PreGE2025 Wasira: Deni la taifa, trilioni 97 hajakopa Rais Samia peke yake, tulikopa tangu enzi za Nyerere

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema nchi inakopa kwa ajili ya kufanya mambo tukayoishi nayo na faida zake zitakuwepo kwa miaka mingi kwa kizazi cha sasa na hata kijacho.

Amesema deni lililopo la Sh. trioni 97 sio kwamba lote limekopwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan bali limekuwepo tangu enzi za Rais wa kwanza, Hayati Mwalimu Julius Nyerere.
Wasira ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na wanachama pamoja na viongozi wa CCM Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu katika kikao cha ndani kikiwa sehemu ya ziara yake ya kikazi mkoani humo yenye lengo la kukagua uhai wa Chama, utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kusikiliza kero za wananchi.

“Tunakopa ili kufanya jambo ambalo tutaishi nalo na faida zake kwa miaka mingi kizazi hiki na hata kizazi kijacho na lile deni sio kwamba amekopa Rais Samia trilioni 97 sio kweli, lile deni linaongezeka na madeni mengine ya zamani ambayo tulishakopa tangu enzi za Nyerere, alichukua miaka 40 kuanza kulipa nayo yamo katika hesabu," amesema.
Amefanya nini hiyo mikopo? Maji, umeme, mwendokasi, ajira, kutunza misitu yetu ameshindwa. Ameongeza ufisadi, rushwa,kuteua viongozi wa hovyo, kuuza maliasili, kutowawajibisha wezi wa mali ya umma, kubinafsisha mali muhimu za umma ndicho anachofanya ndipo kodi zetu zinapoenda?
 
Yote hayo uliyosema amefanya mara 2 ya awali.
-Elimu mara 2
-Afya mara 2
-Maji mara 2
-Kilimo mara 4
-Barabara mara 2
-Utawala Bora mara 2
-Ajira mara 2

Mwisho 🇹🇿 Ni Nchi ya pili kupambana na rushwa EAC,una swali jingine?
 
Alipaswa atuambie kuwa inakuwaje:
1. Kwa miaka minne tu, Samia amekopa zaidi kuliko wenzake wote waliomtangulia.
2. Kwanini kwa sasa tunakopa zaidi wakati uwezo wetu wa kukusanya mapato ni mkubwa zaidi kuliko awamu zingine zote.
3. Samia anavyokopa sana sasa hivi, anategemea Rais gani atakuja kulipa hizo pesa.
Mbona jibu rahisi sana?

Ndani y hiyo miaka 4 ndio mamiradi makubwa na Expensive mliyoanzisha kijinga jinga yamemalizika,na hili huoni?

Kwani idadi ya watu na mahitaji vinapungua au kuongezeka? Unadhani kuhudumia std one over 1mln ni sawa na less than 500k five years ago?

Mbona haya majibu ni clear kabisa?
 
Haa,,,umetoa majibu mazito mpaka mtu unaona kumbe maswali yalikua mepesi bana🤣
 
Makada wengi wa CCM hawana uwezo wa kujibu vitu simple nvilivyo wazi.

Mfano Serikali inatumia zaidi ya Bilioni 760 Kwa mikopo ya wanachuo kutoka Bil.400 plus miaka 5 iliyopita yet eti hata hili hawajui 😁😁

Kwamba hawajui Sasa hivi Serikali ya mama inatoa mikopo Kwa Diploma na Haikuwepo kabla? Kwamba hawajui ada ya form 6 ilifutwa ?

Yaani majibu ni mengi kuliko hata Ukubwa wa deni 🤣🤣
 
Haki machawa wengi wa mama awana data,wao ni,'mama anaupiga mwingi',full stop.
 
#UPDATES Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema nchi inakopa kwa ajili ya kufanya mambo tukayoishi nayo na faida zake zitakuwepo kwa miaka mingi kwa kizazi cha sasa na hata kijacho.

Amesema deni lililopo la Sh. trioni 97 sio kwamba lote limekopwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan bali limekuwepo tangu enzi za Rais wa kwanza, Hayati Mwalimu Julius Nyerere.

Wasira ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na wanachama pamoja na viongozi wa CCM Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu katika kikao cha ndani kikiwa sehemu ya ziara yake ya kikazi mkoani humo yenye lengo la kukagua uhai wa Chama, utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kusikiliza kero za wananchi.

“Tunakopa ili kufanya jambo ambalo tutaishi nalo na faida zake kwa miaka mingi kizazi hiki na hata kizazi kijacho na lile deni sio kwamba amekopa Rais Samia trilioni 97 sio kweli, lile deni linaongezeka na madeni mengine ya zamani ambayo tulishakopa tangu enzi za Nyerere, alichukua miaka 40 kuanza kulipa nayo yamo katika hesabu," amesema. #EastAfricaTV
1743319206977.jpg
 
Haki machawa wengi wa mama awana data,wao ni,'mama anaupiga mwingi',full stop.
Lakini Kwa Sasa wamekuja wale machawa ambao kazi Yao ni kuonesha Kwa vitendo eg Baba Levo na Masanja wao wanazunhuka huko na kule kwenye miradi kuonesha,Bora hao kuliko wale wengine.
 
Asitufanye wajinga,,tunachohoji ni kuwa wakati anaingia deni likikuwa trillion 60,,yeye kwa miaka minne kaongeza deni la trillion45
 
#UPDATES Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema nchi inakopa kwa ajili ya kufanya mambo tukayoishi nayo na faida zake zitakuwepo kwa miaka mingi kwa kizazi cha sasa na hata kijacho.

Amesema deni lililopo la Sh. trioni 97 sio kwamba lote limekopwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan bali limekuwepo tangu enzi za Rais wa kwanza, Hayati Mwalimu Julius Nyerere.

Wasira ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na wanachama pamoja na viongozi wa CCM Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu katika kikao cha ndani kikiwa sehemu ya ziara yake ya kikazi mkoani humo yenye lengo la kukagua uhai wa Chama, utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kusikiliza kero za wananchi.

“Tunakopa ili kufanya jambo ambalo tutaishi nalo na faida zake kwa miaka mingi kizazi hiki na hata kizazi kijacho na lile deni sio kwamba amekopa Rais Samia trilioni 97 sio kweli, lile deni linaongezeka na madeni mengine ya zamani ambayo tulishakopa tangu enzi za Nyerere, alichukua miaka 40 kuanza kulipa nayo yamo katika hesabu," amesema. #EastAfricaTV
View attachment 3287633
Amekopa na nani
 
CCM JUU, JUU, JUU ZAIDI.
Wote wliokopa ni CCM sasa watwambie wamefanya nini?
 
Nchi ilimshindaa huyo....subiri akitookaa wwatamgeuka wote ...huyu akae kiya tu mudawake uliisha
 
Wekeni mabango basi barabarani.
 
Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema nchi inakopa kwa ajili ya kufanya mambo tukayoishi nayo na faida zake zitakuwepo kwa miaka mingi kwa kizazi cha sasa na hata kijacho.

Amesema deni lililopo la Sh. trioni 97 sio kwamba lote limekopwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan bali limekuwepo tangu enzi za Rais wa kwanza, Hayati Mwalimu Julius Nyerere.

Pia soma Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wasira ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na wanachama pamoja na viongozi wa CCM Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu katika kikao cha ndani kikiwa sehemu ya ziara yake ya kikazi mkoani humo yenye lengo la kukagua uhai wa Chama, utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kusikiliza kero za wananchi.

“Tunakopa ili kufanya jambo ambalo tutaishi nalo na faida zake kwa miaka mingi kizazi hiki na hata kizazi kijacho na lile deni sio kwamba amekopa Rais Samia trilioni 97 sio kweli, lile deni linaongezeka na madeni mengine ya zamani ambayo tulishakopa tangu enzi za Nyerere, alichukua miaka 40 kuanza kulipa nayo yamo katika hesabu," amesema.

View attachment 3286751
Kulea wajukuu ni muhimu kwa sasa
 
Back
Top Bottom