Wasirra aonekana akihamasisha No Reform No Election kabla hajalamba Asali

Wasirra aonekana akihamasisha No Reform No Election kabla hajalamba Asali

Mkui usonge mbele na nani kwenda wapmkui
Mkuu huyo sio mhadhari. Angekuwa mhadhiri asinge idharaulisha taaluna yake kirahisi hivo kwa kujitambulisha humu.
We mpe mda tuu kuna siku atakuja jitambulisha kuwa yeye ni afisa wa uhamiaji au afisa mtendaji kata.
Gentleman,
mbona mnapotoshana kindez hivyo my friends?🐒
 
Itoshe kukupendekezea tu heshimu wenzako kaka kama tunavyokuheshimu. Usimwite mtu kibaka au tapeli wkt hajawahi kukuomba hata msaada wa mawazo acha tu kukukopa mia asikirudishie. Na wala hajawahi kukupora chochote,
mbona kuna wanaoitwa manyumbu na machawa mengi tu humu jukwaani gentleman na huwasewmei?

kulikoni uwatete vibaka na matapeli wa kisiasa pekee? JE, nawe ni sehemu ya jamii hiyo?

kipi kimekuchafua zaidi hapo gentleman?
ni wananchi kutapeliwa pesa zao kidigitali kwa mtindo wa tone tone au wananchi kudhulumiwa na kurubuniwa uhuru na haki zao za kikatiba kwa mtindo wa no reform no elections wa vibaka na matapeli wa kisiasa akina yahaya?🐒
 
mbona weo?
huenda nawe ni miongoni mwa watapeliwa ndugu muerevu, right?🐒
Narudia Mimi ni Kada ila Gentleman kwa huyu gombe wetu tumepigwa ...ni afadhali Lucas Mwasambwanda anyakuwe nafasi yake.
 
Attachments

  • 6017471-46d1e509592bd73d8313972ca4ec2707.mp4
    805.6 KB
mbona kuna wanaoitwa manyumbu na machawa mengi tu humu jukwaani gentleman na huwasewmei?

kulikoni uwatete vibaka na matapeli wa kisiasa pekee? JE, nawe ni sehemu ya jamii hiyo?

kipi kimekuchafua zaidi hapo gentleman?
ni wananchi kutapeliwa pesa zao kidigitali kwa mtindo wa tone tone au wananchi kudhulumiwa na kurubuniwa uhuru na haki zao za kikatiba kwa mtindo wa no reform no elections wa vibaka na matapeli wa kisiasa akina yahaya?🐒
Hao chawa walijiita wenyewe na kujisajili kabisa kama taasisi ya kumtetea mama na wanaona fahari. Kwa hiyo tukiwaita chawa wao huitika kwa madaha kabisa. Lakini ukimwita mtu tapeli au kibaka hilo ni tusi na udhalilishaji. Ni sawa wewe nikuita juha au punguani wkt sio
 
binafsi,
kamwe siwezi kubabaika na dhana potofu zisizo na athari yoyote kisiasa, kijamii au kiuchumi kwangu binafs au kwa wengine,

lakini pia,
siwezi kuchoka kuwaexpose vibaka na matapeli wa kisiasa wa chama chochote cha siasa nchini, ili walau kusaidia kunusuru baadhi ya wananchi wasitapeliwe pesa, uhuru na haki zao za kikatiba kama vile kupiga kura n.k :NoGodNo:
 
Sio kwamba kalamba asali, kumbuka uteuzi wake hata yeye alishtukizwa tu na kuna majukumu ukipewa huwezi kupinga.
 
Back
Top Bottom