Wasirra aonekana akihamasisha No Reform No Election kabla hajalamba Asali

A
Wewe utaakuwa Kuna bolt 🔩 nuts zimelegea mahali!!!
huenda huyo tapeli mnafiki wa no reform no elections ndio zimekaza halafu anapuuzwa kila kona na wanachadema dhidi ya huo utapeli wake gentleman 🐒
 
Akiwa Upinzani enzi zile Bwana Steven Wassirra alilalamika kwamba Uchaguzi haukuwa huru wala haukuwa wa haki kwa vile kwenye Kituo kimoja kilichoandikisha Wapiga kura 271 lakini Mgombea wa ccm kimiujiza alipata kura 749.

Juhudi za kuiweka hapa Video yake akilalamikia wizi huo wa kura mbele ya Waandishi wa habari zinaendelea.

View: https://youtu.be/OOiyG53mA-8
 
kwamba eti sugu, aida, romanus na watangaza nia za urais, ubunge na udiwani kupitia Chadema, wataacha azma zao za kuendelea kujiandaa na uchaguzi mkuu wa October 2025, wazingatie wito wa kibaka na tapeli wa siasa nchini, ambao unaendelea kupuuzwa na wanachadema wenyewe? right?🐒
Hujui lolote wewe upo kama mshipa/ ngiri maji/ Busha mbele haupo nyuma haupo. Ili muradi kuropoka yatokanayo na chama mfu ccm
 
Gentleman,
aibu zaidi ni kwa wasomi kutapeliwa pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone na ombaomba wa kimataifa akisaidiwa na jambazi wa kutoka hapo AR tu 🐒
Wasomi wa UDOBOLESI Dodoma ndio waandamane na mama asemewe hadi kusoma VETA?
 
Hujui lolote wewe upo kama mshipa/ ngiri maji/ Busha mbele haupo nyuma haupo. Ili muradi kuropoka yatokanayo na chama mfu ccm
sasa mjuaji mbona una mihemko, ghadhabu na kakasiriko tu aise?🤣
 
Wasomi wa UDOBOLESI Dodoma ndio waandamane na mama asemewe hadi kusoma VETA?
sasa gentleman,
yaan utapeliwe pesa yako na vibaka wa tone tone halafu uje unikasorikie mim?
alaaa hiyo si sawa kabisa gentleman 🤣
 
Unapimamaje makasiriko na mihemko ya watu wewe chawa?
ni Rahisi sana gentleman,
pale ambapo mdau anaacha hoja ya msingi anaanza kujipambanua kana kwamba yeye ana akili nyingi zaidi wakati anachofanya ni kufananisha watu na wanyama au vitu huku hoja ikiwa imemshinda kabsaaa🤣
 
sasa gentleman,
yaan utapeliwe pesa yako na vibaka wa tone tone halafu uje unikasorikie mim?
alaaa hiyo si sawa kabisa gentleman 🤣
Ndo degree yako umeipeleka VETA kumbe inakuwaga hivi we jamaa
 
ni Rahisi sana gentleman,
pale ambapo mdau anaacha hoja ya msingi anaanza kujipambanua kana kwamba yeye ana akili nyingi zaidi wakati anachofanya ni kufananisha watu na wanyama au vitu huku hoja ikiwa imemshinda kabsaaa🤣
Sawa. Lakini ndo tushindwe basi hata kujua haki za KIRAIYA Zilizopo kwenye katiba ikiwemo uchaguzi huru na wa haki? Ah
 
Ndo degree yako umeipeleka VETA kumbe inakuwaga hivi we jamaa
binafsi licha ya kua muhadhiri na mtumishi mchapakazi wa wananchi,
but nilienda veta kuchota maarifa zaidi, zaidi sana kilimo na ufugaji biashara vinanipa amani, uhakika na furaha ya kipato kuliko posho ya mwezi ya baada ya kuwatumikia wananchi.

msomi kutapeliwa na vibaka wa kisiasa ni fedheha sana 🐒
 
Sawa. Lakini ndo tushindwe basi hata kujua haki za KIRAIYA Zilizopo kwenye katiba ikiwemo uchaguzi huru na wa haki? Ah
nadhani ni dhuluma kuwashawishi na kuwarubuni wananchi uhuru na haki zao za kikatiba kushiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria wa October 2025,

No reform no elections is useless and completely nonsense plan as far as democratic processes are concerned 🐒
 
binafsi licha ya kua muhadhiri na mtumishi mchapakazi wa wananchi,
but nilienda veta kuchota maarifa zaidi, zaidi sana kilimo na ufugaji biashara vinanipa amani, uhakika na furaha ya kipato kuliko posho ya mwezi ya baada ya kuwatumikia wananchi.

msomi kutapeliwa na vibaka wa kisiasa ni fedheha sana 🐒
Kama wewe ni muhadhiri basi kama nchi kazi ipo. Jitahidi kuwa unasoma historia kidogo ya nchi hii ili uwe unafahqmu kifogo. Hata nyerere alipelekwa UN kwa pesa ya Tone Tone hii unayoita utapeli leo. Hata warming kutoa sandaka makqnisani na misikitini ni TONE TONE. Hata kulipia kadi za wanachama ni Tone tone
nadhani ni dhuluma kuwashawishi na kuwarubuni wananchi uhuru na haki zao za kikatiba kushiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria wa October 2025,

No reform no elections is useless and completely nonsense plan as far as democratic processes are concerned 🐒
Ndo mana nakuambia wewe ni mhadhiribumbu. Tangu lini mwanafunzi aliyejiandaa vyema kwa mitihani yake akaogopa kukaa mbele ya daresa? Kusema tunataka uwanja wa kuchezea uwe sawa kwa kubadilisha sheria za uchaguzi ni kuzulumu haki ya nani?
Hukuwepo tz 2019, 2020, 2024?
 
Dhuluma ni ipi kwako kati ya kuiba psa za umma rejea ( CAG ) Reports na kutaka uchaguzi huru na wa haki wewe muhadhiri kanjanja?
 
Kama wewe ni muhadhiri basi kama nchi kazi ipo. Jitahidi kuwa unasoma historia kidogo ya nchi hii ili uwe unafahqmu kifogo. Hata nyerere alipelekwa UN kwa pesa ya Tone Tone hii unayoita utapeli leo. Hata warming kutoa sandaka makqnisani na misikitini ni TONE TONE. Hata kulipia kadi za wanachama ni Tone tone

Ndo mana nakuambia wewe ni mhadhiribumbu. Tangu lini mwanafunzi aliyejiandaa vyema kwa mitihani yake akaogopa kukaa mbele ya daresa? Kusema tunataka uwanja wa kuchezea uwe sawa kwa kubadilisha sheria za uchaguzi ni kuzulumu haki ya nani?
Hukuwepo tz 2019, 2020, 2024?
uhadhiri wangu au hii kazi ya kutumikia wananchi kisiasa, kwanza sio suala la nchi, hii ni bidii yangu binafsi, kama akina Salim Ahmed Salim walikua mabalizi huko ng'ambo wakiwa na umri wa miaka28, why not me or you kua muhadhiri within the same age?
Acha uvivu gentleman.

Hata hivyo,
Pamoja na Neema na baraka hizo kutoka kwa Mungu, stili na fanya kilimo na ufugaji biashara sana, lakin pia veta nilienda na ninafanya welding vizuri sana now.

Ile kitu ambayo sitaki kuruka, ni tabia za urika 🐒
 
Dhuluma ni ipi kwako kati ya kuiba psa za umma rejea ( CAG ) Reports na kutaka uchaguzi huru na wa haki wewe muhadhiri kanjanja?
changamoto, dosari na kasoro ndogondogo ni jambo la kawaida hata kwenye maisha yako tu gentleman,

ni muhimu sasa ukizibaini,
unazibadili kua fursa ya kujirekebisha, kujisahihisha na hatimae kujipanga vizuri zaidi ili ufanye vizuri zaidi huko mbeleni.

hakuna haja ya kustack, kuzira au kukata tamaa, ni kusonga mbele kwa bidii zaidi ndio mpango muhimu 🐒
 
kwamba eti sugu, aida, romanus na watangaza nia za urais, ubunge na udiwani kupitia Chadema, wataacha azma zao za kuendelea kujiandaa na uchaguzi mkuu wa October 2025, wazingatie wito wa kibaka na tapeli wa siasa nchini, ambao unaendelea kupuuzwa na wanachadema wenyewe? right?[emoji205]
Angalia video hyo we punguan waaheed
 
binafsi licha ya kua muhadhiri na mtumishi mchapakazi wa wananchi,
but nilienda veta kuchota maarifa zaidi, zaidi sana kilimo na ufugaji biashara vinanipa amani, uhakika na furaha ya kipato kuliko posho ya mwezi ya baada ya kuwatumikia wananchi.

msomi kutapeliwa na vibaka wa kisiasa ni fedheha sana [emoji205]
Ww ni mhadhiri!!!!basi tupo shimon
 
Back
Top Bottom