jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
- Thread starter
- #61
Muanze sasaTutachanga tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muanze sasaTutachanga tu
Hivi ule mlipuko kule Lebanon ulikuwa wa kitu gani?Hii MIKUTANO ambayo anaifanya Tundu kwa hakika inaenda kumgharimu sana kwa namna NEC itavyoitafsiri itakuwa tofauti na wengi tunavyodhani.
Kusanyiko lolote la umati wakati wa kutafuta wadhamini na kulihutubia kana kwamba kampeni zimeshaanza ni kosa ambalo ndilo bwana Tundu litamnyanganya Tonge mdomoni.
Tujiulize kwa nini wenzake wote Magufuli,Membe na wengineo hawakutanishi makumi ya watu?!
Ninawiwa na hata kuchelea kuamini kwamba Tundu kwa vyovyote vile NEC itamuengua.
Kwani ni yeye Lissu anawaita au ni wenyewe wanakuja kwa upendo wao kwake?Hii MIKUTANO ambayo anaifanya Tundu kwa hakika inaenda kumgharimu sana kwa namna NEC itavyoitafsiri itakuwa tofauti na wengi tunavyodhani.
Kusanyiko lolote la umati wakati wa kutafuta wadhamini na kulihutubia kana kwamba kampeni zimeshaanza ni kosa ambalo ndilo bwana Tundu litamnyanganya Tonge mdomoni.
Tujiulize kwa nini wenzake wote Magufuli,Membe na wengineo hawakutanishi makumi ya watu?!
Ninawiwa na hata kuchelea kuamini kwamba Tundu kwa vyovyote vile NEC itamuengua.
unamsikiliza mvuta bangi duh!, jitafakari ...Huyo mataga wa Lumumba anajitangaza kua anajipiga ukuni mwenyewe, sasa akili yake itakua timamu kweli! Si ndio wale wale akina nabii Tito
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wewe na bangiWe jamaa unahangaika na Lissu balaa
Hii MIKUTANO ambayo anaifanya Tundu kwa hakika inaenda kumgharimu sana kwa namna NEC itavyoitafsiri itakuwa tofauti na wengi tunavyodhani.