Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Waafrika wapo kwenye makundi yafuatayoHilo unalitambua wewe tu, tangu lini msomali akawa mwafrika! Na mwafrika akawa msomali!
- Khoisan-bushmen wa namibia na botswana wanamacho kama ya kichina
- Niger congo b (bantu)
- Niger conga a (west afrika nigeria mpaka senegal)
- Nilotic wamasai na watu wa sudan kusini
- Kush ambao ni watusi, wasomal na waethiopia