Wasirra aonekana akihamasisha No Reform No Election kabla hajalamba Asali

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Akiwa Upinzani enzi zile Bwana Steven Wassirra alilalamika kwamba Uchaguzi haukuwa huru wala haukuwa wa haki kwa vile kwenye Kituo kimoja kilichoandikisha Wapiga kura 271 lakini Mgombea wa ccm kimiujiza alipata kura 749.

Juhudi za kuiweka hapa Video yake akilalamikia wizi huo wa kura mbele ya Waandishi wa habari zinaendelea

Akiwa Upinzani enzi zile Bwana Steven Wassirra alilalamika kwamba Uchaguzi haukuwa huru wala haukuwa wa haki kwa vile kwenye Kituo kimoja kilichoandikisha Wapiga kura 271 lakini Mgombea wa ccm akipata kura 749.

Juhudi za kuiweka hapa Video yake akilalamikia wizi huo wa kura mbele ya Waandishi wa habari zinaendelea.
kwamba eti sugu, aida, romanus na watangaza nia za urais, ubunge na udiwani kupitia Chadema, wataacha azma zao za kuendelea kujiandaa na uchaguzi mkuu wa October 2025, wazingatie wito wa kibaka na tapeli wa siasa nchini, ambao unaendelea kupuuzwa na wanachadema wenyewe? right?🐒
 
Mimi ni Kada ila naona aibu kwenye clip ya mzee gombe
 
Akiwa Upinzani enzi zile Bwana Steven Wassirra alilalamika kwamba Uchaguzi haukuwa huru wala haukuwa wa haki kwa vile kwenye Kituo kimoja kilichoandikisha Wapiga kura 271 lakini Mgombea wa ccm akipata kura 749.

Juhudi za kuiweka hapa Video yake akilalamikia wizi huo wa kura mbele ya Waandishi wa habari zinaendelea.
Hana tofauti na Lissu na kijitapel cha siasa Slaa wote walisema lowassa ni mwizi halafu wakataka kumpeleka ikulu kabla wananchi wazalendo hawa jagomea uhuni na udalali wa chadema kuuza ikulu kwa fisadi!
 
Jikite kwenye mada
 
Akiwa Upinzani enzi zile Bwana Steven Wassirra alilalamika kwamba Uchaguzi haukuwa huru wala haukuwa wa haki kwa vile kwenye Kituo kimoja kilichoandikisha Wapiga kura 271 lakini Mgombea wa ccm akipata kura 749.

Juhudi za kuiweka hapa Video yake akilalamikia wizi huo wa kura mbele ya Waandishi wa habari zinaendelea.
Makaburi yanafufuliwa😂😂😂
 
Akiwa Upinzani enzi zile Bwana Steven Wassirra alilalamika kwamba Uchaguzi haukuwa huru wala haukuwa wa haki kwa vile kwenye Kituo kimoja kilichoandikisha Wapiga kura 271 lakini Mgombea wa ccm kimiujiza alipata kura 749.

Juhudi za kuiweka hapa Video yake akilalamikia wizi huo wa kura mbele ya Waandishi wa habari zinaendelea.
Baada ya kulamba asali Kawa kipofu
 
Mimi ni Kada ila naona aibu kwenye clip ya mzee ngombe
Gentleman,
aibu zaidi ni kwa wasomi kutapeliwa pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone na ombaomba wa kimataifa akisaidiwa na jambazi wa kutoka hapo AR tu 🐒
 
Back
Top Bottom