Huyu mzee wetu, huu mziki ni mkubwa kwake, CCM warudi kwenye draft upya πWasiri ni Injini ya Haojue imefungwa kwenye gariπ
Mzee alisema gari ni injini πNa hivi baridi imeanza yule mzee wa miaka 80 ugonjwa wa Nimonia utapiga kambi mapafuni mwake. Hatayoka tena nje mpk mwezi December.
Muongo!. Mbona kajikunyata?Mzee alisema gari ni injini π
Kumbe mtashiriki uchaguzi πHuyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche.
Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye mikutano yake katika kanda ya Victoria, CCM mnatakiwa kubadili mbinu kutumia vyombo vya dola na usalama kuzima upinzani ni kujitia kiberiti wenyewe, kwa sasa ni kama watu wanaamini chadema ndiyo chama pekee cha kuwaletea mageuzi katika nchi hii.
Kumkamata Lissu na kumuweka kolokoloni ni kama hakujabadilisha chochote, isipokuwa imeleta matokea chanya zaidi kwa chadema.
Tazama picha hizi Heche akiwa kanda ya Victoria ndani ya siku 2 tu.
Mzanzibari akiona hivi kitu kinagonga π na kurudi ndani dadeqHuyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche.
Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye mikutano yake katika kanda ya Victoria, CCM mnatakiwa kubadili mbinu kutumia vyombo vya dola na usalama kuzima upinzani ni kujitia kiberiti wenyewe, kwa sasa ni kama watu wanaamini chadema ndiyo chama pekee cha kuwaletea mageuzi katika nchi hii.
Kumkamata Lissu na kumuweka kolokoloni ni kama hakujabadilisha chochote, isipokuwa imeleta matokea chanya zaidi kwa chadema.
Tazama picha hizi Heche akiwa kanda ya Victoria ndani ya siku 2 tu.
Hiyo AC kwenye v8 mfululizo haitayaacha mapafu ya huyu Mzee salama. Inapota double pneumonia chap!Na hivi baridi imeanza yule mzee wa miaka 80 ugonjwa wa Nimonia utapiga kambi mapafuni mwake. Hatatoka tena nje mpk mwezi December.
Aoneshe kadi ya gariHuyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche.
Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye mikutano yake katika kanda ya Victoria, CCM mnatakiwa kubadili mbinu kutumia vyombo vya dola na usalama kuzima upinzani ni kujitia kiberiti wenyewe, kwa sasa ni kama watu wanaamini chadema ndiyo chama pekee cha kuwaletea mageuzi katika nchi hii.
Kumkamata Lissu na kumuweka kolokoloni ni kama hakujabadilisha chochote, isipokuwa imeleta matokea chanya zaidi kwa chadema.
Tazama picha hizi Heche akiwa kanda ya Victoria ndani ya siku 2 tu.
Hata vumbi tu la kwenye hiyo mikutano itamuua huyo mzeeHiyo AC kwenye v8 mfululizo haitayaacha mapafu ya huyu Mzee salama. Inapota double pneumonia chap!
Chadema ya Wananchi hii ni UnstopableHuyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche.
Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye mikutano yake katika kanda ya Victoria, CCM mnatakiwa kubadili mbinu kutumia vyombo vya dola na usalama kuzima upinzani ni kujitia kiberiti wenyewe, kwa sasa ni kama watu wanaamini chadema ndiyo chama pekee cha kuwaletea mageuzi katika nchi hii.
Kumkamata Lissu na kumuweka kolokoloni ni kama hakujabadilisha chochote, isipokuwa imeleta matokea chanya zaidi kwa chadema.
Tazama picha hizi Heche akiwa kanda ya Victoria ndani ya siku 2 tu.
Hata wasira akienda watajaa vilevile. Watz.hatujui tunataka nini πππHuyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche.
Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye mikutano yake katika kanda ya Victoria, CCM mnatakiwa kubadili mbinu kutumia vyombo vya dola na usala kuzima upinzani ni kujitia kiberiti wenyewe, kwa sasa ni kama watu wanaamini chadema ndiyo chama pekee cha kuwaletea mageuzi katika nchi hii.