Pre GE2025 Wasira awatetemesha akina Tundu Lissu na Wenzake: "Kauli Mbiu ya "No Reform, No Election" Haina Maana Kwa Sasa"

Pre GE2025 Wasira awatetemesha akina Tundu Lissu na Wenzake: "Kauli Mbiu ya "No Reform, No Election" Haina Maana Kwa Sasa"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Eti alie staff 70+ na mpya aliechukua kiti 80.
Hii no hatari kuliko uliloleta hapa.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Bangi zako zinakufanya utoe comments za kipuuzi, unapotaka kuzungumza na wenye akili timamu usivute bangi unaleta chuki za kijinga
chuki ni lazima

chuki ndio kazi yetu sisi wanadamu..chuki sio za miti na ng'ombe

tunaifanya kazi ya chuki sawa sawa

wewe fanya kazi ya kupenda inatosha,chuki tunaifanya sisi!

nyie jamaa mataahira!
 
Vipi, mumeo Mbowe anaendeleaje?
Leo kaingia ofisini kasema yupo tayari kwa MARIDHIANO

ambapo wakati anawaomba kura alisema ni batili na Mbowe alifanya makosa kufanya

haya sasa,kiko wapi?

you niggas are fools

kiko wapi.png
 
chuki ni lazima

chuki ndio kazi yetu sisi wanadamu..chuki sio za miti na ng'ombe

tunaifanya kazi ya chuki sawa sawa

wewe fanya kazi ya kupenda inatosha,chuki tunaifanya sisi!

nyie jamaa mataahira!
Mchaga uliyechanganyikiwa, basi chuki ziwe justified zako za kibangibangi
 
Mchaga uliyechanganyikiwa, basi chuki ziwe justified zako za kibangibangi
kwahiyo mtu akiwa kinyume na wewe kwanza ana chuki na pili kachanganyikiwa?

akiwa yupo upande mmoja na hoja zako huyo ana upendo na ana akili?

fvck outta here!
 
kwahiyo mtu akiwa kinyume na wewe kwanza ana chuki na pili kachanganyikiwa?

akiwa yupo upande mmoja na hoja zako huyo ana upendo na ana akili?

fvck outta here!
Hapana, kwenye maelezo toa mifano inayokufikisha kwenye chuki za kiendawazimu, haiwezekani unajenga hoja za chuki pasi na ushahidi unaoonekama na kila mtu.

Mara Lissu hataki maelewano na wenzie, mara hataki hiki, kafanya hiki mifano hutoi. Mbona kuna wengi wana mitazamo tofauti na hoja zao mujarab, acha kuhorojoka na chuki bila mifano
 
Back
Top Bottom