Pre GE2025 Wasira awatetemesha akina Tundu Lissu na Wenzake: "Kauli Mbiu ya "No Reform, No Election" Haina Maana Kwa Sasa"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..ACT au chama kingine kwanini wasitengeneze hiyo coalition? Sio lazima kila kitu kimtegemee Lissu, au Chadema.
si ndio chama kikuu cha upinzani mkuu?

ACT yeye ana fight kila siku ampite CDM kwanza kabla ya hayo ya katiba sijui na maandamano and blah blah

Kuipita CDM ni pamoja na ACT kushirikiana na CCM,once CDM is out of the way,Zitto can take out ccm thereafter

Kama Lissu haoni this na ku counter he will be gone kama TLP ya Lyatonga!
 

..jambo la msingi ni kuwepo kwa chama mbadala.

..na chama hicho sio lazima kiwe Chadema.

..hivi vyama vinawindwa na DOLA wakati wote hivyo Watanganyika tuwe tayari kubadilika jinsi vyama vinavyoshughulikiwa.
 
Nawaona intelahomwe
 
Sasa ulitaka wakiuke Sheria ya Uchaguzi wa Serikali za mitaa? We jamaa 🤣 🤣 🤣 Sheria ya Kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Sheria ya UChaguzi wa Serikali za mitaa ni Sheria mbili tofauti usichangaye.

..baada ya kuunda Tume huru tulipaswa kuandaa sheria inayowezesha tume hiyo kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa.

..Mama Abduli na wenzake hawakufanya hivyo ili kutoa upenyo kwa ofisi ya Raisi kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa.

..matokeo yake ni Ofisi ya Raisi kuhujumu na kuharibu uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
Hajui kuwa wanzilishi wa ACT ni akina Kakurwa na akina Mkumbo!!
 
Mlipaswa wewe na nani? Je, hii sheria iliyopo ya sasa ya uchaguzi wa serikali za mitaa mnaifanyaje? 🤣 🤣 🤣
 
Mlipaswa wewe na nani? Je, hii sheria iliyopo ya sasa ya uchaguzi wa serikali za mitaa mnaifanyaje? 🤣 🤣 🤣

..sheria iliyopo ilipaswa kuwa replaced na sheria mpya na kuwezesha Tume Huru kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa. Mama Abduli alifanya hujuma ili Ofisi yake isimamie uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
..sheria iliyopo ilipaswa kuwa replaced na sheria mpya na kuwezesha Tume Huru kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa. Mama Abduli alifanya hujuma ili Ofisi yake isimamie uchaguzi wa serikali za mitaa.
Hueleweki mzee. Badala ya kuandika vitu professional unaanza kuandia maneno ya mipasho, Mara mama abduli mara wabunge mara oh!!

Hivi unajua process ya kuandika sheria? Naona huna hoja yoyote hapa zaidi ya kuandika maneno mengi tu.
🤣 🤣 🤣 🤣 Unataka Government ifanye kazi kwaajili ya CHADEMA, this is a childish idea.
 
Bangi mbaya sana nimekubali
 
Huyu jamaa atakuwa na matatizo ya akili, anajitahidi kutaka kuintimidate yeyote mwenye mawazo tofauti na yeye. Kazi yake ni moja tu, kulinda watawala na CCM kwa gharama yeyote.

Umezungumza nae kwa lugha nzuri ya kiistaarabu kwa mustakabali wa taifa letu. Angalia kauli yake kama huna akili waache wenye akili wafikirie kwa ajili yako, dhamira ni kukufanya ujione huna uwezo wa kuzungumza nae.

CCM imetengeneza wajinga ambao tukiwaacha wataiangamiza Tanzania, anachotambua ni lugha ya kipumbavu kumzidi
 
Tuvute subira kidogo, tutaona mambo makubwa sana mwaka huu, na hayo majizi yatashugulikiwa na muumba hayataamini macho yao. Ubaya huwa na mwisho wa aibu kuu. Tuombe uzima kuyashuhudia hayo.
Umesema kweli, Muumba yuko juu ya nchi na yeye ni haki haya majizi na miuaji huu ni mwisho wao mark my word
 


Unapata ela Kwa njia rahisi Sana

Yan kuandika kitu kama hiki Tu basi ccm wanaweka ela ya siku

Watu mnabahati sana
 
Wamemtafuta babu wa miaka 80 asiyejitambua wakamvalisha spika lao
 
Punguza bangi
 
Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kuuekewa uzi huu, lazima awe mpuuzi kukuzidi kuuelewa
Dunia yote inajua ukweli. Na wewe ndani ya moyo wako unaujua ukweli, ila mahaba yamezidi intelligent yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…