Uchaguzi 2020 Wasiwasi wangu ni kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi lazima itamkata Lissu kwa kile itachodai kufanya Mikutano ya hadhara

Dogo, Lisu hawi rais kwa kuipamba picha yake na kuiweka hapa!

Hapati zaidi ya 20% ya kura!

Huo ndio ukweli
Watanzania wote wamesha amua kuwa mh Lissu ndiye anakuwa rais wa awamu ya 6.

Wewe kama unaona itakuuma basi nakushauri kistaarabu rudi kwenu Burundi.
 
Zito analijua hilo ndoma maneno yake wataweka mgombea mmoja ni fumbo la kuwafumba wasiojua kwanini anasema hayo
 
Mshaurini asivunje sheria na kuleta ubishi eti hakuna sheria ya "kuanza kampeni mapema". Hiyo siyo sign ya mtu aliye serious
 
Kama wanataka ukiona Tanzania ipo vipande vipande wafanye huo upuuzi!!
 
Dogo, Lisu hawi rais kwa kuipamba picha yake na kuiweka hapa!

Hapati zaidi ya 20% ya kura!

Huo ndio ukweli
Anza kuwaomba radhi wazazi wako kwenu gitega
 
Mwambie aruhusu vyombo vya habari kwa wapinzani asili uone
Vyombo vya habari havijafungiwa Kama mnavyodhani, Labda namna vinavyotumika, ndio maana inaonekana Kama vimefungiwa, Kama ingekuwa hivyo, sidhani Kama uzi huu ungekuwa unajadiliwa.
 
Umetumwa kupima upepo? Shetani wewe rudi nyumba hatua 3!
 
Unasifia lile kusanyiko la watu Airport halafu ukitoka hapo unaanza kupiga kelele za corona Tz,au kelele zako za kuhusu corona Tz ni za kisiasa?
 
Mkuu taifa lenye watu makini haliwezi kufanya mchezo kama huo , maana kuna tofauti sana ya chama na nchi na iapo tofauti vya kulinda nchi , ni mtu wa ajabu pekee wa kupendekeza lissu kukatwa vinginevyo ni kubeti na amani ya nchi kitu ambacho vyombo makini kama vya kwetu tz hawawezi kukubali , kisa yupo aneutaka urais japo twaamini tz aijalishi ni nani so far wananchi wamempa mamlaka atakua na uwezo wa kuwaongonza wananchi , so hakatwi mtu hapa na tume wa kuwakata ni wananchi basi , so nafikili hata rais anaemaliza mda wake yupo tiyari kwa uchaguzi na yupo tiyari kwa matokeo yoyote japo nyie wapambe ndo mko moto sana but elewa tu aijalishi mh maghu amewabeba sana but mmemuangusha sana ,maana hamjengi chama mpo tu kulamba pesa za kampen
 
Kwa kigezo hikii hata magufuli atakatwa Jana kakutana na viongozi wa dini.hadharani
 
Mgombea wenu hajui sheria, anyway hata wakimhurumia hana hela ya kampeni, mchangieni mbelgiji huyu ili afanikishe kampeni zake.
 
Magu nae alifanya Dodoma baada ya kuchukua fomu, itakuwa ni double standard sasa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…