Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Hapa hakuna kitu hapa ni forgery tupu 😆mbona weo?
huenda nawe ni miongoni mwa watapeliwa ndugu muerevu, right?🐒
sifahamu 🐒Hapa hakuna kitu hapa ni forgery tupu 😆
Wasira kanya kisha anakula mavi yake mwenyewe 😆Gentleman,
aibu zaidi ni kwa wasomi kutapeliwa pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone na ombaomba wa kimataifa akisaidiwa na jambazi wa kutoka hapo AR tu 🐒
Nimecheka sana hio Clip ningepata ndefu ingependeza sana 😆sifahamu 🐒
Rekebisha, hapo alikuwa ccm na alishindwa na esther bulaya ubungeAkiwa Upinzani enzi zile Bwana Steven Wassirra alilalamika kwamba Uchaguzi haukuwa huru wala haukuwa wa haki kwa vile kwenye Kituo kimoja kilichoandikisha Wapiga kura 271 lakini Mgombea wa ccm kimiujiza alipata kura 749.
Juhudi za kuiweka hapa Video yake akilalamikia wizi huo wa kura mbele ya Waandishi wa habari zinaendelea.
Maua Mkuu💐💐💐💐💐💐Huna akili
Huyo Ester Bulaya alikua wa chama kipi CCM chini ya uvungu?Rekebisha, hapo alikuwa ccm na alishindwa na esther bulaya ubunge
Na hiyo kitu ni enzi za jaji warioba au zama zipi hizoTunajaribu kuweka kumbukumbu vizuri
Wewe utaakuwa Kuna bolt 🔩 nuts zimelegea mahali!!!kwamba eti sugu, aida, romanus na watangaza nia za urais, ubunge na udiwani kupitia Chadema, wataacha azma zao za kuendelea kujiandaa na uchaguzi mkuu wa October 2025, wazingatie wito wa kibaka na tapeli wa siasa nchini, ambao unaendelea kupuuzwa na wanachadema wenyewe? right?🐒
Hapo Slaa unamhusishaje na wakati alijiengua Cdm kwa kashifa hiyo?Hana tofauti na Lissu na kijitapel cha siasa Slaa wote walisema lowassa ni mwizi halafu wakataka kumpeleka ikulu kabla wananchi wazalendo hawa jagomea uhuni na udalali wa chadema kuuza ikulu kwa fisadi!
Hili BAO la mkono ,enzi hizo na warioba nayeye akiwa nccr ?
ChademaHuyo Ester Bulaya alikua wa chama kipi CCM chini ya uvungu?
Hangaya anaelekezwa na chawa kuteua watu asiowajua!, ni aibu sana!Wasira kanya kisha anakula mavi yake mwenyewe 😆
Unaongelea chaawa mtu mzima hovyo?Akiwa Upinzani enzi zile Bwana Steven Wassirra alilalamika kwamba Uchaguzi haukuwa huru wala haukuwa wa haki kwa vile kwenye Kituo kimoja kilichoandikisha Wapiga kura 271 lakini Mgombea wa ccm kimiujiza alipata kura 749.
Juhudi za kuiweka hapa Video yake akilalamikia wizi huo wa kura mbele ya Waandishi wa habari zinaendelea.
Unavamia tu kama hujui uliza Slaa ndio katibu mkuu aliyeidhinisha Lowassa kupokelewa Chadema kwa sababu hujui ukisikiliza porojo za slaa unaamini hakuhusika!Hapo Slaa unamhusishaje na wakati alijiengua Cdm kwa kashifa hiyo?
Ulikuwa na umri gani, au unajifanya kusahau kwa sababu ya chuki?
Mada inahusu chadema slaa na lissu wote ni wafuasi wa chadema!Jikite kwenye mada