Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #61
Umeshindwa kujibu swali. Wewe huna uwezo wa kuhoji chochote. 🤣 🤣 🤣 🤣Duh, Lissu amenichekesha sana, nimecheka mno! Ebu Tazama video hii
Lucas Mwashambwa una la kusema mkuu?😁😁😁😁www.jamiiforums.com
Huwa nashangaa na kuhuzunika kuona saa zingine mtu alie soma hata civics na mweny hakili akikataa mabadiliko ya katiba, daaa nikweli ndomaana hata mbuzi ukiwa unampeleka malishoni ukiwa umemfunga kamba unamvita na yee analudi nyuma asijue kuwa unampeleka dehemu sahihi,, vivyo hivyo wapinzani wana tetea wananchi ila wwananchi wamekua kama mbuzi baadhiWapi amesema hivyo? Mzee au unajitungia taarifa wewe mwenyewe? 🤣 🤣 🤣 🤣
Marekebisho ya sheria za uchaguzi Mbowe na Lissu waliingia mitini. Sheria za uchaguzi zilishapitishwa na zinafanya kazi.
Sasa nakuuliza Unataka marekebisho ya Sheria hizo yawe kwaajili ya CHADEMA pekee na siyo Tanzania?
Jifunze kwanza kuandika vizuri ndio uje kwenye topics hizi nzito. Kwa sasa kiwango chako cha juu kabisa ni kujadiliana na bataHuwa nashangaa na kuhuzunika kuona saa zingine mtu alie soma hata civics na mweny hakili akikataa mabadiliko ya katiba, daaa nikweli ndomaana hata mbuzi ukiwa unampeleka malishoni ukiwa umemfunga kamba unamvita na yee analudi nyuma asijue kuwa unampeleka dehemu sahihi,, vivyo hivyo wapinzani wana tetea wananchi ila wwananchi wamekua kama mbuzi baadhi
Unawazazi woteJifunze kwanza kuandika vizuri ndio uje kwenye topics hizi nzito. Kwa sasa kiwango chako cha juu kabisa ni kujadiliana na bata
Nenda kajadiliane na Bata huna ruhusa ya kujadiliana na wenye akili 🤣 🤣 🤣 🤣Unawazazi wote
Ndomana nakuuliza ulilelewa na wazazi wote au wewe ni mtoto wa nnje ya ndoa? Nijibu plz broNenda kajadiliane na Bata huna ruhusa ya kujadiliana na wenye akili 🤣 🤣 🤣 🤣
Wapi amesema hivyo? Mzee au unajitungia taarifa wewe mwenyewe? 🤣 🤣 🤣 🤣
Marekebisho ya sheria za uchaguzi Mbowe na Lissu waliingia mitini. Sheria za uchaguzi zilishapitishwa na zinafanya kazi.
Sasa nakuuliza Unataka marekebisho ya Sheria hizo yawe kwaajili ya CHADEMA pekee na siyo Tanzania?
Maelezo yako yote ni fake. 🤣 🤣 🤣 🤣 Ukionesha certificate ya kujua kutumia kiswahili sanifu nitakujibu.Ndomana nakuuliza ulilelewa na wazazi wote au wewe ni mtoto wa nnje ya ndoa? Nijibu plz bro
Hoja za majuha, kama msingempiga zile risasi 16 angekimbilia huko Ubelgiji? CCM weupe kweli kichwani kama tlaatlaahMagu alikuwa haishi Ubeligiji. Na Trump haishi uhamishoni. Je, Familia ya LIssu ipo wapi?
Tatizo sio wewe wenda ni mareziMaelezo yako yote ni fake. 🤣 🤣 🤣 🤣 Ukionesha certificate ya kujua kutumia kiswahili sanifu nitakujibu.
Usha ona kaka af wengi wao ni wazee walio soma elimu ya watu wazima ko wanabuluzwatu kwenye matopeHoja za majuha, kama msingempiga zile risasi 16 angekimbilia huko Ubelgiji? CCM weupe kweli kichwani kama tlaatlaah
Chama cha majuha wanakimbilia jf kuja kuzima moto wa TL huku, tatizo lao wanavyofanywa wapumbavu huko na kushindwa kuhoji wanakubali na kushangilia wanafikiria wakija huku kuna wajinga wenzaoUsha ona kaka af wengi wao ni wazee walio soma elimu ya watu wazima ko wanabuluzwatu kwenye matope
Huyo mzee wa hovyo Wassira kwa muda wote alioishi Tanzania anewahi kulifanyia nini taifa? Taja jambo moja tuLissu ameshawahi kulifanyia nini Taifa la Tanzania? 🤣 🤣 🤣 🤣 Taja jambo moja tu
Naomba tuanze kwa hili. Katika mazungumzo na majadiliano ya mabadiliko ya sheria za uchaguzi. Makatibu wa vyama vyote vya siasa hapa Tanzania walihudhuria kwenye majadiliano ispokuwa CHADEMA tu. Tueleze ni sababu zipi hao CHADEMA iliwapelekea kugomea mazungumzo?..Kwanza Chadema, Mbowe, Lissu, hawakukimbia kushiriki mchakato wa kurekebisha sheria za uchaguzi.
Tuambie kuhusu katiba ya Tanzania wawakilishi wa wananchi kama siyo wabunge. Nitaomba uniwekee ibara ya katiba yetu na sheria za Tanzania zinazoeleza kuwa Wabunge siku hizi siyo wawakilishi wa watanzania...Kilichotokea ni serikali na Bunge kupuuza maoni ya wadau ambayo yangepelekea marekebisho ya maana ktk Tume ya uchaguzi, na mifumo inayosimamia uchaguzi.
Fafanua matarajio ya vyama vya siasa. Vyama vya siasa vipi? Vitaje..Marekebisho yamefanyika lakini hayajakidhi matarajio ya vyama vya siasa, viongozi wa dini, asasi za kiraia, na wananchi mbalimbali waliojitokeza kutoa maoni kwa Kamati ya Bunge
Hapa mzee mbona unajichanganya? Umesema Bunge halikusikiliza matarajio ya hao uliowataja. Halafu tena unakuja kusema bunge lilipitisha serikali haikusimamia. Which is Which?..Kwa mfano, Bunge limepitisha sheria chaguzi zote zisimamiwe na Tume, serikali imepuuza na Tamisemi wakasimamia uchaguzi wa serikali za mitaa.
Sentensi yako hii haina mashiko kama vitu vidogo tu umeshindwa kuvitolea ufafanuzi...Hii nchi ni yetu sote. Rais Samia ashauriwe vizuri katika suala hili na atende HAKI.
Mtu anayemshauri kaamua kumteua mzee wa hovyo Wassira, unategemea ashauriwe nini?..badala ya kufanya uchaguzi kwa kutumia sheria mbovu kwanini tusiuahirishe mpaka 2016 ili tufanye marekebisho ktk Tume ya Uchaguzi?
..hii nchi ni yetu sote. Raisi apewe ushauri mzuri kwa maslahi ya taifa letu.
Kumbe unawajua waliompiga risasi. Kwanini huendi kutoa taarifa na kufungua kesi? 🤣 🤣 🤣Hoja za majuha, kama msingempiga zile risasi 16 angekimbilia huko Ubelgiji? CCM weupe kweli kichwani kama tlaatlaah
Misaada kama kumpiga risasi 16 na kukataa kumtibia? Zaidi toka 2017 September hadi leo hakuna hata mtu mmoja aliyekamatwa ndio dhamana hiyo?CCM ndio imepewa dhamana ya Watanzania wote. Ndio maana Lissu anapewa misaada yote anayoihitaji na Serikali ya CCM. So hakuna anayemchukia LIsuu
Huna uwezo kijana wa kujadili hizi hoja nzito. Utaishia kutaja Majuha, majuha, majuha bila kuongea chochote chamaa. 🤣🤣🤣🤣Inaonekana unaupenda sana UjuhaChama cha majuha wanakimbilia jf kuja kuzima moto wa TL huku, tatizo lao wanavyofanywa wapumbavu huko na kushindwa kuhoji wanakubali na kushangilia wanafikiria wakija huku kuna wajinga wenzao
Hata hawajiulizi kwanini hawajafanya uchaguzi ndani ya chama wa kumuchagua mgombea uraisi?? Tatz avijifkilii ndomaana unaambiwa kuongoza wamarekani wawili bora uongoze watanzania 100000Chama cha majuha wanakimbilia jf kuja kuzima moto wa TL huku, tatizo lao wanavyofanywa wapumbavu huko na kushindwa kuhoji wanakubali na kushangilia wanafikiria wakija huku kuna wajinga wenzao