Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
clips nyingi za video zitatoka kesho baada ya kikao cha ambao wamegoma kubebwa ufala na matapeli wa no reform no elections ambao pia ni watangaza nia za ubunge, udiwàni na urasi kupitia Chadema, dhidi ya vibaka wa siasa na wahubiri wa dhana potofu isiyo na faida ya no reform no elections,Na
Nakupongeza mno kwa juhudi za kashfa zisizofanikiwa. Sisi tumeona kwa macho clip ya mtu anayesema tofauti na sasa, na ni yule yule. Nawe lete clip inayowaumbua unaowakashifu. Tofauti na hapo, unajidhalilisha mkuu.
So,
calm down gentleman 🐒