Pre GE2025 Wasira awatetemesha akina Tundu Lissu na Wenzake: "Kauli Mbiu ya "No Reform, No Election" Haina Maana Kwa Sasa"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
🤣 🤣 🤣 Hebu waeleze watanzania kwanza Kati ya Lisu na Mbowe nani kiboko?
 
Hoja haihitaji jinsia wala umri, jigunze kutoa hoja mujarabu siyo za vijembe vya wajinga wa CCM. Wassira anamtetemesha Lissu umeona hoja ya mtu mwenye akili?
Ona sasa mpaka unachapia? Hisia zako zimezidi uwezo wa Akili 🤣🤣🤣🤣
 
Huyu Eric Kabendera ni nani? Je, ni ndugu yako? Rafiki yako na anakaa wapi?
Utamjua tu ukiacha kutetea wezi wa kura na wauaji. Huyo aliyekupa kazi jf ya kupost ujinga kamuulize, pia usisahau kumuuliza Ben Saanane yuko wapi?
 
Ona sasa mpaka unachapia? Hisia zako zimezidi uwezo wa Akili 🤣🤣🤣🤣
Kwa watoto wa kindergarten spelling mistakes ni bonge la hoja, watacheka hadi kujikojolea. Lakini umeelewa au hujaelewa?
 
Kwa watoto wa kindergarten spelling mistakes ni bonge la hoja, watacheka hadi kujikojolea. Lakini umeelewa au hujaelewa?
Wewe tutusa huna hoja, nenda kajadiliane na zuchu kuhusu Diamond Platinumz 🤣 🤣 🤣
 
Utamjua tu ukiacha kutetea wezi wa kura na wauaji. Huyo aliyekupa kazi jf ya kupost ujinga kamuulize, pia usisahau kumuuliza Ben Saanane yuko wapi?
Wewe nani kakupa kazi hapa JF?
 
Aliyekutuma kuja kuleta hoja za kijinga kamwambie siku hizi wajinga hakuna labda Chomwaga tu
Wewe unadhani ni nani amenituma? 🤣 🤣 🤣 (Wewe ni mtoto wa bongo zozo)
 
Wewe nani kakupa kazi hapa JF?
Umeona nina ajenda ya kutetea mtu? Wewe na upumbavu wako wa uccm unatuletea hekaya za mtu wa kale aje kumtetemesha mwenye akili. Pelekeni uchawa wenu lumumba majira imebadilika
 
Umeona nina ajenda ya kutetea mtu? Wewe na upumbavu wako wa uccm unatuletea hekaya za mtu wa kale aje kumtetemesha mwenye akili. Pelekeni uchawa wenu lumumba majira imebadilika
Kwahiyo Lissu siyo mtu tena? 🤣 🤣 🤣 We jamaa dishi limeyumba
 
..Mswada wa Mabadiliko ya Sheria ya uchaguzi na Tume Huru kabla haujafikishwa BUNGENI kamati ya Sheria na Katiba iliwaita wadau wakatoe mapendekezo.

..Kilichotokea ni KAMATI YA BUNGE kupuuza maoni ya msingi ambayo yangetupa Tume ya uchaguzi iliyo huru kwelikweli, na badala yake wakapeleka mswaada mwepesi usiokidhi matarajio, na vigezo, na bunge likapitisha.

..Sheria mpya ya Tume ya Uchaguzi ndio imeelekeza kwamba CHAGUZI ZOTE zitasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi. Kilichotokea ni serikali kufanya ujanjaujanja na kulazimisha Tamisemi waendelee kusimamia uchaguzi.

..Sheria pia imeanzisha Tume Huru ya Uchaguzi, lakini serikali au Raisi amegoma kuvunja Tume ya zamani na kuteua makamishna wapya. Nadhani Rais anategea mpaka avunje Bunge ili aseme mchakato wa kusaili makamishna wapya hauwezekani.

..Pia kuna Mwenezi wa CCM amesikika akidai Tume Huru itasimamia uchaguzi wa 2030, uchaguzi wa mwaka huu utasimamiwa na Tume ya zamani.

..Narudia kusisitiza nchi hii ni yetu sote. Tutendeane HAKI. Tufanye uchaguzi ambao kila upande unaridhika nao.
 
Hivi mzee wangu Wasira ,anao ubavu kwa sasa tetemesha dam mpya , mzee wamemunea sana mpa cheo ichi, umri umeenda , napendkeza makobora kwa mzee wetu yawe ya kawaida tu , bora mzee wangu pinda alisoma nyakati.

Sasa mzee wangu Wasira njoo taratibu , tunakupendaa,tunakuheshim sana sitaki hujibiwe kwa viwango vya juu sana kama mzee wetu , ila ukilazimisha tutakujibu.

Achia icho kiti mara moja ,mzee wangu ,hutaki tusilaumiane
 
..Kilichotokea ni KAMATI YA BUNGE kupuuza maoni ya msingi ambayo yangetupa Tume ya uchaguzi iliyo huru kwelikweli, na badala yake wakapeleka mswaada mwepesi usiokidhi matarajio, na vigezo, na bunge likapitisha.
KAKA nakuheshimu sana hapa JF. Haya maelezo ya jumla jumla, hayana afya yote na hayana tofauti na propaganda alizokuwa anazitumia Hittler.

-> Hayo unayoyaita maoni ya msingi hayajulikani? Je yapo kwenye UTOPIA?, kwanini hutaki kuyataja maoni hayo unayodai ni ya msingi.

..Sheria mpya ya Tume ya Uchaguzi ndio imeelekeza kwamba CHAGUZI ZOTE zitasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi. Kilichotokea ni serikali kufanya ujanjaujanja na kulazimisha Tamisemi waendelee kusimamia uchaguzi.
Nimekusihi uweke Kifungu cha sheria kinachosema CHAGUZI ZOTE zitasimamiwa na TUME HURU YA UCHAGUZI*. Bahati mbaya umekuja na cheap propaganda zile zile walizokuwa wakitumia akina Carl Peters kuwadanganya waafrika wa zamani.

..Sheria pia imeanzisha Tume Huru ya Uchaguzi, lakini serikali au Raisi amegoma kuvunja Tume ya zamani na kuteua makamishna wapya. Nadhani Rais anategea mpaka avunje Bunge ili aseme mchakato wa kusaili makamishna wapya hauwezekani.
Ona sasa ndugu yangu unakoelekea. Unajiuliza maswali na unajijibu mwenyewe. Unaongea mawazo kutoka kichwani kwako pekee. Hivi umeisomakweli sheria ya tume huru ya uchaguzi?
..Pia kuna Mwenezi wa CCM amesikika akidai Tume Huru itasimamia uchaguzi wa 2030, uchaguzi wa mwaka huu utasimamiwa na Tume ya zamani.

Hizi tuhuma za kizamani kweli. Alisikika wapi, lini nk. Kwenye News tunasema 5WH usipojibu hiyo formula maana yake taarifa yako ni ya ubabaishaji.
..Narudia kusisitiza nchi hii ni yetu sote. Tutendeane HAKI. Tufanye uchaguzi ambao kila upande unaridhika nao.

Narudia:
Kama huwezi kufikiria kwa vitu vidogo tu hivi, Tuache sisi wenye akili tufikirie kwa niaba yako
 
Wasira huwa namuona chawa aongeaye toka tumboni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…