PreGE2025 Wasira Kimya! Moto wa Heche wazidi kuchanja mbuga kuelekea Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Annunaki

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
2,212
Reaction score
4,676
Huyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche.

Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye mikutano yake katika kanda ya Victoria, CCM mnatakiwa kubadili mbinu kutumia vyombo vya dola na usalama kuzima upinzani ni kujitia kiberiti wenyewe, kwa sasa ni kama watu wanaamini chadema ndiyo chama pekee cha kuwaletea mageuzi katika nchi hii.

Kumkamata Lissu na kumuweka kolokoloni ni kama hakujabadilisha chochote, isipokuwa imeleta matokea chanya zaidi kwa chadema.

Tazama picha hizi Heche akiwa kanda ya Victoria ndani ya siku 2 tu.
 
Attachments

  • 20250510_160242.jpg
    20250510_160242.jpg
    56.9 KB · Views: 35
  • 20250510_160237.jpg
    20250510_160237.jpg
    62.5 KB · Views: 33
  • 20250510_160229.jpg
    20250510_160229.jpg
    63.2 KB · Views: 29
  • 20250510_154913.jpg
    20250510_154913.jpg
    62.5 KB · Views: 36
Na hivi baridi imeanza yule mzee wa miaka 80 ugonjwa wa Nimonia utapiga kambi mapafuni mwake. Hatayoka tena nje mpk mwezi December.
Mzee alisema gari ni injini 😄
 
Huyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche.

Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye mikutano yake katika kanda ya Victoria, CCM mnatakiwa kubadili mbinu kutumia vyombo vya dola na usalama kuzima upinzani ni kujitia kiberiti wenyewe, kwa sasa ni kama watu wanaamini chadema ndiyo chama pekee cha kuwaletea mageuzi katika nchi hii.

Kumkamata Lissu na kumuweka kolokoloni ni kama hakujabadilisha chochote, isipokuwa imeleta matokea chanya zaidi kwa chadema.

Tazama picha hizi Heche akiwa kanda ya Victoria ndani ya siku 2 tu.
Kumbe mtashiriki uchaguzi 😛
 
Ngoja nikukumbushe jambo moja ambalo haujaliweka kwenye fikra zako... Just Imagine unacheza draft au tuseme Chess; Wakati mimi nina Pawns nyingi (weakest pieces) na wewe unatumia Bishops wako au King na Queen kuwapiga hao Pawns; Mwisho wa siku unaweza kujikuta wewe ndio unatumia sana nguvu au kutoka barabarani

Unamuongelea Wassira (Insignificant) unasahau kumpiga Muhusika..., kwa maneno mengine unahangaika na mikia ya nyoka kwa kutumia silaha zako badala ya kupiga kichwa... Just deal with the Head and whole Snake will Die.

Better still wewe fanya wananchi tu wakuelewe hayo mengine yatajipa...
 
Huyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche.

Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye mikutano yake katika kanda ya Victoria, CCM mnatakiwa kubadili mbinu kutumia vyombo vya dola na usalama kuzima upinzani ni kujitia kiberiti wenyewe, kwa sasa ni kama watu wanaamini chadema ndiyo chama pekee cha kuwaletea mageuzi katika nchi hii.

Kumkamata Lissu na kumuweka kolokoloni ni kama hakujabadilisha chochote, isipokuwa imeleta matokea chanya zaidi kwa chadema.

Tazama picha hizi Heche akiwa kanda ya Victoria ndani ya siku 2 tu.
Mzanzibari akiona hivi kitu kinagonga 👙 na kurudi ndani dadeq
 
Na hivi baridi imeanza yule mzee wa miaka 80 ugonjwa wa Nimonia utapiga kambi mapafuni mwake. Hatatoka tena nje mpk mwezi December.
Hiyo AC kwenye v8 mfululizo haitayaacha mapafu ya huyu Mzee salama. Inapota double pneumonia chap!
 
Una akili za kitoto.Wasira hana haja yakupiga kelele kwasababu chama chake ndio kimeshika makali na wako ikulu wanakunywa kahawa.Na wao ndio wenye maamuzi yakusikiliza na kutekeleza hizo kelele na malalamiko anayopiga heche au wazipuuzie wamuache aendelee kukauka koo nakupigwa jua.Siku nyingine tanua ubongo uje na hoja yenye mashiko sio kutuletea ujinga kama huu maana hauna msaada wowote kwenye jamii.
 
Huyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche.

Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye mikutano yake katika kanda ya Victoria, CCM mnatakiwa kubadili mbinu kutumia vyombo vya dola na usalama kuzima upinzani ni kujitia kiberiti wenyewe, kwa sasa ni kama watu wanaamini chadema ndiyo chama pekee cha kuwaletea mageuzi katika nchi hii.

Kumkamata Lissu na kumuweka kolokoloni ni kama hakujabadilisha chochote, isipokuwa imeleta matokea chanya zaidi kwa chadema.

Tazama picha hizi Heche akiwa kanda ya Victoria ndani ya siku 2 tu.
Aoneshe kadi ya gari
 
Chadema ya Wananchi hii ni Unstopable
 
Huyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche.

Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye mikutano yake katika kanda ya Victoria, CCM mnatakiwa kubadili mbinu kutumia vyombo vya dola na usala kuzima upinzani ni kujitia kiberiti wenyewe, kwa sasa ni kama watu wanaamini chadema ndiyo chama pekee cha kuwaletea mageuzi katika nchi hii.

Kumkamata Lissu na kumuweka kolokoloni ni kama hakujabadilisha chochote, isipokuwa imeleta matokea chanya zaidi kwa chadema.

Tazama picha hizi Heche akiwa kanda ya Victoria ndani ya siku 2 tu.
Hata wasira akienda watajaa vilevile. Watz.hatujui tunataka nini 🙂😀😀
 
Back
Top Bottom