Uchaguzi 2020 Wasiwasi wangu ni kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi lazima itamkata Lissu kwa kile itachodai kufanya Mikutano ya hadhara

Hivi ule mlipuko kule Lebanon ulikuwa wa kitu gani?
 
Hakatwi mtu hapa,watuletee tu Lissu tumchinje kwenye sanduku la kura
Akikatwa lissu mudaa huu(ndicho anachomuomba Mungu) atapiga sana kelele
 
Kwani ni yeye Lissu anawaita au ni wenyewe wanakuja kwa upendo wao kwake?
 
Huyo mataga wa Lumumba anajitangaza kua anajipiga ukuni mwenyewe, sasa akili yake itakua timamu kweli! Si ndio wale wale akina nabii Tito
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
unamsikiliza mvuta bangi duh!, jitafakari ...
 

Kwani kuna sheria gani inayokataza vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara. Kama hakuna sheria kuhusu kuanza kampeni mapema sasa ataenguliwa kwa kosa gani. Naona wamvumilie tu hakuna namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…