ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ingefaa awataje Ili washughulikiwe mapema maana hao ndio wamevujisha mkataba.Wasira: Urais 2025, chanzo upotosha uwekezaji bandari
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema chanzo cha upotoshaji kuhusu uwekezaji wa bandani ni siasa za uchaguzi wa mwaka 2025, ambapo baadhi ya watu wanamezea...www.mwananchi.co.tz
Hautaungwa mkono kwa hili.Sukuma gang wanapush sana hii ajenda ya DPW. Mzee Wasira kaona mbali sana.
Wewe nawe hueleweki, kwa vile upeo ni mdogo.
Ni nani aliyetangaza kuanza kwa "Awamu ya sita", unamjua?
Sasa hapa unabwabwaja kitu gani hasa?
Hapo nimmemuelewa Wasira, nimeshangaa sana kuona Maaskofu wakatoliki wako na chadema , yaa waiwache Catholic Crusade Movement kwa hao KkKT? Sasa Wasira kanipa jibu.Wasira: Urais 2025, chanzo upotosha uwekezaji bandari