Wasirra aonekana akihamasisha No Reform No Election kabla hajalamba Asali

Wasirra aonekana akihamasisha No Reform No Election kabla hajalamba Asali

A

huenda huyo tapeli mnafiki wa no reform no elections ndio zimekaza halafu anapuuzwa kila kona na wanachadema dhidi ya huo utapeli wake gentleman 🐒
Anapuuzwa?? 🤔🤔 ?? Hivi wewe samahani naomba ruhusa nikuite "KENGE"🤣🤣

Wale watu maelfu wanaomsikiliza, wanaoenda kwenye mikutano yake bila kusombwa na malori na kulipiwa posho ni wajinga??

Huwa wanaenda kusikiliza madini, hoja zenye mashiko!!

Narudia wewe 🔩 NUTS ziko Loose, Akili umweka Mifuko ya Suruali ya nyuma 🤣🤣🤣🤣

Gentleman,toa akili kwenye mifuko ya suruali ya nyuma 🤣🤣🤣🤣

Gentleman ,hivi wewe unaimba SAUTI YA NGAPI KWENYE KWAYA YENU YA KUSIFU NA KUABUDU WATU???🤣🤣🤣

Gentleman UISHI SANA,

Napenda sana Post zako ambazo Huwa zinawachekesha walionuna 😅😅😅

Upewe maua yako, ungeamua kuwa COMMEDIAN gentle man ungekuwa mbali sana 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Akiwa Upinzani enzi zile Bwana Steven Wassirra alilalamika kwamba Uchaguzi haukuwa huru wala haukuwa wa haki kwa vile kwenye Kituo kimoja kilichoandikisha Wapiga kura 271 lakini Mgombea wa ccm kimiujiza alipata kura 749.

Juhudi za kuiweka hapa Video yake akilalamikia wizi huo wa kura mbele ya Waandishi wa habari zinaendelea.
Hakuwa upinzani mkuu. Hii ni 2015 tu hapo yeye akiwa CCM alipopigwa kitu kizito na Bulaya wa CHADEMA akakimbilia mahakamani napo akashindwa😂😂
 
Anapuuzwa?? 🤔🤔 ?? Hivi wewe samahani naomba ruhusa nikuite "KENGE"🤣🤣

Wale watu maelfu wanaomsikiliza, wanaoenda kwenye mikutano yake bila kusombwa na malori na kulipiwa posho ni wajinga??

Huwa wanaenda kusikiliza madini, hoja zenye mashiko!!

Narudia wewe 🔩 NUTS ziko Loose, Akili umweka Mifuko ya Suruali ya nyuma 🤣🤣🤣🤣

Gentleman,toa akili kwenye mifuko ya suruali ya nyuma 🤣🤣🤣🤣

Gentleman ,hivi wewe unaimba SAUTI YA NGAPI KWENYE KWAYA YENU YA KUSIFU NA KUABUDU WATU???🤣🤣🤣

Gentleman UISHI SANA,

Napenda sana Post zako ambazo Huwa zinawachekesha walionuna 😅😅😅

Upewe maua yako, ungeamua kuwa COMMEDIAN gentle man ungekuwa mbali sana 🤣🤣🤣🤣🤣
Gentleman,
kuskilizwa unaweza kuskilizwa uongo wako na kisha ukapuuzwa, kama walivyofanya wananchi wa Mbeya wakiongozwa na Sugu na kule Nkasi kwa Aida ambako pia wamempuuza huyo tapeli, na maandalizi ya ya watia nia za udiwani, ubunge na urais maeneo mbalimbali kupitia Chadema yanaendelea vizuri, ili hatimae washiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria bila kubabaishwa na makelele ya kibaka wa siasa ambae familia yake iko ughaibuni 🐒
 
Akiwa Upinzani enzi zile Bwana Steven Wassirra alilalamika kwamba Uchaguzi haukuwa huru wala haukuwa wa haki kwa vile kwenye Kituo kimoja kilichoandikisha Wapiga kura 271 lakini Mgombea wa ccm kimiujiza alipata kura 749.

Juhudi za kuiweka hapa Video yake akilalamikia wizi huo wa kura mbele ya Waandishi wa habari zinaendelea.
Kumbe huo ufedhuli na wizi wa uchaguzi unaofanywa na ccm huwa wanaujua vizuri, ila wakilambishwa asali tu wanajitoa ufahamu !!!
 
binafsi licha ya kua muhadhiri na mtumishi mchapakazi wa wananchi,
but nilienda veta kuchota maarifa zaidi, zaidi sana kilimo na ufugaji biashara vinanipa amani, uhakika na furaha ya kipato kuliko posho ya mwezi ya baada ya kuwatumikia wananchi.

msomi kutapeliwa na vibaka wa kisiasa ni fedheha sana 🐒
La saba unapelekwa kusoma Kkk? Akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa.
 
La saba unapelekwa kusoma Kkk? Akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa.
ni mbaya sana aise,
yaani eti tapeli na jambazi wa malori ndio anahamasisha na kuwaongoza graduates wachangie pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone :NoGodNo:
 
Kama wewe ni muhadhiri basi kama nchi kazi ipo. Jitahidi kuwa unasoma historia kidogo ya nchi hii ili uwe unafahqmu kifogo. Hata nyerere alipelekwa UN kwa pesa ya Tone Tone hii unayoita utapeli leo. Hata warming kutoa sandaka makqnisani na misikitini ni TONE TONE. Hata kulipia kadi za wanachama ni Tone tone

Ndo mana nakuambia wewe ni mhadhiribumbu. Tangu lini mwanafunzi aliyejiandaa vyema kwa mitihani yake akaogopa kukaa mbele ya daresa? Kusema tunataka uwanja wa kuchezea uwe sawa kwa kubadilisha sheria za uchaguzi ni kuzulumu haki ya nani?
Hukuwepo tz 2019, 2020, 2024?
Mkuu utaliua so kwa spana hizo. Sema huyo ni clone ya musiba.
 
Mkuu
ni mbaya sana aise,
yaani eti tapeli na jambazi wa malori ndio anahamasisha na kuwaongoza graduates wachangie pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone :NoGodNo:
Mkuu inawezakana una akili ila ukiangalia uchangiaji wako daa! Hata Lucas mashamba anajitahid. Yaani unarudia rudia kauli moja kichiz.

Ila pamoj yote unatikiwa kujua kaamba 2015 ccm haikumtarajia Magu, wala awamu hii ya sita haikutarajiwa kuwa ndani ya awamu ya tano tena ikiongozwa na madam prezdaa.

Ndo maana Ex CDF Gen Mabeyo alisema ilimlazmu awakumbushe viongozi(***) kuwa katba inasema vice prezdaa ndo anastahili kushika nchi.
Hii ni waz kwamba walitahamaki walikuwa suprized.
Point yangu nikwamba pamoja na mahaba yetu kwa vyama na watu tunao wahusudu lakini tuweke akiba kuu ya mioyo yetu kwa kukubali uhalisia ikiwa yanatokea tusiyo yatarajia ili tuendelee kuifurahia amani.

Kwahyo the more uko deep kwa mahaba na chama chako jitahid pia kuwa deep katika unyenyekevu mkuu Dunia ya Mungu hii.
 
Na
Gentleman,
aibu zaidi ni kwa wasomi kutapeliwa pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone na ombaomba wa kimataifa akisaidiwa na jambazi wa kutoka hapo AR tu 🐒
Nakupongeza mno kwa juhudi za kashfa zisizofanikiwa. Sisi tumeona kwa macho clip ya mtu anayesema tofauti na sasa, na ni yule yule. Nawe lete clip inayowaumbua unaowakashifu. Tofauti na hapo, unajidhalilisha mkuu.
 
Back
Top Bottom