Muwa mtamu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 847
- 1,599
Jamaa lijinga sana hiliHivi ilikuwa muhimu kuandika hivi mzee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa lijinga sana hiliHivi ilikuwa muhimu kuandika hivi mzee?
Wewe ni linani? Lisengesana? 🖕🏽🖕🏽🖕🏽 Ignore pita kushoto kwanini ujiumize kichwa? Umetumwa? Ukinianza nakumaliza unapiga risasi moja Mimi napiga 100Jamaa lijinga sana hili
Star time Cha mtoto.Kumekucha 😂😂😂
Kituo kinachofuata Star times
😂😂😂😂🙌Star time Cha mtoto.
Kuna tiivii inaitwa UPENDO hii tiivii Ina UPENDO Sana na wanyakyusa. Wakiwa kwenye kikao ukatupa jiwe ukakosa kumpiga mnyakyusa njoo uchukue vocha kwangu.
Duh! Basi hatareeeHuko ndio kumejaa uvundo Bora hata wasipaguse
Wakina Happiness L
🤣🤣🤣 Huyu Maghayo anazingua udugu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa
Inawezekana humjui , ila ni mtu maarufu kiasi kwenye media kitambo tuMi mbona simjui huyo wasiwasi
Ticha kabobea katoa pesa na utamu juu hicho cheo cha mkuu wa shule anataka kukifanyia nn duhNilikutana na story ya mwalimu wa kike kugawa rushwa ya fedha na ngono ili awe mwalimu mkuu huko Mkuranga - Pwani.
Au nitakua sura naijua sema jinaInawezekana humjui , ila ni mtu maarufu kiasi kwenye media kitambo tu
Nadhani itakua hivyo,we mtu wa sports usimjue ?Au nitakua sura naijua sema jina
Jina lake maarufu sana...I hope sura tuu ndo imenitoka...Nadhani itakua hivyo,we mtu wa sports usimjue ?
Yeah, baba ake pia ana story fulan nzuri sana ktk nchi hiiJina lake maarufu sana...I hope sura tuu ndo imenitoka...
Nilijua tu yatatokea. Mbona TBC wanachukua rushwa waziwazi hakuna anayehoji? Nchi ya kipumbavu sana hii.