Pre GE2025 Wasira awatetemesha akina Tundu Lissu na Wenzake: "Kauli Mbiu ya "No Reform, No Election" Haina Maana Kwa Sasa"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe kweli mwendawazimu, acha kujichekesha kama chizi uliyeona jalala jipya, hebu niambie uzito wa hoja yako ya kijinga uko wapi? Vijembe vya kwenye khanga kuwa mzee wa hovyo Wassira anamtetemesha Lissu?

Halafu unategemea tukuache na upuuzi huu? Wewe ni juha na hoja zako za hovyo niko na wewe
🤣 🤣 🤣 Hebu waeleze watanzania kwanza Kati ya Lisu na Mbowe nani kiboko?
 
Hoja haihitaji jinsia wala umri, jigunze kutoa hoja mujarabu siyo za vijembe vya wajinga wa CCM. Wassira anamtetemesha Lissu umeona hoja ya mtu mwenye akili?
Ona sasa mpaka unachapia? Hisia zako zimezidi uwezo wa Akili 🤣🤣🤣🤣
 
Huyu Eric Kabendera ni nani? Je, ni ndugu yako? Rafiki yako na anakaa wapi?
Utamjua tu ukiacha kutetea wezi wa kura na wauaji. Huyo aliyekupa kazi jf ya kupost ujinga kamuulize, pia usisahau kumuuliza Ben Saanane yuko wapi?
 
Ona sasa mpaka unachapia? Hisia zako zimezidi uwezo wa Akili 🤣🤣🤣🤣
Kwa watoto wa kindergarten spelling mistakes ni bonge la hoja, watacheka hadi kujikojolea. Lakini umeelewa au hujaelewa?
 
Wewe tutusa huna hoja, nenda kajadiliane na zuchu kuhusu Diamond Platinumz 🤣 🤣 🤣
 
Utamjua tu ukiacha kutetea wezi wa kura na wauaji. Huyo aliyekupa kazi jf ya kupost ujinga kamuulize, pia usisahau kumuuliza Ben Saanane yuko wapi?
Wewe nani kakupa kazi hapa JF?
 
Wewe nani kakupa kazi hapa JF?
Umeona nina ajenda ya kutetea mtu? Wewe na upumbavu wako wa uccm unatuletea hekaya za mtu wa kale aje kumtetemesha mwenye akili. Pelekeni uchawa wenu lumumba majira imebadilika
 
Kwahiyo Lissu siyo mtu tena? 🤣 🤣 🤣 We jamaa dishi limeyumba
 
Naomba tuanze kwa hili. Katika mazungumzo na majadiliano ya mabadiliko ya sheria za uchaguzi. Makatibu wa vyama vyote vya siasa hapa Tanzania walihudhuria kwenye majadiliano ispokuwa CHADEMA tu. Tueleze ni sababu zipi hao CHADEMA iliwapelekea kugomea mazungumzo?

Tuambie kuhusu katiba ya Tanzania wawakilishi wa wananchi kama siyo wabunge. Nitaomba uniwekee ibara ya katiba yetu na sheria za Tanzania zinazoeleza kuwa Wabunge siku hizi siyo wawakilishi wa watanzania.

Fafanua matarajio ya vyama vya siasa. Vyama vya siasa vipi? Vitaje
Viongozi wa dini zipi? Na asasi za kiraia zipi? Hivi unajua kuwa hapa Tanzania tupo na asasi za kiraia zaidi ya 10,000?
Unajua zaidi ya 80% ya vyama vya siasa nchini vilikubaliana na mabadiliko haya ya sheria?
Tuambie matarajio yapi ulitaka hao uliowataja wayapate?**

Hapa mzee mbona unajichanganya? Umesema Bunge halikusikiliza matarajio ya hao uliowataja. Halafu tena unakuja kusema bunge lilipitisha serikali haikusimamia. Which is Which?

Tueleze kigungu kipi cha sheria kimesema TAMISEMI isisimamie chaguzi za serikali za mitaa? Taja hicho kifungu

Sentensi yako hii haina mashiko kama vitu vidogo tu umeshindwa kuvitolea ufafanuzi.

Kama huwezi kufikiria kwa vitu vidogo tu hivi, Tuache sisi wenye akili tufikirie kwa niaba yako

..Mswada wa Mabadiliko ya Sheria ya uchaguzi na Tume Huru kabla haujafikishwa BUNGENI kamati ya Sheria na Katiba iliwaita wadau wakatoe mapendekezo.

..Kilichotokea ni KAMATI YA BUNGE kupuuza maoni ya msingi ambayo yangetupa Tume ya uchaguzi iliyo huru kwelikweli, na badala yake wakapeleka mswaada mwepesi usiokidhi matarajio, na vigezo, na bunge likapitisha.

..Sheria mpya ya Tume ya Uchaguzi ndio imeelekeza kwamba CHAGUZI ZOTE zitasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi. Kilichotokea ni serikali kufanya ujanjaujanja na kulazimisha Tamisemi waendelee kusimamia uchaguzi.

..Sheria pia imeanzisha Tume Huru ya Uchaguzi, lakini serikali au Raisi amegoma kuvunja Tume ya zamani na kuteua makamishna wapya. Nadhani Rais anategea mpaka avunje Bunge ili aseme mchakato wa kusaili makamishna wapya hauwezekani.

..Pia kuna Mwenezi wa CCM amesikika akidai Tume Huru itasimamia uchaguzi wa 2030, uchaguzi wa mwaka huu utasimamiwa na Tume ya zamani.

..Narudia kusisitiza nchi hii ni yetu sote. Tutendeane HAKI. Tufanye uchaguzi ambao kila upande unaridhika nao.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stevin Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.
View attachment 3213528
Akizungumza leo, Januari 23, 2025, jijini Dodoma, Wasira alieleza kuwa badala ya kushikilia kauli hiyo, CHADEMA wanapaswa kushiriki uchaguzi na kuhakikisha wanakubaliana na maridhiano yaliyopo.

"Kauli ya 'No Reform, No Election' haina nafasi kwa sasa. Rais Samia Suluhu Hassan na CCM wameonyesha utayari wa mazungumzo, na bunge linakaribia kuvunjwa, hivyo hakuna muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria yanayohitaji muda mrefu," alisema Wasira.

Aliongeza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, unaotarajiwa kuchagua Rais, Wabunge, na Madiwani, unapaswa kuwa nafasi ya vyama vyote kushindana kwa hoja badala ya kutafuta visingizio.

Wasira aliwataka viongozi wa CHADEMA kutumia nafasi za mazungumzo zilizopo badala ya kusimamia misimamo isiyotekelezeka kwa wakati huu. "Ni muhimu kushiriki uchaguzi na kuwa sehemu ya demokrasia badala ya kupoteza muda na kauli ambazo hazina tija kwa wananchi," alisisitiza.
Hivi mzee wangu Wasira ,anao ubavu kwa sasa tetemesha dam mpya , mzee wamemunea sana mpa cheo ichi, umri umeenda , napendkeza makobora kwa mzee wetu yawe ya kawaida tu , bora mzee wangu pinda alisoma nyakati.

Sasa mzee wangu Wasira njoo taratibu , tunakupendaa,tunakuheshim sana sitaki hujibiwe kwa viwango vya juu sana kama mzee wetu , ila ukilazimisha tutakujibu.

Achia icho kiti mara moja ,mzee wangu ,hutaki tusilaumiane
 
..Kilichotokea ni KAMATI YA BUNGE kupuuza maoni ya msingi ambayo yangetupa Tume ya uchaguzi iliyo huru kwelikweli, na badala yake wakapeleka mswaada mwepesi usiokidhi matarajio, na vigezo, na bunge likapitisha.
KAKA nakuheshimu sana hapa JF. Haya maelezo ya jumla jumla, hayana afya yote na hayana tofauti na propaganda alizokuwa anazitumia Hittler.

-> Hayo unayoyaita maoni ya msingi hayajulikani? Je yapo kwenye UTOPIA?, kwanini hutaki kuyataja maoni hayo unayodai ni ya msingi.

..Sheria mpya ya Tume ya Uchaguzi ndio imeelekeza kwamba CHAGUZI ZOTE zitasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi. Kilichotokea ni serikali kufanya ujanjaujanja na kulazimisha Tamisemi waendelee kusimamia uchaguzi.
Nimekusihi uweke Kifungu cha sheria kinachosema CHAGUZI ZOTE zitasimamiwa na TUME HURU YA UCHAGUZI*. Bahati mbaya umekuja na cheap propaganda zile zile walizokuwa wakitumia akina Carl Peters kuwadanganya waafrika wa zamani.

..Sheria pia imeanzisha Tume Huru ya Uchaguzi, lakini serikali au Raisi amegoma kuvunja Tume ya zamani na kuteua makamishna wapya. Nadhani Rais anategea mpaka avunje Bunge ili aseme mchakato wa kusaili makamishna wapya hauwezekani.
Ona sasa ndugu yangu unakoelekea. Unajiuliza maswali na unajijibu mwenyewe. Unaongea mawazo kutoka kichwani kwako pekee. Hivi umeisomakweli sheria ya tume huru ya uchaguzi?
..Pia kuna Mwenezi wa CCM amesikika akidai Tume Huru itasimamia uchaguzi wa 2030, uchaguzi wa mwaka huu utasimamiwa na Tume ya zamani.

Hizi tuhuma za kizamani kweli. Alisikika wapi, lini nk. Kwenye News tunasema 5WH usipojibu hiyo formula maana yake taarifa yako ni ya ubabaishaji.
..Narudia kusisitiza nchi hii ni yetu sote. Tutendeane HAKI. Tufanye uchaguzi ambao kila upande unaridhika nao.

Narudia:
Kama huwezi kufikiria kwa vitu vidogo tu hivi, Tuache sisi wenye akili tufikirie kwa niaba yako
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stevin Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.
View attachment 3213528
Akizungumza leo, Januari 23, 2025, jijini Dodoma, Wasira alieleza kuwa badala ya kushikilia kauli hiyo, CHADEMA wanapaswa kushiriki uchaguzi na kuhakikisha wanakubaliana na maridhiano yaliyopo.

"Kauli ya 'No Reform, No Election' haina nafasi kwa sasa. Rais Samia Suluhu Hassan na CCM wameonyesha utayari wa mazungumzo, na bunge linakaribia kuvunjwa, hivyo hakuna muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria yanayohitaji muda mrefu," alisema Wasira.

Aliongeza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, unaotarajiwa kuchagua Rais, Wabunge, na Madiwani, unapaswa kuwa nafasi ya vyama vyote kushindana kwa hoja badala ya kutafuta visingizio.

Wasira aliwataka viongozi wa CHADEMA kutumia nafasi za mazungumzo zilizopo badala ya kusimamia misimamo isiyotekelezeka kwa wakati huu. "Ni muhimu kushiriki uchaguzi na kuwa sehemu ya demokrasia badala ya kupoteza muda na kauli ambazo hazina tija kwa wananchi," alisisitiza.
Wasira huwa namuona chawa aongeaye toka tumboni.
 
Back
Top Bottom