Wasira: Urais 2025, chanzo upotosha uwekezaji bandari

Wasira: Urais 2025, chanzo upotosha uwekezaji bandari

Ingefaa awataje Ili washughulikiwe mapema maana hao ndio wamevujisha mkataba.

Hii ni politics game ya Urais wa 2025,wanajaribu kutumia upotoshaji wa Bandari Ili kimhujumu mh.Rais
 
Sukuma gang wanapush sana hii ajenda ya DPW. Mzee Wasira kaona mbali sana.
Hautaungwa mkono kwa hili.

Mmekosa yote, wewe na genge lako, sasa mnaona Wananchi wameungana kwenye shauri hili wewe umechafukwa unataka kuleta siasa za Utengano, unaleta Ukabila wakati huohuo unapotosha.

Hakuna genge wala Gang Tanzania linaloitwa hivyo.....wewe ni Muongo.

Kuna Kabila la WASUKUMA


Ulaaniwe, Ulegee na Ushindwe.
 
huyu mzee simuelewi. kama ishu ni urais, Ina maana mkataba uko sawa? Mkataba ni m,'bovu na haufai hicho ndicho kilichopo. kama kuna kingine itakuwa ni swala lingine hilo.

JESUS SAVES
 
Huyu mzee Wasira anawaza ubunge wake urudi tu Akasinzie sinzie kule mjengoni Hana ishu
 
Hapo nimmemuelewa Wasira, nimeshangaa sana kuona Maaskofu wakatoliki wako na chadema , yaa waiwache Catholic Crusade Movement kwa hao KkKT? Sasa Wasira kanipa jibu.



Mpaka Wasira anasema hivyo, limeshabuma hilo.


Mdiyo maana kina Anna Tibaijuka wanaota vyeo na nyadhifa za uzeeni.


Mama Amon
 
Huyu ni kiboko wa ukweli
FB_IMG_1691294946989.jpg
 
Back
Top Bottom