Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Waafrika wapo kwenye makundi yafuatayoHilo unalitambua wewe tu, tangu lini msomali akawa mwafrika! Na mwafrika akawa msomali!
Wewe huwaga unaongeaga hisia sana hakuna ajuaye kesho yaani hakuna mwenye uhakika wa keshoWakalenjin na wakikuyu hawataruhusu hiyo dominance itokee.
Mark my word kaka.
Hao wasomali hawakutakiwa hata kujiunga EAC sema basi tu hawa viongozi wa sasa sijui wameona nini na kuiruhusu.
Mwafrika anaenda kukua shuleni alafu akimaliza elimu anaanza kuisakama elimu haina msaada ilihali alichagua ujinga tokea anasomaEndelea kubaki na ujinga wako.
Rais wa Somalia anaishi Nairobi? Ni kweli mkuu?Nafikiri hata Hiyo mall ni ya huyo rais.
Rais wa Somalia anaishi Nairobi, bunge linafanyia kazi Nairobi, serikali iko Nairobi, wataachaje kua wengi?
Mie sijaongea hisia bali naongea lililokuwepo.Wewe huwaga unaongeaga hisia sana hakuna ajuaye kesho yaani hakuna mwenye uhakika wa kesho
Hapa Tanzania hakuna mtu angeamini kwamba kuna siku mwanamke atakua rais wa nchi ila imeshatokea
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Uislam na Muislam/waislamu. Uislam ni DINI yenye miongozo yake, Muislam ni mtu. Sasa mimi sitaki kujikita kwenye dini cause utaniuliza maswali ambayo naweza kua sina majibu, mimi nawazungumzia Waislamu na sio Uislam. Waislamu na amani ni maji na mafuta; popote walipo waislamu hapanaga amani, bila mkono wa chuma, waislamu watawavuruga tu. Saddam Hussein aliwatawala hivo, Gadaff as well, Iran ndio usiseme. Weka demokrasia popote walipo waislamu lazima kichafuke. Sasa sina uhakika kama Uislam kama dini vina uhusiano na machafuko. Mnapenda kiwasingizia Wazungu wverywhere; hivi mtu akikutumia kuua ndugu zako, hapo mpumbavu ni nani? Aliyetuma au aliyetumwa?Wazungu wamewaingiza chaka, unataka kusema alshabaab ni kikundi cha dini! Uislamu ndio umeagiza wafanye hayo! Ipo siku mtaelewa