PostGE2025 Wasira: Kila siku Lissu anaweka mapingamizi, ndio maana inachukua muda mrefu

PostGE2025 Wasira: Kila siku Lissu anaweka mapingamizi, ndio maana inachukua muda mrefu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa mtazamo wangu shauri kama lipo kwenye idara ya mahakama, watumishi wa serikali hawapaswi kulizungumzia kabisa.
 
Kila siku anaweka mapingamizi, majaji wanaahirisha kwenda kutazama hicho alichokisema—ndio maana inachukua muda mrefu. Lakini kesi hii itaisha."

22 Julai 2026
Mahakama Kuu
Kivukoni Front
Dar es Salaam, Tanzania

BWANA JELA WA GEREZA LA UKONGA ANDREW NTAMAMIRO AFICHUA JINSI DOLA NA VYOMBO VYAKE UHUSIKA WAO KTK UCHELEWESHAJI WA KESI YA TUNDU LISSU
Part 3: TUNDU LISSU ALICHOMFANYA BWANA JELA HATAKUJA KUSAHAU MAISHA YAKE YOTE " HADI KATETEMEKA "


View: https://m.youtube.com/watch?v=rR7l_nVwO3U
Sehemu ya tatu Leo mahakamani kesi iliyofunguliwa na mawakili wa Tundu Lissu dhidi ya mkuu wa magereza kuhusu kuzuiliwa mawakili pia mashahidi wa Tundu Lissu wa kesi ya uhaini kwenda gerezani Ukonga kuonana na mteja wao ambae ni Tundu Lissu na kukosa faragha wakati wa kuzungumza nae.

Tundu lissu kupitia maswali ya dodoso amemaliza kumuhoji maswali ya mkuu wa gereza la Ukonga la Dar es Salaam bwana jela ACP Andrew Ntamamiro alivyoshiriki kukwamisha kesi yake ya uhaini yenye adhabu ya kifo ikiwa Tundu Lissu atapatikana na hatia ya uhaini

Source : Uhuru Media Online
 
Umri umeenda mzee kipindi cha kusimamia ng'ombe kimefika sio binadamu..
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema; "Mahakama inaendelea vizuri. Tena yeye Tundu Lissu, rafiki yangu, anaitumia mahakama kama shule ya sheria; yeye anajitetea mwenyewe. Kila siku anaweka mapingamizi, majaji wanaahirisha kwenda kutazama hicho alichokisema—ndio maana inachukua muda mrefu. Lakini kesi hii itaisha."

"Sio lazima CHADEMA wakisema tunakubali, tutakubali mambo ya CHADEMA ambayo yana make sense...kwa sababu huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea..tena yeye Tundu Lissu rafiki yangu..anajitetea mwenyewe, kila siku anaweka mapingamizi."

Pia soma: Stephen Wasira: Tuache kwanza CHADEMA waridhiane na Mahakama, huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea


Usomi wote wa mzee Stephen Wasira lakini amekubali kutumika

26 July 2026
The 3 ways stupidity spreads throughout a society | Jonny Thomson

View: https://m.youtube.com/watch?v=uwyLGiyDa2g

Philosopher and Big Think columnist Jonny Thomson explores why evil is oddly easier to fight than stupidity, why Hitler's own architect claimed total ignorance at Nuremberg, and why arguing with a truly stupid person is, in one famous description, like playing chess with a pigeon
 
Masikini huyu kiumbe hata hajui mwenendo wa kesi yenyewe muda wote yuko usingizini akiota anakula matunda mwitu yake kule Gombe
FB_IMG_1756217929952.jpg
 
16 October 2026
SOMA HUKUMU YA TAREHE 16 OKTOBA 2026
Kulwa William Maduhu and Others vs Attorney General and Others (Miscellaneous Civil Cause No. 7300 of 2026) [2026] TZHC 6259 (16 October 2026)

IN THE HIGH COURT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

(MAIN REGISTRY)
AT DODOMA

(CORAM: MRUMA, J., RUMISHA, J., AND LONGOPA, J.)

MISCELLANEOUS CIVIL CAUSE NO. 7300 OF 2026

BETWEEN

KULWA WILLIAM
MADUHU............................1ST PETITIONER

NASHON NKUNGU.......2ND PETITIONER

PAUL KISABO................3RD PETITIONER


VERSUS

THE ATTORNEY GENERAL................ 1ST RESPONDENT

THE COMMISSIONER GENERAL OF PRISONS...................... 2ND RESPONDENT

THE OFFICER IN CHARGE OF UKONGA PRISON .................. 3RD RESPONDENT

TUNDU ANTIPHAS MUGHWAI LISSU ................. 4TH RESPONDENT

TANGANYIKA LAW SOCIETY .................INTERESTED PARTY


JUDGEMENT
MRUMA, J.
This constitutional petition raises a question which is narrow in its
formulation but far-reaching in its consequences. The question is whether, when an advocate consults a client detained in prison, prison officers may
remain sufficiently close to hear the consultation, or whether the law requires security to be maintained by visual supervision without listening to conversations

Page 1

A related question concerns the circumstances in which prison
authorities may refuse an advocate access to a detained client. These questions may appear straightforward, but they raise matters of
considerable legal importance, particularly when considered in the light of the familiar principle that no one is above the law.
The Petitioners are advocates who say that they were instructed to
provide services in connection with criminal proceedings against the Fourth Respondent, Tundu Antiphas Mughwai Lissu. They contend that the arrangements at Ukonga Central Prison prevented confidential consultations,
interfered with their professional work, and impaired the effective enjoyment of the Fourth Respondent’s rights to a fair hearing and the privacy of his
communications. Their application is brought under Articles 26(2) and 30(3) of the Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977; sections 4 and 5 of the Basic Rights and Duties Enforcement Act, commonly referred to as
BRADEA, Cap. 3, R.E. 2023; and rule 4 of the Basic Rights and Duties
Enforcement (Practice and Procedure) Rules.
The principal domestic provisions relied upon are regulation 13 of the
Prisons (Prison Management) Regulations, 1968, Government Notice No. 19 of 1968, and Articles 13(1), 13(3), 13(6)(a), 15, 16, 22(1), 26(1),

Page 2


READ MORE : FULL JUDGEMENT

 
Back
Top Bottom