Wasirra aonekana akihamasisha No Reform No Election kabla hajalamba Asali

Gentleman,
mbona mnapotoshana kindez hivyo my friends?πŸ’
 
Itoshe kukupendekezea tu heshimu wenzako kaka kama tunavyokuheshimu. Usimwite mtu kibaka au tapeli wkt hajawahi kukuomba hata msaada wa mawazo acha tu kukukopa mia asikirudishie. Na wala hajawahi kukupora chochote,
mbona kuna wanaoitwa manyumbu na machawa mengi tu humu jukwaani gentleman na huwasewmei?

kulikoni uwatete vibaka na matapeli wa kisiasa pekee? JE, nawe ni sehemu ya jamii hiyo?

kipi kimekuchafua zaidi hapo gentleman?
ni wananchi kutapeliwa pesa zao kidigitali kwa mtindo wa tone tone au wananchi kudhulumiwa na kurubuniwa uhuru na haki zao za kikatiba kwa mtindo wa no reform no elections wa vibaka na matapeli wa kisiasa akina yahaya?πŸ’
 
mbona weo?
huenda nawe ni miongoni mwa watapeliwa ndugu muerevu, right?πŸ’
Narudia Mimi ni Kada ila Gentleman kwa huyu gombe wetu tumepigwa ...ni afadhali Lucas Mwasambwanda anyakuwe nafasi yake.
 

Attachments

  • 6017471-46d1e509592bd73d8313972ca4ec2707.mp4
    805.6 KB
Hao chawa walijiita wenyewe na kujisajili kabisa kama taasisi ya kumtetea mama na wanaona fahari. Kwa hiyo tukiwaita chawa wao huitika kwa madaha kabisa. Lakini ukimwita mtu tapeli au kibaka hilo ni tusi na udhalilishaji. Ni sawa wewe nikuita juha au punguani wkt sio
 
binafsi,
kamwe siwezi kubabaika na dhana potofu zisizo na athari yoyote kisiasa, kijamii au kiuchumi kwangu binafs au kwa wengine,

lakini pia,
siwezi kuchoka kuwaexpose vibaka na matapeli wa kisiasa wa chama chochote cha siasa nchini, ili walau kusaidia kunusuru baadhi ya wananchi wasitapeliwe pesa, uhuru na haki zao za kikatiba kama vile kupiga kura n.k
 
Sio kwamba kalamba asali, kumbuka uteuzi wake hata yeye alishtukizwa tu na kuna majukumu ukipewa huwezi kupinga.
 
Gentleman,
aibu zaidi ni kwa wasomi kutapeliwa pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone na ombaomba wa kimataifa akisaidiwa na jambazi wa kutoka hapo AR tu πŸ’
Toka lini nzi wa chooni akawa na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…