Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Kwamba kalipwa na waziri wa ccm?Aoneshe kadi ya gari
Mbona wanataka kumchoma waziri wa watu

Sio rahisi kiivyo.....tuna utafitiHata wasira akienda watajaa vilevile. Watz.hatujui tunataka nini 🙂😀😀
Upi?Kumbe mtashiriki uchaguzi 😛
Wasira gari ya mkaaHuyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche.
Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye mikutano yake katika kanda ya Victoria, CCM mnatakiwa kubadili mbinu kutumia vyombo vya dola na usalama kuzima upinzani ni kujitia kiberiti wenyewe, kwa sasa ni kama watu wanaamini chadema ndiyo chama pekee cha kuwaletea mageuzi katika nchi hii.
Kumkamata Lissu na kumuweka kolokoloni ni kama hakujabadilisha chochote, isipokuwa imeleta matokea chanya zaidi kwa chadema.
Tazama picha hizi Heche akiwa kanda ya Victoria ndani ya siku 2 tu.
Atakuwa amesikia ulivyo sema hivyo kaenda kutafuta injini kubwa zaidiHuyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche.
Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye mikutano yake katika kanda ya Victoria, CCM mnatakiwa kubadili mbinu kutumia vyombo vya dola na usalama kuzima upinzani ni kujitia kiberiti wenyewe, kwa sasa ni kama watu wanaamini chadema ndiyo chama pekee cha kuwaletea mageuzi katika nchi hii.
Kumkamata Lissu na kumuweka kolokoloni ni kama hakujabadilisha chochote, isipokuwa imeleta matokea chanya zaidi kwa chadema.
Tazama picha hizi Heche akiwa kanda ya Victoria ndani ya siku 2 tu.
Kuna maana gani unabeba nyomi halafu hugombei kwenye Uchaguzi Mkuu? Hiyo ni sawa na kukata viuno harusini wakati anaeoa ni mwingine! Ahahahahaha!!Huyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche.
Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye mikutano yake katika kanda ya Victoria, CCM mnatakiwa kubadili mbinu kutumia vyombo vya dola na usalama kuzima upinzani ni kujitia kiberiti wenyewe, kwa sasa ni kama watu wanaamini chadema ndiyo chama pekee cha kuwaletea mageuzi katika nchi hii.
Kumkamata Lissu na kumuweka kolokoloni ni kama hakujabadilisha chochote, isipokuwa imeleta matokea chanya zaidi kwa chadema.
Tazama picha hizi Heche akiwa kanda ya Victoria ndani ya siku 2 tu.
Sio ya jinyee?Wasiri ni Injini ya Haojue imefungwa kwenye gari😀
heche naye atakamwatwaHuyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche.
Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye mikutano yake katika kanda ya Victoria, CCM mnatakiwa kubadili mbinu kutumia vyombo vya dola na usalama kuzima upinzani ni kujitia kiberiti wenyewe, kwa sasa ni kama watu wanaamini chadema ndiyo chama pekee cha kuwaletea mageuzi katika nchi hii.
Kumkamata Lissu na kumuweka kolokoloni ni kama hakujabadilisha chochote, isipokuwa imeleta matokea chanya zaidi kwa chadema.
Tazama picha hizi Heche akiwa kanda ya Victoria ndani ya siku 2 tu.
Meza losartan, utakufa na pressure bure.Una akili za kitoto.Wasira hana haja yakupiga kelele kwasababu chama chake ndio kimeshika makali na wako ikulu wanakunywa kahawa.Na wao ndio wenye maamuzi yakusikiliza na kutekeleza hizo kelele na malalamiko anayopiga heche au wazipuuzie wamuache aendelee kukauka koo nakupigwa jua.Siku nyingine tanua ubongo uje na hoja yenye mashiko sio kutuletea ujinga kama huu maana hauna msaada wowote kwenye jamii.
😆 😂 😆Injini ilichemka kidogo. Hivyo imepelekwa gereji kupoozeshwa. Punde itarudi bararani kuendeleza misele.
Bora iwe hivyoKwamba kalipwa na waziri wa ccm?
Mbona wanataka kumchoma waziri wa watu
Muwe mnaweka hata video fupii fupi. Mbona ni kama nanyie mmekata moto juu ya no reform. Inatakuwa kuendelea kusikika kutoka kwa viingoizi kuweka imani kwa wananchi kuwa mmpo hai.Huyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche.
Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye mikutano yake katika kanda ya Victoria, CCM mnatakiwa kubadili mbinu kutumia vyombo vya dola na usalama kuzima upinzani ni kujitia kiberiti wenyewe, kwa sasa ni kama watu wanaamini chadema ndiyo chama pekee cha kuwaletea mageuzi katika nchi hii.
Kumkamata Lissu na kumuweka kolokoloni ni kama hakujabadilisha chochote, isipokuwa imeleta matokea chanya zaidi kwa chadema.
Tazama picha hizi Heche akiwa kanda ya Victoria ndani ya siku 2 tu.
Ndiyo maana tunamwita marehemu wasiraHuyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche.
Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye mikutano yake katika kanda ya Victoria, CCM mnatakiwa kubadili mbinu kutumia vyombo vya dola na usalama kuzima upinzani ni kujitia kiberiti wenyewe, kwa sasa ni kama watu wanaamini chadema ndiyo chama pekee cha kuwaletea mageuzi katika nchi hii.
Kumkamata Lissu na kumuweka kolokoloni ni kama hakujabadilisha chochote, isipokuwa imeleta matokea chanya zaidi kwa chadema.
Tazama picha hizi Heche akiwa kanda ya Victoria ndani ya siku 2 tu.
Ni kweli, ila cdm watu wanaenda bila kupewa hongo ama vitisho vyovyote. Hakuna kubeba wanafunzi hapo.Hata wasira akienda watajaa vilevile. Watz.hatujui tunataka nini 🙂😀😀