. Makamo Mwenyekiti, Stephen Wassira Alimaarufu kama mzee wa Afro Shiraz Part na TANU, ametoa hotuba ambayo kimsingi baadhi ya vitu amedanganya ikiwemo suala la uteuzi wa Mgombea.
Kila mtu anajua na aliona kilichofanywa na Samia na Kikwete, Hao ndio watu walioteua Mgombea Urais, sasa inawapa kazi kubwa kujisafisha kwa hicho kilichofanyika.
Mimi nawaambia njia pekee ya kujisafisha ni kurudia uchaguzi na watu waruhusiwe kuchukua fomu then waje wagombea watatu tuchague mmoja wa kusimama October. Kama kweli Samia hana mpinzani na amefanya maajabu basi tutamchagua, Lakini nawaasa kuacha kabisa hicho wanachofanya kutetea uovu. Mzee wa Miaka 80 Kutetea UOVU c jambo zuri, bora ukae kimya au ukatae kazi hiyo.
Pia hotuba nyingi za Mzee wasira aka mzee wa AFRO SHIRAZ PART NA TANU hazina tofauti na hotuba za viongozi wa nchi miaka 60 baada ya Tanganyika kupata uhuru, hotuba zake hazendani na mlengo wa Kisasa.
Mzee wasirra amesema CCM ina reseve ya wapiga kura 12mil, kwahiyo kabla uchaguzi haujaanza tayari wana mil 12, hii ni Uongo, KURA ni siri, utasemaje una kura mil 12 wakati kura ni SIRI, Na kama ni kweli kwanini hamkuruhusu watu wachukue fomu wachague rais wanaemtaka.
Sasa Kuhusu kufanya maendeleo hilo ni muhimu lakini hata Bashiru angekuwa Rais , au hata Jokate hayo aliyofanya Samia wangefanya, sisi tunaangalia haki, na demokrasi na rushwa, hivi ndo vitu mtihani kuvitimiza, sasa mmekuwa kama Museven.
Pia tunajua mmebadilisha katiba ya CCM ili mahususi muwaondoe katika system watu wenu wenyewe ambao ni wabunge, na tetesi ni kuwa hamtaki wawe wabunge, kati ya hao watu 15 ambao hawatakiwi na CCM nawafahamu ni MPINA na MAKAMBA.
Hata lusinde aliposema wanaounga mkono hoja yake wasimame, karibu ukumbi mzima walisimama. Bendera fata upepo, sina hakika kama hata wanajua wanahitaji nini.Ikiwa hakuna mtu alisimama na kupinga hapo mkutanoni basi Ina maana wote waliridhia matokeo ya uchaguzi.
Chadomo na Suku gang hii inawahusu 👇👇Kwanza kabisa Mzee wetu Maarufu Mh. Makamo Mwenyekiti, Stephen Wassira Alimaarufu kama mzee wa Afro Shiraz Part na TANU, ametoa hotuba ambayo kimsingi baadhi ya vitu amedanganya ikiwemo suala la uteuzi wa Mgombea.
Kila mtu anajua na aliona kilichofanywa na Samia na Kikwete, Hao ndio watu walioteua Mgombea Urais, sasa inawapa kazi kubwa kujisafisha kwa hicho kilichofanyika.
Mimi nawaambia njia pekee ya kujisafisha ni kurudia uchaguzi na watu waruhusiwe kuchukua fomu then waje wagombea watatu tuchague mmoja wa kusimama October. Kama kweli Samia hana mpinzani na amefanya maajabu basi tutamchagua, Lakini nawaasa kuacha kabisa hicho wanachofanya kutetea uovu. Mzee wa Miaka 80 Kutetea UOVU c jambo zuri, bora ukae kimya au ukatae kazi hiyo.
Pia hotuba nyingi za Mzee wasira aka mzee wa AFRO SHIRAZ PART NA TANU hazina tofauti na hotuba za viongozi wa nchi miaka 60 baada ya Tanganyika kupata uhuru, hotuba zake hazendani na mlengo wa Kisasa.
Mzee wasirra amesema CCM ina reseve ya wapiga kura 12mil, kwahiyo kabla uchaguzi haujaanza tayari wana mil 12, hii ni Uongo, KURA ni siri, utasemaje una kura mil 12 wakati kura ni SIRI, Na kama ni kweli kwanini hamkuruhusu watu wachukue fomu wachague rais wanaemtaka.
Sasa Kuhusu kufanya maendeleo hilo ni muhimu lakini hata Bashiru angekuwa Rais , au hata Jokate hayo aliyofanya Samia wangefanya, sisi tunaangalia haki, na demokrasi na rushwa, hivi ndo vitu mtihani kuvitimiza, sasa mmekuwa kama Museven.
Pia tunajua mmebadilisha katiba ya CCM ili mahususi muwaondoe katika system watu wenu wenyewe ambao ni wabunge, na tetesi ni kuwa hamtaki wawe wabunge, kati ya hao watu 15 ambao hawatakiwi na CCM nawafahamu ni MPINA na MAKAMBA.
Nafahamu Lissu anakubalika sana kanda ya Ziwa , na mikoa ya Umasai Kilimanjaro, Arusha, Manyara hasa wafugajiMakamba? Nitakua mtu wa mwisho kuamini hilo kaka. Makamba katolewa kwenye cabinet kimkakati, sio bahati mbaya. Mpina pia nina wasiwasi, wanaweza kua wanataka atoke au atolewe kabisa kibabe BUT kauri na misimamo ya Mpina kwa Watanzania ni habari nyingine, halafu Mpina anatokea kanda ya ziwa, eneo lenye wapiga KURA wengi kuliko kanda yoyote bongo. Ukitaka kushinda uchaguzi kirahisi, jenga jina kule, tafuta kukubalika kule, kanda zingine zina wapiga kura wachache na zingine ni ngome za ccm for years, hawahitaji kufanya kampeni. Watu kama wangoni kwamfano, utawaambia nini na ccm yao? Mikoa ya pwani je? Something, kanda ya ziwa kama ilivo nyanda za juu kusini (though hawa nao wapo wachache ) siasa zao zinabadirika badirika, ukiwaletea za kuleta, unakula za uso. As we speak, kabla ya November Sugu alikua na uhakika wa kushinda ubunge Mbeya, sasa hivi baada ya watia Nia kwa nafasi ya uenyekiti wa Chadema na kila mtu kua na upande either wa Mbowe au Lissu, tayari Sugu hana uhakika wa kushinda Mbeya. Again baada ya uchaguzi hu tena, Iringa nayo haitabiriki, kabla ya November 2024, ccm walikua na uhakika wa kushinda, now sidhani, upepo umekwisha badirika. Mikoa ya pwani wala
Kwanza kabisa Mzee wetu Maarufu Mh. Makamo Mwenyekiti, Stephen Wassira Alimaarufu kama mzee wa Afro Shiraz Part na TANU, ametoa hotuba ambayo kimsingi baadhi ya vitu amedanganya ikiwemo suala la uteuzi wa Mgombea.
Kila mtu anajua na aliona kilichofanywa na Samia na Kikwete, Hao ndio watu walioteua Mgombea Urais, sasa inawapa kazi kubwa kujisafisha kwa hicho kilichofanyika.
Mimi nawaambia njia pekee ya kujisafisha ni kurudia uchaguzi na watu waruhusiwe kuchukua fomu then waje wagombea watatu tuchague mmoja wa kusimama October. Kama kweli Samia hana mpinzani na amefanya maajabu basi tutamchagua, Lakini nawaasa kuacha kabisa hicho wanachofanya kutetea uovu. Mzee wa Miaka 80 Kutetea UOVU c jambo zuri, bora ukae kimya au ukatae kazi hiyo.
Pia hotuba nyingi za Mzee wasira aka mzee wa AFRO SHIRAZ PART NA TANU hazina tofauti na hotuba za viongozi wa nchi miaka 60 baada ya Tanganyika kupata uhuru, hotuba zake hazendani na mlengo wa Kisasa.
Mzee wasirra amesema CCM ina reseve ya wapiga kura 12mil, kwahiyo kabla uchaguzi haujaanza tayari wana mil 12, hii ni Uongo, KURA ni siri, utasemaje una kura mil 12 wakati kura ni SIRI, Na kama ni kweli kwanini hamkuruhusu watu wachukue fomu wachague rais wanaemtaka.
Sasa Kuhusu kufanya maendeleo hilo ni muhimu lakini hata Bashiru angekuwa Rais , au hata Jokate hayo aliyofanya Samia wangefanya, sisi tunaangalia haki, na demokrasi na rushwa, hivi ndo vitu mtihani kuvitimiza, sasa mmekuwa kama Museven.
Pia tunajua mmebadilisha katiba ya CCM ili mahususi muwaondoe katika system watu wenu wenyewe ambao ni wabunge, na tetesi ni kuwa hamtaki wawe wabunge, kati ya hao watu 15 ambao hawatakiwi na CCM nawafahamu ni MPINA na MAKAMBA.
Usimsahau yule mwanadada anaitwa mwasi akamalizia mchezoKimbisa kama chawa lililokubuhu lilitumiwa kuwasilisha hoja ya Samia kujiteua!
Mrangi yule ana njaa sanaUsimsahau yule mwanadada anaitwa mwasi akamalizia mchezo
Mtukufu sapoka kuhusu utaratibu kanuni za kudumu za...Hangaika na Saccos yako ya CDM ya CCM waachie CCM wenyewe, mkutano mkuu wa CCM ndio ulioamua na ndio wenye mandate.
Mimi Sio chadema, Mimi nataka haki ya Kuchukua fomu kwa woteHangaika na Saccos yako ya CDM ya CCM waachie CCM wenyewe, mkutano mkuu wa CCM ndio ulioamua na ndio wenye mandate.
Kilichofanyika Dodoma hakieleweki kamwe, ...ccm wajitafakariKwanza kabisa Mzee wetu Maarufu Mh. Makamo Mwenyekiti, Stephen Wassira Alimaarufu kama mzee wa Afro Shiraz Part na TANU, ametoa hotuba ambayo kimsingi baadhi ya vitu amedanganya ikiwemo suala la uteuzi wa Mgombea.
Kila mtu anajua na aliona kilichofanywa na Samia na Kikwete, Hao ndio watu walioteua Mgombea Urais, sasa inawapa kazi kubwa kujisafisha kwa hicho kilichofanyika.
Mimi nawaambia njia pekee ya kujisafisha ni kurudia uchaguzi na watu waruhusiwe kuchukua fomu then waje wagombea watatu tuchague mmoja wa kusimama October. Kama kweli Samia hana mpinzani na amefanya maajabu basi tutamchagua, Lakini nawaasa kuacha kabisa hicho wanachofanya kutetea uovu. Mzee wa Miaka 80 Kutetea UOVU c jambo zuri, bora ukae kimya au ukatae kazi hiyo.
Pia hotuba nyingi za Mzee wasira aka mzee wa AFRO SHIRAZ PART NA TANU hazina tofauti na hotuba za viongozi wa nchi miaka 60 baada ya Tanganyika kupata uhuru, hotuba zake hazendani na mlengo wa Kisasa.
Mzee wasirra amesema CCM ina reseve ya wapiga kura 12mil, kwahiyo kabla uchaguzi haujaanza tayari wana mil 12, hii ni Uongo, KURA ni siri, utasemaje una kura mil 12 wakati kura ni SIRI, Na kama ni kweli kwanini hamkuruhusu watu wachukue fomu wachague rais wanaemtaka.
Sasa Kuhusu kufanya maendeleo hilo ni muhimu lakini hata Bashiru angekuwa Rais , au hata Jokate hayo aliyofanya Samia wangefanya, sisi tunaangalia haki, na demokrasi na rushwa, hivi ndo vitu mtihani kuvitimiza, sasa mmekuwa kama Museven.
Pia tunajua mmebadilisha katiba ya CCM ili mahususi muwaondoe katika system watu wenu wenyewe ambao ni wabunge, na tetesi ni kuwa hamtaki wawe wabunge, kati ya hao watu 15 ambao hawatakiwi na CCM nawafahamu ni MPINA na MAKAMBA.
Ngoja aanze kushambuliwa Kwa hoja na kina lissu, ataomba poooHuyu Mzee amelikaribia kaburi badala ya kutengeneza mambo yake na Mungu,ndio kwanza anakimbilia kwa shetani.