Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Urafiki na Sokwe umeanza lini"Sio lazima CHADEMA wakisema tunakubali, tutakubali mambo ya CHADEMA ambayo yana make sense...kwa sababu huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea..tena yeye Tundu Lissu rafiki yangu..anajitetea mwenyewe, kila siku anaweka mapingamizi.." - Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira.
Lissu ni binaadam wa aina pekee ktk dunia hiiMakamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema; "Mahakama inaendelea vizuri. Tena yeye Tundu Lissu, rafiki yangu, anaitumia mahakama kama shule ya sheria; yeye anajitetea mwenyewe. Kila siku anaweka mapingamizi, majaji wanaahirisha kwenda kutazama hicho alichokisema—ndio maana inachukua muda mrefu. Lakini kesi hii itaisha."
"Sio lazima CHADEMA wakisema tunakubali, tutakubali mambo ya CHADEMA ambayo yana make sense...kwa sababu huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea..tena yeye Tundu Lissu rafiki yangu..anajitetea mwenyewe, kila siku anaweka mapingamizi."
Pia soma: Stephen Wasira: Tuache kwanza CHADEMA waridhiane na Mahakama, huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea
Sir God angetufanyia wepesi maaana tumechoka sana sasaMakamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema; "Mahakama inaendelea vizuri. Tena yeye Tundu Lissu, rafiki yangu, anaitumia mahakama kama shule ya sheria; yeye anajitetea mwenyewe. Kila siku anaweka mapingamizi, majaji wanaahirisha kwenda kutazama hicho alichokisema—ndio maana inachukua muda mrefu. Lakini kesi hii itaisha."
"Sio lazima CHADEMA wakisema tunakubali, tutakubali mambo ya CHADEMA ambayo yana make sense...kwa sababu huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea..tena yeye Tundu Lissu rafiki yangu..anajitetea mwenyewe, kila siku anaweka mapingamizi."
Pia soma: Stephen Wasira: Tuache kwanza CHADEMA waridhiane na Mahakama, huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea
Utetezi mwingine huwa hata mtoto mchanga ataugomea!Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema; "Mahakama inaendelea vizuri. Tena yeye Tundu Lissu, rafiki yangu, anaitumia mahakama kama shule ya sheria; yeye anajitetea mwenyewe. Kila siku anaweka mapingamizi, majaji wanaahirisha kwenda kutazama hicho alichokisema—ndio maana inachukua muda mrefu. Lakini kesi hii itaisha."
"Sio lazima CHADEMA wakisema tunakubali, tutakubali mambo ya CHADEMA ambayo yana make sense...kwa sababu huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea..tena yeye Tundu Lissu rafiki yangu..anajitetea mwenyewe, kila siku anaweka mapingamizi."
Pia soma: Stephen Wasira: Tuache kwanza CHADEMA waridhiane na Mahakama, huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea
Yaelekea huyu raia wa hifadhi ya Gombe hata hajui mwenendo wa kesi yenyewe .Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema; "Mahakama inaendelea vizuri. Tena yeye Tundu Lissu, rafiki yangu, anaitumia mahakama kama shule ya sheria; yeye anajitetea mwenyewe. Kila siku anaweka mapingamizi, majaji wanaahirisha kwenda kutazama hicho alichokisema—ndio maana inachukua muda mrefu. Lakini kesi hii itaisha."
"Sio lazima CHADEMA wakisema tunakubali, tutakubali mambo ya CHADEMA ambayo yana make sense...kwa sababu huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea..tena yeye Tundu Lissu rafiki yangu..anajitetea mwenyewe, kila siku anaweka mapingamizi."
Pia soma: Stephen Wasira: Tuache kwanza CHADEMA waridhiane na Mahakama, huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea
Kumsikiliza huyu ni kufilisika kiakili.Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema; "Mahakama inaendelea vizuri. Tena yeye Tundu Lissu, rafiki yangu, anaitumia mahakama kama shule ya sheria; yeye anajitetea mwenyewe. Kila siku anaweka mapingamizi, majaji wanaahirisha kwenda kutazama hicho alichokisema—ndio maana inachukua muda mrefu. Lakini kesi hii itaisha."