Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
And says who?Dogo, Lisu hawi rais kwa kuipamba picha yake na kuiweka hapa!
Hapati zaidi ya 20% ya kura!
Huo ndio ukweli
.....the Mavi mavi Crimea!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And says who?Dogo, Lisu hawi rais kwa kuipamba picha yake na kuiweka hapa!
Hapati zaidi ya 20% ya kura!
Huo ndio ukweli
Subiri oktoba utaona nani ni maviAnd says who?
.....the Mavi mavi Crimea!
Watanzania wote wamesha amua kuwa mh Lissu ndiye anakuwa rais wa awamu ya 6.Dogo, Lisu hawi rais kwa kuipamba picha yake na kuiweka hapa!
Hapati zaidi ya 20% ya kura!
Huo ndio ukweli
Zito analijua hilo ndoma maneno yake wataweka mgombea mmoja ni fumbo la kuwafumba wasiojua kwanini anasema hayoHii MIKUTANO ambayo anaifanya Tundu kwa hakika inaenda kumgharimu sana kwa namna NEC itavyoitafsiri itakuwa tofauti na wengi tunavyodhani.
Kusanyiko lolote la umati wakati wa kutafuta wadhamini na kulihutubia kana kwamba kampeni zimeshaanza ni kosa ambalo ndilo bwana Tundu litamnyanganya Tonge mdomoni.
Tujiulize kwa nini wenzake wote Magufuli,Membe na wengineo hawakutanishi makumi ya watu?!
Ninawiwa na hata kuchelea kuamini kwamba Tundu kwa vyovyote vile NEC itamuengua.
Mshaurini asivunje sheria na kuleta ubishi eti hakuna sheria ya "kuanza kampeni mapema". Hiyo siyo sign ya mtu aliye seriousHii MIKUTANO ambayo anaifanya Tundu kwa hakika inaenda kumgharimu sana kwa namna NEC itavyoitafsiri itakuwa tofauti na wengi tunavyodhani.
Kusanyiko lolote la umati wakati wa kutafuta wadhamini na kulihutubia kana kwamba kampeni zimeshaanza ni kosa ambalo ndilo bwana Tundu litamnyanganya Tonge mdomoni.
Tujiulize kwa nini wenzake wote Magufuli,Membe na wengineo hawakutanishi makumi ya watu?!
Ninawiwa na hata kuchelea kuamini kwamba Tundu kwa vyovyote vile NEC itamuengua.
Wewe kama hutaki kuwa chini ya utawala wa mh Lissu kama rais wa nchi hii basi rudi kwenu BurundiRais wako 2020 hadi 2025 nibMagufuli hutaki kufa
Unadhani watu hawakujui?Kuaxha Nini Tena? Mimi Sina Wala sijawahi Kuwa na uhusiano hayo yote!
Kama wanataka ukiona Tanzania ipo vipande vipande wafanye huo upuuzi!!Hii MIKUTANO ambayo anaifanya Tundu kwa hakika inaenda kumgharimu sana kwa namna NEC itavyoitafsiri itakuwa tofauti na wengi tunavyodhani.
Kusanyiko lolote la umati wakati wa kutafuta wadhamini na kulihutubia kana kwamba kampeni zimeshaanza ni kosa ambalo ndilo bwana Tundu litamnyanganya Tonge mdomoni.
Tujiulize kwa nini wenzake wote Magufuli,Membe na wengineo hawakutanishi makumi ya watu?!
Ninawiwa na hata kuchelea kuamini kwamba Tundu kwa vyovyote vile NEC itamuengua.
Anza kuwaomba radhi wazazi wako kwenu gitegaDogo, Lisu hawi rais kwa kuipamba picha yake na kuiweka hapa!
Hapati zaidi ya 20% ya kura!
Huo ndio ukweli
Vyombo vya habari havijafungiwa Kama mnavyodhani, Labda namna vinavyotumika, ndio maana inaonekana Kama vimefungiwa, Kama ingekuwa hivyo, sidhani Kama uzi huu ungekuwa unajadiliwa.Mwambie aruhusu vyombo vya habari kwa wapinzani asili uone
Unasifia lile kusanyiko la watu Airport halafu ukitoka hapo unaanza kupiga kelele za corona Tz,au kelele zako za kuhusu corona Tz ni za kisiasa?Wewe hujui mikutano yoyote lazima iwe na vibali?
Ni Mutoro au Mamboleo atakubali ufanyike mkutano wapi bila ruksa yake?
Itakuwa kukosa busara kuliko pitiliza kuita watu wanaojitokeza kumwona mfu aliyefufuka na kusalimiana naye kuwa ni mkutano wa hadhara.
Waacheni wajumbe wafanye yao Oct 28. Mengine haya ni kujaribu kutuletea uchuro kutokana na kiwewe cha kuhofia kushindwa kitakatifu.
Ni mwanga peke yake anayeweza kusikia aliyekufa na kufufuka anapita karibu yake naye akaamua kuuchuna kwake asiende hata kumwona.
Kumbuka JKNIA kulifurika watu achilia mbali njia yote alikopita Lissu licha ya vitisho na utayari wa polisi kutumia nguvu. Sembuse katazo la kwenda kumwona kipenzi cha watu huyu kinapokuwa hakipo?
Mkuu taifa lenye watu makini haliwezi kufanya mchezo kama huo , maana kuna tofauti sana ya chama na nchi na iapo tofauti vya kulinda nchi , ni mtu wa ajabu pekee wa kupendekeza lissu kukatwa vinginevyo ni kubeti na amani ya nchi kitu ambacho vyombo makini kama vya kwetu tz hawawezi kukubali , kisa yupo aneutaka urais japo twaamini tz aijalishi ni nani so far wananchi wamempa mamlaka atakua na uwezo wa kuwaongonza wananchi , so hakatwi mtu hapa na tume wa kuwakata ni wananchi basi , so nafikili hata rais anaemaliza mda wake yupo tiyari kwa uchaguzi na yupo tiyari kwa matokeo yoyote japo nyie wapambe ndo mko moto sana but elewa tu aijalishi mh maghu amewabeba sana but mmemuangusha sana ,maana hamjengi chama mpo tu kulamba pesa za kampenHii MIKUTANO ambayo anaifanya Tundu kwa hakika inaenda kumgharimu sana kwa namna NEC itavyoitafsiri itakuwa tofauti na wengi tunavyodhani.
Kusanyiko lolote la umati wakati wa kutafuta wadhamini na kulihutubia kana kwamba kampeni zimeshaanza ni kosa ambalo ndilo bwana Tundu litamnyanganya Tonge mdomoni.
Tujiulize kwa nini wenzake wote Magufuli,Membe na wengineo hawakutanishi makumi ya watu?!
Ninawiwa na hata kuchelea kuamini kwamba Tundu kwa vyovyote vile NEC itamuengua.
Ah, kilicho halisi ni Kuwa mtetezi wa ushoga Hana nafasi Tz🤣😂🤣! Hiyo ndiyo habari ya mjjni!Unadhani watu hawakujui?
Just watchHAITA KAA ITOKEE WAKA FANYA UO UJINGA
Umeelewa
We umeacha lini kutetewa?Ah, kilicho halisi ni Kuwa mtetezi wa ushoga Hana nafasi Tz[emoji1787][emoji23][emoji1787]! Hiyo ndiyo habari ya mjjni!
Mgombea wenu hajui sheria, anyway hata wakimhurumia hana hela ya kampeni, mchangieni mbelgiji huyu ili afanikishe kampeni zake.Hii MIKUTANO ambayo anaifanya Tundu kwa hakika inaenda kumgharimu sana kwa namna NEC itavyoitafsiri itakuwa tofauti na wengi tunavyodhani.
Kusanyiko lolote la umati wakati wa kutafuta wadhamini na kulihutubia kana kwamba kampeni zimeshaanza ni kosa ambalo ndilo bwana Tundu litamnyanganya Tonge mdomoni.
Tujiulize kwa nini wenzake wote Magufuli,Membe na wengineo hawakutanishi makumi ya watu?!
Ninawiwa na hata kuchelea kuamini kwamba Tundu kwa vyovyote vile NEC itamuengua.
Magu nae alifanya Dodoma baada ya kuchukua fomu, itakuwa ni double standard sasa!!!Hii MIKUTANO ambayo anaifanya Tundu kwa hakika inaenda kumgharimu sana kwa namna NEC itavyoitafsiri itakuwa tofauti na wengi tunavyodhani.
Kusanyiko lolote la umati wakati wa kutafuta wadhamini na kulihutubia kana kwamba kampeni zimeshaanza ni kosa ambalo ndilo bwana Tundu litamnyanganya Tonge mdomoni.
Tujiulize kwa nini wenzake wote Magufuli,Membe na wengineo hawakutanishi makumi ya watu?!
Ninawiwa na hata kuchelea kuamini kwamba Tundu kwa vyovyote vile NEC itamuengua.
Tulia dawa ikuingia dada.Dogo, Lisu hawi rais kwa kuipamba picha yake na kuiweka hapa!
Hapati zaidi ya 20% ya kura!
Huo ndio ukweli