PreGE2025 Wasira Kimya! Moto wa Heche wazidi kuchanja mbuga kuelekea Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wasira gari ya mkaa
 
Atakuwa amesikia ulivyo sema hivyo kaenda kutafuta injini kubwa zaidi
 
Kuna maana gani unabeba nyomi halafu hugombei kwenye Uchaguzi Mkuu? Hiyo ni sawa na kukata viuno harusini wakati anaeoa ni mwingine! Ahahahahaha!!
 
Injini ilichemka kidogo. Hivyo imepelekwa gereji kupoozeshwa. Punde itarudi bararani kuendeleza misele.
 
heche naye atakamwatwa
 
Meza losartan, utakufa na pressure bure.
 
Muwe mnaweka hata video fupii fupi. Mbona ni kama nanyie mmekata moto juu ya no reform. Inatakuwa kuendelea kusikika kutoka kwa viingoizi kuweka imani kwa wananchi kuwa mmpo hai.
 
Ndiyo maana tunamwita marehemu wasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…