Ongea kama mtu anaye maanisha kakaKumbe unawajua waliompiga risasi. Kwanini huendi kutoa taarifa na kufungua kesi? 🤣 🤣 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongea kama mtu anaye maanisha kakaKumbe unawajua waliompiga risasi. Kwanini huendi kutoa taarifa na kufungua kesi? 🤣 🤣 🤣
Nenda kakae na Lissu umuulize vizuri. Inaonekana umekuja kuleta mipasho ya Khadija Kopa 🤣🤣🤣Misaada kama kumpiga risasi 16 na kukataa kumtibia? Zaidi toka 2017 September hadi leo hakuna hata mtu mmoja aliyekamatwa ndio dhamana hiyo?
Wewe bado mchanga 🤣🤣🤣Hujui kuandika kiswahili au wewe siyo mtanzania?Ongea kama mtu anaye maanisha kaka
Kama we ni mzee wa miaka 60 naweza kukubali unachoongea sababu inabidi ufe ila unangangania maisha
Aliyempiga risasi katumwa na Magufuli aliyembangua risasi ya kichwa Ben Saanane kwa kumwambia kweli kuwa degree zake za kubumba.Kumbe unawajua waliompiga risasi. Kwanini huendi kutoa taarifa na kufungua kesi? 🤣 🤣 🤣
Itakua Magu hakuwahishambuliwa na marisasi mengi ndo maana familia yake iko hapa,halikadhalika Trump inasemekana hakuwajishamuliwa kwa risasi zaidi ya 10 na akasalimika,hivyo yupo USA kama kawaida.Tolea mfano wa watu waliowahishambuliwa.Magu alikuwa haishi Ubeligiji. Na Trump haishi uhamishoni. Je, Familia ya LIssu ipo wapi?
Oh!! Kumbe!!! Ulikuwepo eneo la tukio au story za kwenye vijiwe vya kahawa? 🤣 🤣 🤣 🤣Aliyempiga risasi katumwa na Magufuli aliyembangua risasi ya kichwa Ben Saanane kwa kumwambia kweli kuwa degree zake za kubumba.
Na aliyeko madarakani kaishasema kazi iendelee maana kazi za Magufuli. Mafwele kamteka Sativa na kamtaja lakini yuko afisini akitafuta wa kumteka. Mahakama zinasikiliza kesi za serikali dhidi ya viongozi wa CHADEMA, au mahakama ipi unayosema.
Nipe kazi ya ofisi ya mwendesha mashtaka, propaganda hizi kazifanye kwa mkeo
AtaelewaWewe bado mchanga 🤣🤣🤣Hujui kuandika kiswahili au wewe siyo mtanzania?
Hapo ndo ujue hakilia yako ni ndoogo kweny kufkili slow leanerWewe bado mchanga 🤣🤣🤣Hujui kuandika kiswahili au wewe siyo mtanzania?
🤣🤣🤣🤣Kwahiyo unataka kusema nini hapa?Itakua Magu hakuwahishambuliwa na marisasi mengi ndo maana familia yake iko hapa,halikadhalika Trump inasemekana hakuwajishamuliwa kwa risasi zaidi ya 10 na akasalimika,hivyo yupo USA kama kawaida.Tolea mfano wa watu waliowahishambuliwa.
Nataka kusema,Lissu na familia yake,wana sababu za kuishi hivyo wanavyoishi.🤣🤣🤣🤣Kwahiyo unataka kusema nini hapa?
🤣🤣🤣 Unachekesha sana. Nani alikufundisha kuandika Comedy?Ataelewa
Hapo ndo ujue hakilia yako ni ndoogo kweny kufkili slow leaner
Sasa unataka Watanzania wafanye nini? Wawe na kiongozi anayeishi uhamishoni?Nataka kusema,Lissu na familia yake,wana sababu za kuishi hivyo wanavyoishi.
Wewe ni zaidi ya khadija Kopa, hivi kwa huu uharo uliopost ulitegemea utaachieve upumbavu wako bado tuko na wewe ulalo ulao.Nenda kakae na Lissu umuulize vizuri. Inaonekana umekuja kuleta mipasho ya Khadija Kopa 🤣🤣🤣
Hapa wanajadili wenye akili tu. Matutusa kama nyie nendeni kwenye jukwaa la utani.
Tulikuwepo pamoja na Eric Kabendera, la tuambie Ben Saanane yuko wapi?Oh!! Kumbe!!! Ulikuwepo eneo la tukio au story za kwenye vijiwe vya kahawa? 🤣 🤣 🤣 🤣
Unaandika kwa hisia sana. Hebu waambie wana JF jinsi yako na umri wako.Wewe ni zaidi ya khadija Kopa, hivi kwa huu uharo uliopost ulitegemea utaachieve upumbavu wako bado tuko na wewe ulalo ulao.
Akili kusema mzee wa hovyo Wassira atamtisha mwenye akili? Jibu hoja shangingi la CCM, umesema mna dhamana ya maisha ya Lissu, KUMPIGA RISASI 16 NA KUKATAA KUMTIBIA NDIO DHAMANA?
Paka shume sikuachii hadi uharishe auache hoja za kike
Huyu Eric Kabendera ni nani? Je, ni ndugu yako? Rafiki yako na anakaa wapi?Tulikuwepo pamoja na Eric Kabendera, la tuambie Ben Saanane yuko wapi?
Mjinga wa CCM nenda kujifunze upya propaganda juha wewe
Wewe kweli mwendawazimu, acha kujichekesha kama chizi uliyeona jalala jipya, hebu niambie uzito wa hoja yako ya kijinga uko wapi? Vijembe vya kwenye khanga kuwa mzee wa hovyo Wassira anamtetemesha Lissu?Huna uwezo kijana wa kujadili hizi hoja nzito. Utaishia kutaja Majuha, majuha, majuha bila kuongea chochote chamaa. 🤣🤣🤣🤣Inaonekana unaupenda sana Ujuha
Ccm daima samia mitanoMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stevin Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.
View attachment 3213528
Akizungumza leo, Januari 23, 2025, jijini Dodoma, Wasira alieleza kuwa badala ya kushikilia kauli hiyo, CHADEMA wanapaswa kushiriki uchaguzi na kuhakikisha wanakubaliana na maridhiano yaliyopo.
"Kauli ya 'No Reform, No Election' haina nafasi kwa sasa. Rais Samia Suluhu Hassan na CCM wameonyesha utayari wa mazungumzo, na bunge linakaribia kuvunjwa, hivyo hakuna muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria yanayohitaji muda mrefu," alisema Wasira.
Aliongeza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, unaotarajiwa kuchagua Rais, Wabunge, na Madiwani, unapaswa kuwa nafasi ya vyama vyote kushindana kwa hoja badala ya kutafuta visingizio.
Wasira aliwataka viongozi wa CHADEMA kutumia nafasi za mazungumzo zilizopo badala ya kusimamia misimamo isiyotekelezeka kwa wakati huu. "Ni muhimu kushiriki uchaguzi na kuwa sehemu ya demokrasia badala ya kupoteza muda na kauli ambazo hazina tija kwa wananchi," alisisitiza.
Hoja haihitaji jinsia wala umri, jigunze kutoa hoja mujarabu siyo za vijembe vya wajinga wa CCM. Wassira anamtetemesha Lissu umeona hoja ya mtu mwenye akili?Unaandika kwa hisia sana. Hebu waambie wana JF jinsi yako na umri wako.
Watanzania wanataka kujua uwezo wako wa kufikiri