PostGE2025 Wasira: Kila siku Lissu anaweka mapingamizi, ndio maana inachukua muda mrefu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema; "Mahakama inaendelea vizuri. Tena yeye Tundu Lissu, rafiki yangu, anaitumia mahakama kama shule ya sheria; yeye anajitetea mwenyewe. Kila siku anaweka mapingamizi, majaji wanaahirisha kwenda kutazama hicho alichokisema—ndio maana inachukua muda mrefu. Lakini kesi hii itaisha."

"Sio lazima CHADEMA wakisema tunakubali, tutakubali mambo ya CHADEMA ambayo yana make sense...kwa sababu huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea..tena yeye Tundu Lissu rafiki yangu..anajitetea mwenyewe, kila siku anaweka mapingamizi."

Pia soma: Stephen Wasira: Tuache kwanza CHADEMA waridhiane na Mahakama, huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea

"Sio lazima CHADEMA wakisema tunakubali, tutakubali mambo ya CHADEMA ambayo yana make sense...kwa sababu huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea..tena yeye Tundu Lissu rafiki yangu..anajitetea mwenyewe, kila siku anaweka mapingamizi.." - Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira.
Urafiki na Sokwe umeanza lini
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema; "Mahakama inaendelea vizuri. Tena yeye Tundu Lissu, rafiki yangu, anaitumia mahakama kama shule ya sheria; yeye anajitetea mwenyewe. Kila siku anaweka mapingamizi, majaji wanaahirisha kwenda kutazama hicho alichokisema—ndio maana inachukua muda mrefu. Lakini kesi hii itaisha."

"Sio lazima CHADEMA wakisema tunakubali, tutakubali mambo ya CHADEMA ambayo yana make sense...kwa sababu huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea..tena yeye Tundu Lissu rafiki yangu..anajitetea mwenyewe, kila siku anaweka mapingamizi."

Pia soma: Stephen Wasira: Tuache kwanza CHADEMA waridhiane na Mahakama, huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea

Lissu ni binaadam wa aina pekee ktk dunia hii
 
Sir God angetufanyia wepesi maaana tumechoka sana sasa
 
Utetezi mwingine huwa hata mtoto mchanga ataugomea!
 
Yaelekea huyu raia wa hifadhi ya Gombe hata hajui mwenendo wa kesi yenyewe .
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema; "Mahakama inaendelea vizuri. Tena yeye Tundu Lissu, rafiki yangu, anaitumia mahakama kama shule ya sheria; yeye anajitetea mwenyewe. Kila siku anaweka mapingamizi, majaji wanaahirisha kwenda kutazama hicho alichokisema—ndio maana inachukua muda mrefu. Lakini kesi hii itaisha."

"Sio lazima CHADEMA wakisema tunakubali, tutakubali mambo ya CHADEMA ambayo yana make sense...kwa sababu huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea..tena yeye Tundu Lissu rafiki yangu..anajitetea mwenyewe, kila siku anaweka mapingamizi."

Pia soma: Stephen Wasira: Tuache kwanza CHADEMA waridhiane na Mahakama, huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea

Kumsikiliza huyu ni kufilisika kiakili.

Hajui anaongea nini, anafyatuka tu bila kujali
 
Back
Top Bottom