Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Basi ni vyema mkaelewa kwamba uchaguzi mkuu wa Oct 2025 utafanyika bila mdomo wala makelele ya sijui reforms n.k🐒Kwani ni dhambi au kuna sheria imevunjwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ni vyema mkaelewa kwamba uchaguzi mkuu wa Oct 2025 utafanyika bila mdomo wala makelele ya sijui reforms n.k🐒Kwani ni dhambi au kuna sheria imevunjwa?
Kutetea CCM kwa nguvu hata kwenye mapungufu dhahiri inashusha thamani, kama ulivyoniambia mimi nitaje jinsia yangu basi miye nimejua ya kwako.Nimekuwa UWT tena 🤣 🤣 🤣
sadly this will happenLissu si muda mrefu ataenda Ubelgiji
Si ndio ukafanye sasa?Njia pekee ya kuitoa ccm ni ugaidi au mapinduzi hivi vya maongezi sijui kuzira sijui maridhiano utoto
KAKA nakuheshimu sana hapa JF. Haya maelezo ya jumla jumla, hayana afya yote na hayana tofauti na propaganda alizokuwa anazitumia Hittler.
-> Hayo unayoyaita maoni ya msingi hayajulikani? Je yapo kwenye UTOPIA?, kwanini hutaki kuyataja maoni hayo unayodai ni ya msingi.
Nimekusihi uweke Kifungu cha sheria kinachosema CHAGUZI ZOTE zitasimamiwa na TUME HURU YA UCHAGUZI*. Bahati mbaya umekuja na cheap propaganda zile zile walizokuwa wakitumia akina Carl Peters kuwadanganya waafrika wa zamani.
Ona sasa ndugu yangu unakoelekea. Unajiuliza maswali na unajijibu mwenyewe. Unaongea mawazo kutoka kichwani kwako pekee. Hivi umeisomakweli sheria ya tume huru ya uchaguzi?
Hizi tuhuma za kizamani kweli. Alisikika wapi, lini nk. Kwenye News tunasema 5WH usipojibu hiyo formula maana yake taarifa yako ni ya ubabaishaji.
Narudia:
Kama huwezi kufikiria kwa vitu vidogo tu hivi, Tuache sisi wenye akili tufikirie kwa niaba yako
Si ndio ukafanye sasa?
Ni very sad when smart people sit here na ku undermine power of state machinery of oppression ccm has on its disposal
you cant undermine that
the question is,how do you mitigate them na kumbuka they have real effects like deaths?
una watu wa kutoa kafara wauwawe?HUNA
Kenya wapo,sio TZ!
Reality ni kwamba,Lissu and his bunch of lunatics will have to seat down with ccm and talk things out with no conditions whatsoever!
watarudi njia ile ile ya Mbowe
Mkuu Joka of course sio SAHIHI..kikundi fulani cha watu kujitwalia haki ya kuumiza na kuuwa wengine sio sahihi.
Mkuu Joka of course sio SAHIHI
Huwezi kwepa hii reality kwamba ndio wameshika hii machinery na sheria ni mbovu in such a way zinaruhusu wao kuua bila repurcations zozote na wanazitumia
Nachopingana na Lissu ni huu uongo wake kwamba anaweza pambana na hii machinery head on kwa violence na tough talks
Lissu anadanganya na sad enough watu wanamuamini,soon he will be exposed!
State Machinery of Oppression huwezi enda nayo head-on kama na wewe huna fire-power to match that
Inatakiwa umove around it kijanja,there were Lissu has no clue how to do it!
Lissu is so delusional to think he has disposable people wauwawe ili aweze ku-strong arm CCM into negotiation table.....he knows no mtz will ever put his/her life on the line on this nonsense
Politicians are just liers and fools like the rest of us and they can say anything for cameras!
Kwani mnauwezo wa kushindana na nani bila ya usaidizi ya policcm?Basi ni vyema mkaelewa kwamba uchaguzi mkuu wa Oct 2025 utafanyika bila mdomo wala makelele ya sijui reforms n.k🐒
Ccm Wamezoea ujaujanja na ulaghai this time no!Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stevin Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.
View attachment 3213528
Akizungumza leo, Januari 23, 2025, jijini Dodoma, Wasira alieleza kuwa badala ya kushikilia kauli hiyo, CHADEMA wanapaswa kushiriki uchaguzi na kuhakikisha wanakubaliana na maridhiano yaliyopo.
"Kauli ya 'No Reform, No Election' haina nafasi kwa sasa. Rais Samia Suluhu Hassan na CCM wameonyesha utayari wa mazungumzo, na bunge linakaribia kuvunjwa, hivyo hakuna muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria yanayohitaji muda mrefu," alisema Wasira.
Aliongeza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, unaotarajiwa kuchagua Rais, Wabunge, na Madiwani, unapaswa kuwa nafasi ya vyama vyote kushindana kwa hoja badala ya kutafuta visingizio.
Wasira aliwataka viongozi wa CHADEMA kutumia nafasi za mazungumzo zilizopo badala ya kusimamia misimamo isiyotekelezeka kwa wakati huu. "Ni muhimu kushiriki uchaguzi na kuwa sehemu ya demokrasia badala ya kupoteza muda na kauli ambazo hazina tija kwa wananchi," alisisitiza.
..Sijui kwanini unapandwa hasira kuhusiano na mawazo na mapendekezo yenye faida kwa mustakabali wa amani, na umoja wa taifa letu.
..Tunapojadili hoja kama TUME HURU YA UCHAGUZI hatupaswi kuwa na hasira kwa jambo jema kama hilo kama unavyoonyesha.
..Mwenezi wa CCM aliyesema Tume Huru haitasimamia uchaguzi wa 2025, bali itasimamia uchaguzi wa 2030, anatokea Zanzibar, na alionekana ktk vyombo vya habari.
..Kuhusu uteuzi wa Makamishna wa Tume Huru labda ungetueleza kwanini Raisi hajawateua mpaka hivi sasa. Sheria imeishasainiwa, kwanini Makamishna wa Tume ya zamani bado wako ofisini?
..Sheria inasema Tume Huru itasimamia chaguzi zote. Na uchaguzi wa serikali za mitaa utasimamiwa na Tume Huru baada ya serikali kuandaa sheria yake.
..Kilichotokea ni serikali kuburuza miguu na kutokuandika sheria ya uchaguzi serikali za mitaa, ili kutoa upenyo kwa Ofisi ya Raisi ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM kusimamia uchaguzi huo.
Matokeo yake ofisi ya Raisi ikaharibu uchaguzi wa serikali na mitaa na kusababisha aibu, na malalamiko mengi.
View: https://www.youtube.com/watch?v=30yx5KU2wWo
..Kwa hiyo mpaka hapo utaona kwamba hakuna nia njema, na uaminifu, kwa upande wa serikali ya CCM katika suala zima la Tume ya uchaguzi, na mifumo ya kidemokrasia, hapa nchini.
..Naomba tunapojadili suala hili tutangulize MASLAHI YA NCHI mbele, kabla ya maslahi ya vyama au kiongozi wa chama.
Hawa watakuwa ni akina salamaleko,
Haya maneno hayana ukweli wowote.Ccm Wamezoea ujaujanja na ulaghai this time no!
Ungejua mpaka walitaka kumuua ungefahamu ubora wa huyu jamaa.Lissu si muda mrefu ataenda Ubelgiji
Ubora wake ni upi? Kama kupiga; mimba 98% ya wanaume wa tanzania wanauwezo wa kupiga mimbaUngejua mpaka walitaka kumuua ungefahamu ubora wa huyu jamaa.
Wewe si unaropoka tu kuwaridhisha waliokutuma...
Unaandika maandishi mengi sana bila hata kuji hoja yangu hata moja. Nashindwa kukutafutia jina linalokufaa.
Nimekuuliza ni kifungu kipi kinachosema kuwa Tume Huru ya Uchaguzi inasimamia serikali za mitaa?
Jibu swali hili tuendelee na mengine.....
Takwa la kikatiba sio la chadema ni la dola iliyompa mama urais!!na aliambiwa atekeleze mchakato wake tangu 2022!!kwakua hajatekeleza ni too late kwake hata ule mtandao was Tanzania leaks una sapot hii kitu kwamba hatoboi oktoba!!Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stevin Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.
View attachment 3213528
Akizungumza leo, Januari 23, 2025, jijini Dodoma, Wasira alieleza kuwa badala ya kushikilia kauli hiyo, CHADEMA wanapaswa kushiriki uchaguzi na kuhakikisha wanakubaliana na maridhiano yaliyopo.
"Kauli ya 'No Reform, No Election' haina nafasi kwa sasa. Rais Samia Suluhu Hassan na CCM wameonyesha utayari wa mazungumzo, na bunge linakaribia kuvunjwa, hivyo hakuna muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria yanayohitaji muda mrefu," alisema Wasira.
Aliongeza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, unaotarajiwa kuchagua Rais, Wabunge, na Madiwani, unapaswa kuwa nafasi ya vyama vyote kushindana kwa hoja badala ya kutafuta visingizio.
Wasira aliwataka viongozi wa CHADEMA kutumia nafasi za mazungumzo zilizopo badala ya kusimamia misimamo isiyotekelezeka kwa wakati huu. "Ni muhimu kushiriki uchaguzi na kuwa sehemu ya demokrasia badala ya kupoteza muda na kauli ambazo hazina tija kwa wananchi," alisisitiza.
Huyu kweli tahiraMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stevin Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.