Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
kwamba eti sugu, aida, romanus na watangaza nia za urais, ubunge na udiwani kupitia Chadema, wataacha azma zao za kuendelea kujiandaa na uchaguzi mkuu wa October 2025, wazingatie wito wa kibaka na tapeli wa siasa nchini, ambao unaendelea kupuuzwa na wanachadema wenyewe? right?🐒Akiwa Upinzani enzi zile Bwana Steven Wassirra alilalamika kwamba Uchaguzi haukuwa huru wala haukuwa wa haki kwa vile kwenye Kituo kimoja kilichoandikisha Wapiga kura 271 lakini Mgombea wa ccm akipata kura 749.
Juhudi za kuiweka hapa Video yake akilalamikia wizi huo wa kura mbele ya Waandishi wa habari zinaendelea.
Nimedhibitisha Wasira ni gombe tuu...hafai kuishi ni lizimu la Pepo hatari.
Asante sana, Moderator tunaomba utusogezee hii video pale juu iwe sehemu ya kielelezo muhimu
Mimi ni Kada ila naona aibu kwenye clip ya mzee gombekwamba eti sugu, aida, romanus na watangaza nia za urais, ubunge na udiwani kupitia Chadema, wataacha azma zao za kuendelea kujiandaa na uchaguzi mkuu wa October 2025, wazingatie wito wa kibaka na tapeli wa siasa nchini, ambao unaendelea kupuuzwa na wanachadema wenyewe? right?🐒
Hana tofauti na Lissu na kijitapel cha siasa Slaa wote walisema lowassa ni mwizi halafu wakataka kumpeleka ikulu kabla wananchi wazalendo hawa jagomea uhuni na udalali wa chadema kuuza ikulu kwa fisadi!Akiwa Upinzani enzi zile Bwana Steven Wassirra alilalamika kwamba Uchaguzi haukuwa huru wala haukuwa wa haki kwa vile kwenye Kituo kimoja kilichoandikisha Wapiga kura 271 lakini Mgombea wa ccm akipata kura 749.
Juhudi za kuiweka hapa Video yake akilalamikia wizi huo wa kura mbele ya Waandishi wa habari zinaendelea.
Hauna akili wewe.Hana tofauti na Lissu na kijitapel cha siasa Slaa wote walisema lowassa ni mwizi halafu wakataka kumpeleka ikulu kabla wananchi wazalendo hawa jagomea uhuni na udalali wa chadema kuuza ikulu kwa fisadi!
Jikite kwenye madaHana tofauti na Lissu na kijitapel cha siasa Slaa wote walisema lowassa ni mwizi halafu wakataka kumpeleka ikulu kabla wananchi wazalendo hawa jagomea uhuni na udalali wa chadema kuuza ikulu kwa fisadi!
Makaburi yanafufuliwa😂😂😂Akiwa Upinzani enzi zile Bwana Steven Wassirra alilalamika kwamba Uchaguzi haukuwa huru wala haukuwa wa haki kwa vile kwenye Kituo kimoja kilichoandikisha Wapiga kura 271 lakini Mgombea wa ccm akipata kura 749.
Juhudi za kuiweka hapa Video yake akilalamikia wizi huo wa kura mbele ya Waandishi wa habari zinaendelea.
Baada ya kulamba asali Kawa kipofuAkiwa Upinzani enzi zile Bwana Steven Wassirra alilalamika kwamba Uchaguzi haukuwa huru wala haukuwa wa haki kwa vile kwenye Kituo kimoja kilichoandikisha Wapiga kura 271 lakini Mgombea wa ccm kimiujiza alipata kura 749.
Juhudi za kuiweka hapa Video yake akilalamikia wizi huo wa kura mbele ya Waandishi wa habari zinaendelea.
Tunajaribu kuweka kumbukumbu vizuriMakaburi yanafufuliwa😂😂😂
Gentleman,Mimi ni Kada ila naona aibu kwenye clip ya mzee ngombe
Huna akiliGentleman,
aibu zaidi ni kwa wasomi kutapeliwa pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone na ombaomba wa kimataifa akisaidiwa na jambazi wa kutoka hapo AR tu 🐒
mbona weo?Huna akili