PostGE2025 Wasira: Kila siku Lissu anaweka mapingamizi, ndio maana inachukua muda mrefu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema; "Mahakama inaendelea vizuri. Tena yeye Tundu Lissu, rafiki yangu, anaitumia mahakama kama shule ya sheria; yeye anajitetea mwenyewe. Kila siku anaweka mapingamizi, majaji wanaahirisha kwenda kutazama hicho alichokisema—ndio maana inachukua muda mrefu. Lakini kesi hii itaisha."

"Sio lazima CHADEMA wakisema tunakubali, tutakubali mambo ya CHADEMA ambayo yana make sense...kwa sababu huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea..tena yeye Tundu Lissu rafiki yangu..anajitetea mwenyewe, kila siku anaweka mapingamizi."

Pia soma: Stephen Wasira: Tuache kwanza CHADEMA waridhiane na Mahakama, huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea

Hivi huyu Mzee ana akili sawasawa kweli...!!?

Yaani anataka kusema hajui kwa nini kesi imeahirishwa kwa muda wote huo ...!!?

Kwa hiyo hao Majaji ni vilaza kiasi kwamba pingamizi likiwekwa inawachukua miezi mitatu mpaka sita kuja na maamuzi ... Seriously!!?
 
Jaji Mkuu njoo huku, huyu anaongelea kesi zilizoko mahakamani, si mlisema hatutakiwi kuongelea kesi zilizoko mahakamani?habari hii imfikie wakili msomi Madeleka.
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema; "Mahakama inaendelea vizuri. Tena yeye Tundu Lissu, rafiki yangu, anaitumia mahakama kama shule ya sheria; yeye anajitetea mwenyewe. Kila siku anaweka mapingamizi, majaji wanaahirisha kwenda kutazama hicho alichokisema—ndio maana inachukua muda mrefu. Lakini kesi hii itaisha."

"Sio lazima CHADEMA wakisema tunakubali, tutakubali mambo ya CHADEMA ambayo yana make sense...kwa sababu huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea..tena yeye Tundu Lissu rafiki yangu..anajitetea mwenyewe, kila siku anaweka mapingamizi."

Pia soma: Stephen Wasira: Tuache kwanza CHADEMA waridhiane na Mahakama, huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea

Umri ukiwa mkubwa sana una matatizo yake
Mkuu hadi mufa huu big man hajui kesi imesimama kwa sababu ya pingamizi toka upande gani😁😁😁😁😁
Mtani yataka moyo sana kudanganya maana kuna wakati mwingine akili inakupeleka usiko tarajia😂😂😂😂
 
Utakubalije maridhiano nchi utekaji kila kukicha, uwajibikaji hakuna, haki hakuna vyama vya upinzani vimefunguwa kufanya mikutano pia kesi ya uongo anasota nayo mpaka sasa
Hatuwezi kufanya maridhiano kwenye nchi ambayo hakuna haki
 
Umri umeenda sana hata hajui nani ka park bus mahakama ya rufani kati ya Lissu na Katuga
Mzee wa hovyo tangu uhuru 1961.
Siku likitokea na kutokea naona nchi italipuka kwa furaha
 
Huo mdomo wa Wassira nadhani unatakiwa uwekewe pazia maana haelewi anachoongea. Siyo makosa yake , naona ni kupoteza kumbukumbu sababu ya uzee. Mabingwa wa ahirisho ni mawakili wa serikali ambao wanashupalia kesi isiyo na evidence. Anyway acha tuone
 
Yaani zee limeshaanza kuvalishwa mpaka pampas bado wao mbogamboga wanaliona la maana hata likawasemee huko kwenye vyombo vya habari, sasa ukiyauliza huyo mtu ana kesi gani hayawezi hata kujibu kazi kuharisha tu kila mtu kawa msemaji kwakuwa pale juu kuna ubongo wa kuku. Nchi kishakushinda ni bora ukaamua kusepa tu maana ni aibu tupu, hakuna kinachokwenda kila siku lisu lisu simliambiwa hamna sababu yoyote ya kumkamata mkashupaza shingo. Gen Z wana wazoom tu.
 
Huo mdomo wa Wassira nadhani unatakiwa uwekewe pazia maana haelewi anachoongea. Siyo makosa yake , naona ni kupoteza kumbukumbu sababu ya uzee. Mabingwa wa ahirisho ni mawakili wa serikali ambao wanashupalia kesi isiyo na evidence. Anyway acha tuone

Mdomo uhoo
jamani mwenzenu Sijala
 
Attachments

  • Screenshot_20250903-155409.jpg
    Screenshot_20250903-155409.jpg
    115.5 KB · Views: 12
Utakubalije maridhiano nchi utekaji kila kukicha, uwajibikaji hakuna, haki hakuna vyama vya upinzani vimefunguwa kufanya mikutano pia kesi ya uongo anasota nayo mpaka sasa
Hatuwezi kufanya maridhiano kwenye nchi ambayo hakuna haki

Wkt Mwenyekiti wenu yupo rupango

Naww upo uhuru kwenu au kwa
Shemejio mjini👈
 
Hivi huyu Mzee ana akili sawasawa kweli...!!?

Yaani anataka kusema hajui kwa nini kesi imeahirishwa kwa muda wote huo ...!!?

Kwa hiyo hao Majaji ni vilaza kiasi kwamba pingamizi likiwekwa inawachukua miezi mitatu mpaka sita kuja na maamuzi ... Seriously!!?

Kwanini Lissu si kutulia Keko na haki zake anapata tatizo lipo wapi!!
 
Back
Top Bottom